Da'Vinci
JF-Expert Member
- Dec 1, 2016
- 36,007
- 108,565
Kibao mnoooo kila aina mzee.Hivi zenji kuna madada poa?
Kibao mnoooo kila aina mzee.Hivi zenji kuna madada poa?
Siku nyingine usiache kioo waziNilikua kwenye gari nikakwapuliwa simu yangu na bodaboda.
Washenzi hawa bora wanavyochomwa kama mishkaki
Acha fix wewemi wezi kitaani wananiogopa siku moja kuna mdogo wangu wa kike mtoto wa mjomba alitoka mkoani kaja dar kunitembelea kwa kuwa alikuwa mgeni kitaani wahuni wakamtaitisha uchochoro flani usiku wakati anarudi kutoka kwenye mihangaiko yake wakampora mkoba na simu alirudi analia nikamwambia subiri mbona vitu hivyo vinapatikana chapu tu nikamchukua hadi kwa jamaa mmoja hivi kitaani ana historia nzuri sana ya ujambazi na ndio anafadhili magenge yote ya uhalifu kinondoni nzima na vitongoji vyake nikamwambia mdogo wangu kaibiwa mkoba wake sasa hivi hebu niitie aliyemuibia of course anajua harakati za wezi wote mtaani,anajua kitu gani kimeibiwa saa ngapi au sehemu gani kwa kuwa lazima vipitie kwake,basi nikaletewa mtu wangu kwa kuwa Mimi mwenyewe nina historia za kimafia niliheshimiwa sana na kuogopwa basi ghafla bin vuu nikaanza kumuweka makofi yule mwizi mbele ya mkuu wake,mpaka wakaanza kunisihi nimsamehe kwani alikuwa mgeni mtaani hajui ramani zinasomekaje tukachukua vitu vyetu tukasepa,Siku nyingne niliibiwa gypsum zangu niliziweka kibarazani wezi waliruka ukuta na kuingia ndani wakazibeba kama kawaida nikawafata na kuwaamrisha warudishe maana sio ombi na wananijua vizuri sema kiburi tu kesho take mbona nilizikuta palepale

hakika huyo mwizi alikuja kufungua uzi kwenye jukwaa la biashara unaosema"ninaweza kufanya biashara gani kwa mtaji wa milioni 1"

Ulitumia njia gani hadi ikarudi?Yan eneo nililokuwepo sikua na wazo kama kunakua na vibaka. Nikashangaa tu simu yangu ileeeee. Sikula siku hiyo ila nilihakikisha simu yangu inarudi.
Ntakuja nitembee one dayKibao mnoooo kila aina mzee.
Sijaipata hadi leoIkawaje mwisho wake?
Karibu sana booosssNtakuja nitembee one day
Hahaaaa!! I guess Dada poa wa kiarabu na kizungu watakuwa wengi hukoKaribu sana booosss
Kuna siku Sabasaba, mwaka 1999 nafikiri, nilikuwa naingia palelangoni, watu wamejazana.Sijawahi ibiwa simu kwenye maisha yangu.....ila nimeshapitia majaribio mawili ya kutaka kuibiwa yote nilistuka.
HahahahaDuh! Ndo maana US wanaruhusu kumiliki gun. Hapo ungekuwa na bastora just aina ya belleta, ungembatua kwenye kiuno asingebaki hata chawa!!!
Njoo Zanaki acha mbwbwe...Acha kumbishia mtu usiyemjua
Daaaaaa hongera Mkuu Kiranga Thanks for sharing.Kuna siku Sabasaba, mwaka 1999 nafikiri, nilikuwa naingia palelangoni, watu wamejazana.
Mwenyewe nimeulamba, mkanda nje, kisimu nje kwenye kipochi chake.
Mjanja mmoja akaniwahi, nikawa nashtukia simu haipo,sijaona aliyekwapua, nikafanya saikolojiaya haraka sana ya kuangalia sura na nikamuona mtuhumiwa hapo hapo na yeye akaniona akajua nimemuona, nikamwambia nirudishie simu yangu sasa hivi au nakuitia mwizi tunakuchoma mafuta. Akanirudishia.
Nikatoka hapo nikamtafuta Polisi, nikamuonesha unamuona yule jamaa pale, mwizi wa simu kaniibia simu nimemdaka kanirudishia, sina muda wa kumshtaki na pia kashanirudishia ushahidi, ila kamtieni jambajamba aondoke hapa ataibia watu simu.
Siku nyingine nilikuwa Mwenge napanda basi la Stesheni kwenda kazini.
Vurugu za kupanda basi, nimeingia ndani najikuta sina wallet. Nikapiga mkwala basi zima kama wallet sijapewa basi zima linaenda Polisi kila mtu anasachiwa.
Watu wakawa wengine wananihurumia, wengine wananiambia nikubali matokeo tu, wengine wanataka kuondoka wapande basi lingine.
Basi pale pale likanijia wazo kwamba kama mwizi yupo ndani, na anasikia basi litapelekwa Polisi, atakuwa ni kati ya wanaotaka kutoka.
Nikaweka mkwala asitoke mtu na wote wanatakiwa kwenda Polisi.
Hapo hapo nikajiwa na wazo la kuangalia chini ya basi.
Kuangalia chini ya basi nikaikuta wallet yangu, inaonekana kuna mtu aliona aifiche hapo mpaka basi liondoke (inawezekana pia wallet ilianguka katika msukosuko wa kupanda basi ikapigwa teke na kuishia chini ya basi).
Sijawahi kuibiwa maishani yangu.
Nilipo sasa, nilishawahi kusahau simu ina credit cards kwenye cover, katika mall, nimekaa najaribisha viatu, simu nimeiweka kwenye kiti, nikaisahau. Kutoka nje, nakaa kwenye gari, najishtukia sina simu.
Nimerudi kwenye ,mal, na retrace steps, sijaona simu. Nikaenda kwa cashiers kwenye mall, naulizia kama wamepewa simu niliyopoteza, wakaniambia kuna simu hapa, tunaomba jina lako tuhakikishe na credit cards zilizomo. Nikawatajia, wakaona sawa, wakanipa.
Sijawahi kuibiwa maisha yangu.
Ingawa nishatembea mitaa mibaya masaa mabaya mpaka siku nyingine nikikumbuka naona nilikuwa nacheza kwa hatari sana
Kilanga hivi na mambele huko kuna vibaka kama wa Manzese au wako more advanced...?Kuna siku Sabasaba, mwaka 1999 nafikiri, nilikuwa naingia palelangoni, watu wamejazana.

Vibaka wapo kila sehemu yenye mchanganyiko wa watu.Kilanga hivi na mambele huko kuna vibaka kama wa Manzese au wako more advanced...?
NDIYO HIVYO MKUU