Njoo tukumbushane ulivyoibiwa simu au kompyuta

Ilikuwa mwaka 2016 au 2017 pale Kariakoo barabara ya Msimbazi mida ya saa 12:30 jioni natoka kwenye mizunguko yangu, Kwenye mfuko wa suruali nina Million 2 kwny shati ina simu aina ya Galaxy A9 sasa ile navyuka mwendokasi road mara paah wakaja watu watatu mbele yangu wawili moja ametangualia mbele ya mwingine na mmoja nyuma yangu huyu alikuwa na nifuatilia toka mbali simu nimeweka kwny mfuko wa shati basi ile navuka tuuuh road yule wa mbele akawa kama amejikwa mara ananigusa suruali nikajua anataka kuniangusha nikamkwepa mara yule wa pili mbele akaja moja kwa moja na kunishika mabega akanitikisa hivi Na kusema ‘Mr vipi’ kumbe yule wa nyuma alikuja fasta na kuchomoa simu na kupa yule aliedondoka..... Huku nimeshikilia mifuko ya suruali kumbe majamaa wameona simu kaaah ile nageuka tuuh wamachinga wananipa pole bro... ni kitendo cha fasta sana nikama 30sec hivi
 
Mi mwaka 2017 niliibiwa laptop tena ndani ya gari langu. Nimepita zangu pale Chuo - Mulimani nakutana na Mulemavu na ndugu yake wakaniomba niwasaidie hadi mbele kidogo.. Kumbe yule Mulemavu ananichora tu maana yeye alikaa viti vya katikati ya gari langu. Basi akajibana akafungua begi akachukua laptop, akaficha kwenye koti alovaa akashuka kwa kutambaa. Yule aliyekaa kiti cha mbele alinichangamukia na kunishukuru sana kumbe washaniliza. Wakashuka wakaondoka zao nami nilipofika nyumbi kushusha begi likawa liko wazi. Laptop HP ilikuwa na Miezi mine tu na niliinunua TZS 3.5 Milioni. Niliugua hadi leo. Sijui kama nitatoa tena msaada kwa mwenda zake barabarani.
 
Hongera mkubwa. Unajilindaje mpk huibiwi? Weka tujifunze
Hi Jumong S,

1.Nilikuwa naenda kwenye miangaiko yangu sasa kuna jamaa akanitumie Picha WhatsApp kuna kitu alikua anauza,ilikuwa lazima nizitume fasta kwahiyo ikabidi nitoe simu niziforward kwa mtu(mambo ya udalali si unajua),kumbe jamaa wa bodaboda(nyakunyaku) alikuwa anani_time akaenda mbele akawa ananisubiri sina ili wala lile naona kaja kaidaka kwa mbele akaivuta kwakuwa mie ni mtu wa matizi akashindwa kuivuta maana nilikuwa nimeishika kwa nguvu na pia nikiwa natembea simu naikamata hasa siishiki kizembezembe(kiboyaboya)....Hapa funzo simu haishikwi kislake slake.

2.Nilikuwa ghetto nimelala uswazi,mida kama ya saa nane hivi nikasikia kitu kinachanwa hivi,kustuka jamaa akajibanza,nikanyanyuka kuangalia dirisha nikakuta jamaa kashakata nyavu,kutoka nje nikakuta kapanga matofali na jordan yake hili avute simu....Hapa funzo usiku usilale kama porno lala kimachale hata ukisia hata hatua nje au kitu kimegonga ustuke.
 
NILIVYOPOTEZA SIMU NA LAPTOP.
Ilikua tarehe 5 mwezi wa 6 2017 narudi geto saa 6 hivii mitaa ya Fuoni Zanzibar nafungua mlango nakuta vitu viko hovyo hovyo. Vitabu,Nguo,Cds zilikua kwenye kabati. Vyote vimemwagwa hadi shuka imetanduliwa kitandani. Nikawa nafikiri nini kimetokea. Whaaaaaat nikakumbuka Laptop Toshiba yangu na Simu yangu ya Samsung Galaxy S4 GT-19500. Nilikua nikiondoka navifungia ndani ya begi la nguo. Siku hiyo na simu niliacha nikatembea na sim ndogo ya HTC.

Kufungya begi hakuna kituu. Laptop ndio nilikua nina mwaka 1 nimeinunua bado mupyaaa kabisa. Simu nilikua nina mwaka na miezi kadhaa ninayo. Ukweli nililia sana sanaa hata sikulala kabisaa.

Waliiba Pasi ya umeme na Hearter pia.
Kama waliuza kwa bei za kueleweka hawakukosa Millioni hivi.

Toka siku hiyo nilipachukia Zenji kabisaa
Hiii nmeikumbuka... Nilikuwa na jamaa yangu aisee tusamehe tulikuwa na njaa ndipo tukaamua kukuibia
 
Ilikuwa mwaka 2016 au 2017 pale Kariakoo barabara ya Msimbazi mida ya saa 12:30 jioni natoka kwenye mizunguko yangu, Kwenye mfuko wa suruali nina Million 2 kwny shati ina simu aina ya Galaxy A9 sasa ile navyuka mwendokasi road mara paah wakaja watu watatu mbele yangu wawili moja ametangualia mbele ya mwingine na mmoja nyuma yangu huyu alikuwa na nifuatilia toka mbali simu nimeweka kwny mfuko wa shati basi ile navuka tuuuh road yule wa mbele akawa kama amejikwa mara ananigusa suruali nikajua anataka kuniangusha nikamkwepa mara yule wa pili mbele akaja moja kwa moja na kunishika mabega akanitikisa hivi Na kusema ‘Mr vipi’ kumbe yule wa nyuma alikuja fasta na kuchomoa simu na kupa yule aliedondoka..... Huku nimeshikilia mifuko ya suruali kumbe majamaa wameona simu kaaah ile nageuka tuuh wamachinga wananipa pole bro... ni kitendo cha fasta sana nikama 30sec hivi
Wezi wa barabarni yaaan usimpe nafasi ya mtu kukuongelesha ghafla,mm mtu akitaka kuniongelesha ghafla cha kwanza namuepuka kwa distance kadhaa na nahakikisha hakuna mtu jiran yangu ndio ninapomsikiliza,tatizo wengine unasimamishwa na mtu muda huohuo unaanza kuhojiwa ndio unapopigwa
 
Kuna mtu aliniomba laptop yangu acheki muvi nikampa kesho ananipigia ananiambia njoo home kuna ishu imetokea.

Nikafika ananiambia asubuhi leo nimeacha laptop kitandani nilikua nafagia nje nimerudi ndani laptop haipo. Nikabaki nimeduwaa tu pale akili inaniwazisha vilivyomo mle ndani...
Proposal
Research
Articles
Software za vyeti
Back up ya smartphone nilizowahi kutumia.
Back up ya contacts.
Picha.

Halafu kumdai siwezi.
Aisee alikuwa manzi akoo nin?
 
mi wezi kitaani wananiogopa siku moja kuna mdogo wangu wa kike mtoto wa mjomba alitoka mkoani kaja dar kunitembelea kwa kuwa alikuwa mgeni kitaani wahuni wakamtaitisha uchochoro flani usiku wakati anarudi kutoka kwenye mihangaiko yake wakampora mkoba na simu alirudi analia nikamwambia subiri mbona vitu hivyo vinapatikana chapu tu nikamchukua hadi kwa jamaa mmoja hivi kitaani ana historia nzuri sana ya ujambazi na ndio anafadhili magenge yote ya uhalifu kinondoni nzima na vitongoji vyake nikamwambia mdogo wangu kaibiwa mkoba wake sasa hivi hebu niitie aliyemuibia of course anajua harakati za wezi wote mtaani,anajua kitu gani kimeibiwa saa ngapi au sehemu gani kwa kuwa lazima vipitie kwake,basi nikaletewa mtu wangu kwa kuwa Mimi mwenyewe nina historia za kimafia niliheshimiwa sana na kuogopwa basi ghafla bin vuu nikaanza kumuweka makofi yule mwizi mbele ya mkuu wake,mpaka wakaanza kunisihi nimsamehe kwani alikuwa mgeni mtaani hajui ramani zinasomekaje tukachukua vitu vyetu tukasepa,Siku nyingne niliibiwa gypsum zangu niliziweka kibarazani wezi waliruka ukuta na kuingia ndani wakazibeba kama kawaida nikawafata na kuwaamrisha warudishe maana sio ombi na wananijua vizuri sema kiburi tu kesho take mbona nilizikuta palepale
 
Ilikuwa mwaka 2016 au 2017 pale Kariakoo barabara ya Msimbazi mida ya saa 12:30 jioni natoka kwenye mizunguko yangu, Kwenye mfuko wa suruali nina Million 2 kwny shati ina simu aina ya Galaxy A9 sasa ile navyuka mwendokasi road mara paah wakaja watu watatu mbele yangu wawili moja ametangualia mbele ya mwingine na mmoja nyuma yangu huyu alikuwa na nifuatilia toka mbali simu nimeweka kwny mfuko wa shati basi ile navuka tuuuh road yule wa mbele akawa kama amejikwa mara ananigusa suruali nikajua anataka kuniangusha nikamkwepa mara yule wa pili mbele akaja moja kwa moja na kunishika mabega akanitikisa hivi Na kusema ‘Mr vipi’ kumbe yule wa nyuma alikuja fasta na kuchomoa simu na kupa yule aliedondoka..... Huku nimeshikilia mifuko ya suruali kumbe majamaa wameona simu kaaah ile nageuka tuuh wamachinga wananipa pole bro... ni kitendo cha fasta sana nikama 30sec hivi
Nilipigaga wezi wa dizaini hii Kariakoo kwa msomali fulani. Alinivamia mmoja huyo wa kujikwaa huku wengine wanaandaa shambulizi. Aisee since nilijua huu ukuda, nilimpa kwanja moja la ki-JKT aligalaga huku wenzake wanatoka nduki, hakuna wa kunisogelea tena, nilibaki kusikia mashangilio huku napanda daladala. Sijui yule jamaa kama aliamka asee, maana nilimfumua pabaya!!
 
Mi mwaka 2017 niliibiwa laptop tena ndani ya gari langu. Nimepita zangu pale Chuo - Mulimani nakutana na Mulemavu na ndugu yake wakaniomba niwasaidie hadi mbele kidogo.. Kumbe yule Mulemavu ananichora tu maana yeye alikaa viti vya katikati ya gari langu. Basi akajibana akafungua begi akachukua laptop, akaficha kwenye koti alovaa akashuka kwa kutambaa. Yule aliyekaa kiti cha mbele alinichangamukia na kunishukuru sana kumbe washaniliza. Wakashuka wakaondoka zao nami nilipofika nyumbi kushusha begi likawa liko wazi. Laptop HP ilikuwa na Miezi mine tu na niliinunua TZS 3.5 Milioni. Niliugua hadi leo. Sijui kama nitatoa tena msaada kwa mwenda zake barabarani.
Hii ilishanifunza. Sitoi lifti kama mtu simjui kabisa, hizo thawabu zinipite tu!
 
Hi Jumong S,

1.Nilikuwa naenda kwenye miangaiko yangu sasa kuna jamaa akanitumie Picha WhatsApp kuna kitu alikua anauza,ilikuwa lazima nizitume fasta kwahiyo ikabidi nitoe simu niziforward kwa mtu(mambo ya udalali si unajua),kumbe jamaa wa bodaboda(nyakunyaku) alikuwa anani_time akaenda mbele akawa ananisubiri sina ili wala lile naona kaja kaidaka kwa mbele akaivuta kwakuwa mie ni mtu wa matizi akashindwa kuivuta maana nilikuwa nimeishika kwa nguvu na pia nikiwa natembea simu naikamata hasa siishiki kizembezembe(kiboyaboya)....Hapa funzo simu haishikwi kislake slake.

2.Nilikuwa ghetto nimelala uswazi,mida kama ya saa nane hivi nikasikia kitu kinachanwa hivi,kustuka jamaa akajibanza,nikanyanyuka kuangalia dirisha nikakuta jamaa kashakata nyavu,kutoka nje nikakuta kapanga matofali na jordan yake hili avute simu....Hapa funzo usiku usilale kama porno lala kimachale hata ukisia hata hatua nje au kitu kimegonga ustuke.
Mkubwa King Kong III nimekuelewa sana. Niliwahi kukoswakoswa kwa wizi wa kuchana nyavu! Yaani mlume ndago kulala kama gunia la viazi vya Njombe ni upoyoyo!
 
Nilikua kwenye gari nikakwapuliwa simu yangu na bodaboda.

Washenzi hawa bora wanavyochomwa kama mishkaki
Wanakera sana!! Wakati mwingine funga vioo hasa kwenye foleni. Tumia AC tu kuliko kuacha wazi, ni too risk cku hizi. Pole.
 
mi wezi kitaani wananiogopa siku moja kuna mdogo wangu wa kike mtoto wa mjomba alitoka mkoani kaja dar kunitembelea kwa kuwa alikuwa mgeni kitaani wahuni wakamtaitisha uchochoro flani usiku wakati anarudi kutoka kwenye mihangaiko yake wakampora mkoba na simu alirudi analia nikamwambia subiri mbona vitu hivyo vinapatikana chapu tu nikamchukua hadi kwa jamaa mmoja hivi kitaani ana historia nzuri sana ya ujambazi na ndio anafadhili magenge yote ya uhalifu kinondoni nzima na vitongoji vyake nikamwambia mdogo wangu kaibiwa mkoba wake sasa hivi hebu niitie aliyemuibia of course anajua harakati za wezi wote mtaani,anajua kitu gani kimeibiwa saa ngapi au sehemu gani kwa kuwa lazima vipitie kwake,basi nikaletewa mtu wangu kwa kuwa Mimi mwenyewe nina historia za kimafia niliheshimiwa sana na kuogopwa basi ghafla bin vuu nikaanza kumuweka makofi yule mwizi mbele ya mkuu wake,mpaka wakaanza kunisihi nimsamehe kwani alikuwa mgeni mtaani hajui ramani zinasomekaje tukachukua vitu vyetu tukasepa,Siku nyingne niliibiwa gypsum zangu niliziweka kibarazani wezi waliruka ukuta na kuingia ndani wakazibeba kama kawaida nikawafata na kuwaamrisha warudishe maana sio ombi na wananijua vizuri sema kiburi tu kesho take mbona nilizikuta palepale
Umetisha mkuu
 
Wanakera sana!! Wakati mwingine funga vioo hasa kwenye foleni. Tumia AC tu kuliko kuacha wazi, ni too risk cku hizi. Pole.
Yan eneo nililokuwepo sikua na wazo kama kunakua na vibaka. Nikashangaa tu simu yangu ileeeee. Sikula siku hiyo ila nilihakikisha simu yangu inarudi.
 
Uliipataje dada angu?, tujifunze na wengine asee!!!
 
Mi mwaka 2017 niliibiwa laptop tena ndani ya gari langu. Nimepita zangu pale Chuo - Mulimani nakutana na Mulemavu na ndugu yake wakaniomba niwasaidie hadi mbele kidogo.. Kumbe yule Mulemavu ananichora tu maana yeye alikaa viti vya katikati ya gari langu. Basi akajibana akafungua begi akachukua laptop, akaficha kwenye koti alovaa akashuka kwa kutambaa. Yule aliyekaa kiti cha mbele alinichangamukia na kunishukuru sana kumbe washaniliza. Wakashuka wakaondoka zao nami nilipofika nyumbi kushusha begi likawa liko wazi. Laptop HP ilikuwa na Miezi mine tu na niliinunua TZS 3.5 Milioni. Niliugua hadi leo. Sijui kama nitatoa tena msaada kwa mwenda zake barabarani.
yaaa aina gani
 
NILIVYOPOTEZA SIMU NA LAPTOP.
Ilikua tarehe 5 mwezi wa 6 2017 narudi geto saa 6 hivii mitaa ya Fuoni Zanzibar nafungua mlango nakuta vitu viko hovyo hovyo. Vitabu,Nguo,Cds zilikua kwenye kabati. Vyote vimemwagwa hadi shuka imetanduliwa kitandani. Nikawa nafikiri nini kimetokea. Whaaaaaat nikakumbuka Laptop Toshiba yangu na Simu yangu ya Samsung Galaxy S4 GT-19500. Nilikua nikiondoka navifungia ndani ya begi la nguo. Siku hiyo na simu niliacha nikatembea na sim ndogo ya HTC.

Kufungya begi hakuna kituu. Laptop ndio nilikua nina mwaka 1 nimeinunua bado mupyaaa kabisa. Simu nilikua nina mwaka na miezi kadhaa ninayo. Ukweli nililia sana sanaa hata sikulala kabisaa.

Waliiba Pasi ya umeme na Hearter pia.
Kama waliuza kwa bei za kueleweka hawakukosa Millioni hivi.

Toka siku hiyo nilipachukia Zenji kabisaa
hakika huyo mwizi alikuja kufungua uzi kwenye jukwaa la biashara unaosema"ninaweza kufanya biashara gani kwa mtaji wa milioni 1"
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom