Njoo tukumbushane ulivyoibiwa simu au kompyuta

Njoo tukumbushane ulivyoibiwa simu au kompyuta

Mimi jamani siwez sahau walinikaba tandika saa nane mchana na watu walikuwa wengi lakin hawathubutu kuingilia.

Walikuwa vijana wanne aisee nilipambana nao kama mwanaume, mwisho wa siku walinizidi nguvu na walifanikiwa kuiba simu mbili.

Moja ilikuwa mkononi nyingine ilidondoka kutoka kwenye mkoba, lakini mkoba wangu uliokuwa na hela sikuwaachia mpaka walisanda wakakimbia.
 
Mimi niliibibiwa kizembe sana Kigongo bar Buguruni. Siku hizi haipo. Nilimpata changu pale Kigongo akaniambia hakuna haja ya kwenda gest wakati chocho ziko kibao. Tukaenda chocho akainama mtindo wa chuma mbog.nikashusha suruali mpaka chini. Alinifanyia timing alipohisi niko kuminana nataka kufunga bao hapo akasachi suruali na kuchukua simu na pesa wakati huku akili yangu iko mawinguni. Nikafunga bao na ile navua kndm na napandisha suruali dem keshhaanza. Narudi Kigongo sijamuona tena. Nahisi alipozidisha mauno ndio alinichanganya zaidi.
 
Smartphone ya kwanza kununua kwa hela yangu niko Kariakoo Msimbazi niko moto nakimbizana na foleni za raia jua kali niwahi kufanya kilichonipeleka aisee ghafla jamaa yuko mbele yangu nimkwepe kukatokea kugusana flani hivi
Dah nasogea mbele kama kawa niko fasta kufika mbele najishangaa haa!! mbona kama mifuko ya suruali haibani tena??!!!
Mwe jamani Kumbe ndo nishapigwa na wahuni wanajifanya mateja kumbe wezi aisee
 
Niliibiwa mara moja kizembe sana, nimetoka na mihangaiko yangu nimelewa mbaya, nikajishauri bora nikapaki pale corner bar nivute usingizi dk kadhaa nikishtuka niende home, sikulock mlango malaya kaja kafungua kasepa alivyokua anaondoka na mimi nikashtuka, namuona kwa mbaaaali mpaka wenge kukata akawa ameshaondoka, niliipata simu yangu na kipigo alikula

Ubungo jamaa watano walitaka kuniibia walinipora afu wakawa wanarushiana nikimfuata huyu anamrushia mwingine huku wanaondoka eneo la tukio nkaona isiwe tabu akili ikacheza fasta nikamkamata yule ambaye anaonekana mtukutu nilimshushia kipigo heavy wenzake wameshafika mbali nikaanza kumvuta kwenda kwenye gari nilipopaki sijui walinionaje wale jamaa...wenzake wakamtuma mtu airudishe maana nilimwambia ninaenda kumla kiboga tena kavu
 
Vibaka wapo kila sehemu yenye mchanganyiko wa watu.

Ila vibaka wa huku wana neema neema kidogo inawafanya wasiwafikie wa Manzese. Nasikia habari za zamani tu wizi.

Huku hata ukiacha mzigo kwenye basi watu wengi wanaogopa mzigo unaweza kuwa bomu wanaweza kuukimbia.

Nilifarijika sana mtu aliponirudishia simu yangu niliyoisahau dukani. Ilikuwa na credit card kibao kwenye cover.

Ikanikumbusha na mimi nilivyomrudishia simu yake binti mmoja. Binti alikuwa kapoteza simu kwenye train, nikaiokota, kanipigia, nikamwambia ninayo, tukapanga kukutana, nikampatia simu yake.

Akataka kunipa zawadi, nikamwambia hapana, kwetu maungwana ni wajibu adilifu na ulivyofurahi kupata simu yako ni zawadi tosha.
Mtoto wa kizungu sio?
 
Mimi niliibibiwa kizembe sana Kigongo bar Buguruni. Siku hizi haipo. Nilimpata changu pale Kigongo akaniambia hakuna haja ya kwenda gest wakati chocho ziko kibao. Tukaenda chocho akainama mtindo wa chuma mbog.nikashusha suruali mpaka chini. Alinifanyia timing alipohisi niko kuminana nataka kufunga bao hapo akasachi suruali na kuchukua simu na pesa wakati huku akili yangu iko mawinguni. Nikafunga bao na ile navua kndm na napandisha suruali dem keshhaanza. Narudi Kigongo sijamuona tena. Nahisi alipozidisha mauno ndio alinichanganya zaidi.
Mmmmh!!!![emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Mimi huwa naenda kimboka pale
 
Niliibiwa mara moja kizembe sana, nimetoka na mihangaiko yangu nimelewa mbaya, nikajishauri bora nikapaki pale corner bar nivute usingizi dk kadhaa nikishtuka niende home, sikulock mlango malaya kaja kafungua kasepa alivyokua anaondoka na mimi nikashtuka, namuona kwa mbaaaali mpaka wenge kukata akawa ameshaondoka, niliipata simu yangu na kipigo alikula

Ubungo jamaa watano walitaka kuniibia walinipora afu wakawa wanarushiana nikimfuata huyu anamrushia mwingine huku wanaondoka eneo la tukio nkaona isiwe tabu akili ikacheza fasta nikamkamata yule ambaye anaonekana mtukutu nilimshushia kipigo heavy wenzake wameshafika mbali nikaanza kumvuta kwenda kwenye gari nilipopaki sijui walinionaje wale jamaa...wenzake wakamtuma mtu airudishe maana nilimwambia ninaenda kumla kiboga tena kavu
Huyo Malaya ulimpataje?
 
Block B mabibo hostel tukiwa tumelala chumba kizima tuliibiwaa simu yaan na.majirani zetu nao waliibiwaaa sema uzuri wake walituachiaa line zetu za simu asubuh tuliishiaa kuchekanaa baada ya kila mtu kujikutaa kaibiwaa

Wale wez wa Mabibo hostel sijui walikuwa wanaibaje kwakeli!sie BlocK C kwenye floor ya 3 room 3 watu waliiibiwa laptop na hazikupatikana mpaka leo
 
Nilikua kwenye gari nikakwapuliwa simu yangu na bodaboda.

Washenzi hawa bora wanavyochomwa kama mishkaki
Walimchomolea CMU yf kwa style hiyo. Nilikuwa nimeinunua CMU abroad. Nikamcheck MWANA, nlisoma nae IT, anapiga kampuni ya simu. Nikampa mkasa. Jioni yake akanipa namba na majina ya mtu anaetumia simu ya fy!

Asubuhi nikaingia Ofisini nikampigia yule jamaa kwa kutumia TTCL line ya Ofisi. Alivopokea nikamuita kwa majina yake! Nikamuambia hapa ni SENTRO! Unatumia CMU ....... Nyeupe..... Umeanza kutumia jana mchana.... Hiyo CMU aliibiwa mke wng maeneo ya....!

Jamaa alitetemeka. Kifupi nilimtia ndani yeye ma boda boda wake aliemuuzia! CMU nilipewa wakiwa washafuta kila Kitu. Wale jamaa sikuwafuatilia, niliwaachia mapot wachukue chao!
 
Ilikuwa mwaka 2016 au 2017 pale Kariakoo barabara ya Msimbazi mida ya saa 12:30 jioni natoka kwenye mizunguko yangu, Kwenye mfuko wa suruali nina Million 2 kwny shati ina simu aina ya Galaxy A9 sasa ile navyuka mwendokasi road mara paah wakaja watu watatu mbele yangu wawili moja ametangualia mbele ya mwingine na mmoja nyuma yangu huyu alikuwa na nifuatilia toka mbali simu nimeweka kwny mfuko wa shati basi ile navuka tuuuh road yule wa mbele akawa kama amejikwa mara ananigusa suruali nikajua anataka kuniangusha nikamkwepa mara yule wa pili mbele akaja moja kwa moja na kunishika mabega akanitikisa hivi Na kusema ‘Mr vipi’ kumbe yule wa nyuma alikuja fasta na kuchomoa simu na kupa yule aliedondoka..... Huku nimeshikilia mifuko ya suruali kumbe majamaa wameona simu kaaah ile nageuka tuuh wamachinga wananipa pole bro... ni kitendo cha fasta sana nikama 30sec hivi
Ilinitokea hii mwaka 2011" mtaa wa Congo [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] wajanja walipita na wallets simu hawakuondoka nayo
 
Vibaka wapo kila sehemu yenye mchanganyiko wa watu.

Ila vibaka wa huku wana neema neema kidogo inawafanya wasiwafikie wa Manzese. Nasikia habari za zamani tu wizi.

Huku hata ukiacha mzigo kwenye basi watu wengi wanaogopa mzigo unaweza kuwa bomu wanaweza kuukimbia.

Nilifarijika sana mtu aliponirudishia simu yangu niliyoisahau dukani. Ilikuwa na credit card kibao kwenye cover.

Ikanikumbusha na mimi nilivyomrudishia simu yake binti mmoja. Binti alikuwa kapoteza simu kwenye train, nikaiokota, kanipigia, nikamwambia ninayo, tukapanga kukutana, nikampatia simu yake.

Akataka kunipa zawadi, nikamwambia hapana, kwetu maungwana ni wajibu adilifu na ulivyofurahi kupata simu yako ni zawadi tosha.
Karma! Yap, nimewahi kurudisha simu nilookota barabarani, nami nimepoteza mara kadhaa natafutwa narudishiwa.
 
Karma! Yap, nimewahi kurudisha simu nilookota barabarani, nami nimepoteza mara kadhaa natafutwa narudishiwa.
Umevuna ulichopanda.

Sasa hivi watatengeneza simu za kuzichimbia ndani ya kiganya usipoteze. Versiom mpya ikija una download software kwa wifi tu.
 
Mimi wakati nipo form one 2009 pale azania tuliuziwa sabuni na mateja kwa 15000 mpaka leo inaniuma mbaya ila bahati nzuri sikupata hasara kwa sababu sabuni ilikua na povu mbayaaaa[emoji3][emoji3][emoji3]
Hii imepiga wengi sana hasa maeneo ya stands ikiongozwa na Ubungo
 
Umevuna ulichopanda.

Sasa hivi watatengeneza simu za kuzichimbia ndani ya kiganya usipoteze. Versiom mpya ikija una download software kwa wifi tu.
This will be fantastic ila watu wa dini watasema ni plan ya New World Order!! Wakati huo huo na wao wanamiliki simu!

Ila wale panya road watakata hata kiganja[emoji13] [emoji13]
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom