Njoo tukumbushane ulivyoibiwa simu au kompyuta

Njoo tukumbushane ulivyoibiwa simu au kompyuta

Huyu sijui ilimuishaje aisee ye analia n daftari tu
IMG-20160222-WA0011.jpg
 
Mimi nilikuwa pale manzese tip top natembea uku nachart looo salale wakaja watu wa bodada yule aliepakiwa nyuma akadaka simu, nami paaap kushutuka nkamdaka kiuno wakaanza kuniburuza akaanza kusema we **** achia nikaona anachomoa kitu,, aisee nikaachia wakasepa na tecno yanu
 
pole mkuu,sema ulipambana
 
Duh! Ndo maana US wanaruhusu kumiliki gun. Hapo ungekuwa na bastora just aina ya belleta, ungembatua kwenye kiuno asingebaki hata chawa!!!
 
Duh! Ndo maana US wanaruhusu kumiliki gun. Hapo ungekuwa na bastora just aina ya belleta, ungembatua kwenye kiuno asingebaki hata chawa!!!
Hakika ningekuwa hata na bisibisi angejuta kuzaliwa kunguni yulee
 
Huwa nasema siku mtu akijidanganya kuniibia nitamponda miguu na Mbao za Mawe hadi ajisikie kukojoa.
 
February 8, 2018... Waluguru washamba wa Moro... waliniibia Simu tecno W4 moja(1), Simu ndogo za kuweka laini tatu...simu mbili (2), na simu ya mtu mwingine ambayo nilikuwa nayo mm (1). Jumla simu nne niliibiwa:
Ilikuaje:
Nilikuwa nimefuata kuagiza chipsi kibanda cha jirani, yaani simu nilimkusanyia zote zilikuwa karibu karibu mezani. Cha ajabu palikuwa na PC hapo mezani ...lakini akaacha PC akakomba simu zote mluguru fala sana. PC pamoja na external drive ya 1TB akaviacha, akakomba simu tu zile...😵. Waluguru ni mavi tu....nilishangaa sana ule uizi, yaani dakika tano hazikupita narudi mezani nakuta simu zimesafishwa na majirani wakasema hawakumuona mtu akibeba maana walikuwa hawaangalii
 
Mimi ilikua usiku wa saa nane nimetoka bar kibaka akaniuliza saa ngapi saivi nikatoa kasim kangu kuangalia saa akanipokonya akaingia kwenye mahindi kanokia kangu 2730c hii ni 2015
 
NILIVYOPOTEZA SIMU NA LAPTOP.
Ilikua tarehe 5 mwezi wa 6 2017 narudi geto saa 6 hivii mitaa ya Fuoni Zanzibar nafungua mlango nakuta vitu viko hovyo hovyo. Vitabu,Nguo,Cds zilikua kwenye kabati. Vyote vimemwagwa hadi shuka imetanduliwa kitandani. Nikawa nafikiri nini kimetokea. Whaaaaaat nikakumbuka Laptop Toshiba yangu na Simu yangu ya Samsung Galaxy S4 GT-19500. Nilikua nikiondoka navifungia ndani ya begi la nguo. Siku hiyo na simu niliacha nikatembea na sim ndogo ya HTC.

Kufungya begi hakuna kituu. Laptop ndio nilikua nina mwaka 1 nimeinunua bado mupyaaa kabisa. Simu nilikua nina mwaka na miezi kadhaa ninayo. Ukweli nililia sana sanaa hata sikulala kabisaa.

Waliiba Pasi ya umeme na Hearter pia.
Kama waliuza kwa bei za kueleweka hawakukosa Millioni hivi.

Toka siku hiyo nilipachukia Zenji kabisaa
Hivi zenji kuna madada poa?
 
Kuna mtu aliniomba laptop yangu acheki muvi nikampa kesho ananipigia ananiambia njoo home kuna ishu imetokea.

Nikafika ananiambia asubuhi leo nimeacha laptop kitandani nilikua nafagia nje nimerudi ndani laptop haipo. Nikabaki nimeduwaa tu pale akili inaniwazisha vilivyomo mle ndani...
Proposal
Research
Articles
Software za vyeti
Back up ya smartphone nilizowahi kutumia.
Back up ya contacts.
Picha.

Halafu kumdai siwezi.
Ikawaje mwisho wake?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom