Njoo tukumbushane ulivyoibiwa simu au kompyuta

Uliipataje dada angu?, tujifunze na wengine asee!!!
Nilienda polisi kureport nikapewa RB na mpelelezi. Nilienda na box la simu na receipt kuthibitisha kua ni mali yangu (hivyo vitu ni muhimu sana kukaa navyo).

Kuna mtu namfahamu wa kampuni moja ya simu akawa anaitrack ilivyojulikana ilipo polisi akaenda kumkamata na yule aliokutwa na simu akarudisha simu na kulipa gharama za usumbufu.

Hata mpelelezi anakufanyia hiyo maana wa cyber wanakuaga na software zao sema ndio lazima umtoe.

Halafu simu za android ni rahis kupatikana kuliko iphone sababu vibaka wakishajua wameiba iphone wanauza vifaa sio simu tena.
 
Duh!hao polisi safi, sema wako too scarce and corrupt. Wengi tukinunua kitu lisiti na box sijui vitabu tunatupa kumbe muhimu sana.

I have taken this point. Asante sana!!
 
Mm nlipata ajali 2013/5/ nkaibiwa nokia asha 201 wakati simu inachukuliwa mfukon naona lakini nlikuwa sijiwezi toka na ajali hiyo
I can sense namna ulivoumia mwili na roho. Wa kukusaidia anakuibia huku ukiona!! pole sana!
 
Duh!hao polisi safi, sema wako too scarce and corrupt. Wengi tukinunua kitu lisiti na box sijui vitabu tunatupa kumbe muhimu sana.

I have taken this point. Asante sana!!
Yani usitupe hivyo vitu na usinunue simu mkononi unless anayekuuzia akupe box na receipt yake.

Kuna mtu na heshima zake aliwahi kulala selo kisa mtu kaenda kureport kaibiwa simu halafu akawa amekosea kutaja imei. Polisi wao hawana mswalie mtume ni ndani. Mpaka kuja kujua imei zimekosewa ni baada ya mtuhumiwa kuleta box la simu yake na receipt.
 
Sitosahau tarehe 1/12/2016 nimetoka beach comber na manzi angu kipindi hicho mi nakaa tabata yeye vingunguti (liwiti). Nikapanda gari had makumbusho then nkachukua ya buguruni. Asee kushuka buguruni sokoni mida ya saa 5 usiku hivi kumbe wahuni wanatuchora tuu vile uzungu mwingi mtoto anatembea kanishika kiuno kumbe mkoba kashika bega la mkono mwingine upande wa barabarani. Dah nilishangaa mama kasema daaah!!! Naona bodaboda yuleee na mkoba wa mama. Iliniuma sana ***** japo hapakuwa na kitu cha maana sana ndani ya mkoba, simu zake mbili (iphone)nilikuwa nazo mimi mfukoni.
Tangu siku hiyo nikikutwa mwizi anapigwa sehemu na mimi naongeza jiwe moja au mawili then natembea. Nawachukia wezi sana *****
 
nilikuwa nawaza mtu anaanzaje kumuua mwizi kama ndiyo hivi wanazingua kinoma
 
Duh!!yani wanakuchomoa mfukoni huhisi kitu
 
Mara ya kwanza niliibiwa ubungo stand wakati napanda magari ya mbezi wakati nagombea wakanilia timing

Mara ya pili ilikuwa manzese..natoka kwa sensei jango enzi hizo green belt nikakutana na manunda wawili... Mmoja nilimpiga Mai geli kende zikaingia tumboni.. Mwingine akakimbia
 
Nilibiwa Laptop Bulls Park!Tarehe 12/04/2018
Jamaa wanafanya timing Unaposhukia anakuwa upande wa pili ,kwakuwa nilikuwa alone haikuwa kazi kwake wkt nafungua mlango nae akawa anafungua wa Pili then napofunga wangu kumbe yeye anauacha wazi ukienda kaa ndio unapopigwa
Kama umeweka door locks while driving ukisimama na kufungua mlango wako hataweza....
 
Mara ya kwanza niliibiwa ubungo stand wakati napanda magari ya mbezi wakati nagombea wakanilia timing

Mara ya pili ilikuwa manzese..natoka kwa sensei jango enzi hizo green belt nikakutana na manunda wawili... Mmoja nilimpiga Mai geli kende zikaingia tumboni.. Mwingine akakimbia
Acha fix wewe hahaa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom