Hassan Mambosasa
JF-Expert Member
- Aug 2, 2014
- 3,371
- 4,564
Niluibiwa tecno yangu na mshkaji tena jirani yangu, alichonga mchongo na mtu aje kuniliza geto kwangu. Kisa kwa mwenye nyumba kuna denti wa form 2 anamzimia, ambaye kamtema. Sasa denti akawa anapapatika kwangu, mimi sina muda naye naogopa jela.
Jamaa wakamjaza upepo kuwa mtoto nimekula, ndiyo akaamua kunikomoa kisa kapigwa chaga
Jamaa wakamjaza upepo kuwa mtoto nimekula, ndiyo akaamua kunikomoa kisa kapigwa chaga