Njoo na hoja nani unaona anamzidi Rais Samia

Utajuaje nani anafaa wakati hapajawa na room iliyo sahihi isiyo na mawaa ya kuwafanya wananchi tuwaone wanaofaa kuwania nafasi ya urais
Mkuu wananchi mnalalamika sana kuhusu Rais sasa Kama mtu hamumtaki inamaana atakuwepo mnaye mtaka nyinyi ndiyo yupi sasa na kwanini yeye? Ana Quality zipi za kuwa Rais?

Ukisema tu hatumtaki fulani then hauna mbadala wa wewe unaye mtaka naona inakuwa kama kuto kujielewa au unanisahisha vipi hapo Mkuu?
 
Apitishwe kwenye mchakato ndani ya chama, ashindanishwe,

U-CEO wa viti maalum nchi hii amna.
Ashindanishwe na nani Mkuu ndiyo Mimi nahitaji kujua?

Nani unaona ana sifa za kuwa Rais na kwanini yeye?
 
Prof Kabudi......akili nyingi, maarifa, msomi mwongeaji mzuri, anajua sheria, historia ya nchi, Afrika na dunia, na kutumikia Wizara mbalimbali kumemuongezea ufahamu mkubwa wa Serikali na matarajio ya wananchi. Sidhani kama ana tamaa ya kujilimbikizia mali pia
 
Habari Wakuu.

Kwasasa kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu nani/namna/hali/uelekeo wa nchi yetu ya Tanzania.

Mimi Fact Only nauliza kwa uzuri kabisa ni nani Watanzania mnaamini/mnaona akipewa nchi hii anaweza kuiongoza vyema kumzidi Mh Rais Samia.

Sio kwa majaribio bali kuiongoza nchi hii kweli kweli kwenye uelekeo mzuri na mafanikio makubwa.

NI NANI? KWANINI YEYE? ANA QUALITY ZIPI?
Nafikiri Dr.Shilole
 
Mkuu wananchi mnalalamika sana kuhusu Rais sasa Kama mtu hamumtaki inamaana atakuwepo mnaye mtaka nyinyi ndiyo yupi sasa na kwanini yeye? Ana Quality zipi za kuwa Rais?

Ukisema tu hatumtaki fulani then hauna mbadala wa wewe unaye mtaka naona inakuwa kama kuto kujielewa au unanisahisha vipi hapo Mkuu?
Nani kakakwambia hakuna mbadala ?

Yaani unafungia sahani nzuri chumbani kwako, halafu ukiwa sebuleni unawauliza watoto wako wanataka sahani zipi tofauti na hizo wanazoziona.
 
Prof Kabudi......akili nyingi, maarifa, msomi mwongeaji mzuri, anajua sheria, historia ya nchi, Afrika na dunia, na kutumikia Wizara mbalimbali kumemuongezea ufahamu mkubwa wa Serikali na matarajio ya wananchi. Sidhani kama ana tamaa ya kujilimbikizia mali pia
Good Mkuu ngoja tuone Raia wengine wanasemaje kuhusu Prof.
 
"Kwani samia alikuwa na sifa zipi kabla ya kuwa rais zaidi ya kuwa mwana ccm"

👆 Umeona hoja yako ndiyo Mimi nakuuliza kama Samia alikuwa hana sifa zaidi ya kuwa mwana CCM. Je TAL ana sifa zipi za kuwa Rais au nayeye hana sifa bali anahitajika tu kuwa Mwana CCM ili awe Rais kama Samia?

Naomba hoja kwanini awe Lissu na sio mwingine?
Hivi kumbe unaweza kufungua thead na usiwe na uelewa na unacho kizungumzia aah? nimeuliza nikimanisha samia alikuwa na experience gani ambayo ni ya kipekee na ni ngumu kwa mwingine kuipata ili awe rais bora.
Na hapo huelewi au unatatizo kichwani
 
Nani kakakwambia hakuna mbadala ?

Yaani unafungia sahani nzuri chumbani kwako, halafu ukiwa sebuleni unawauliza watoto wako wanataka sahani zipi tofauti na hizo wanazoziona.
Good Mfano mzuri Mkuu.

Ndiyo Mimi nahitaji watoto waseme sahani ambazo wao wamewahi kuziona ukiachana na hizi za sebuleni.

Na kwanini wazipende za chumbani kuliko za sebuleni nahitaji hoja Mkuu WHY?
 
Sasa zitoe hizo za chumbani, halafu waulize tena watoto wako wanapenda sahani zipi.

Serikali ya ccm iweke mazingira ya kiushindani yenye uhuru na haki halafu uone kama hakutapatikana mbadala wa maza
 
Ashindanishwe na nani Mkuu ndiyo Mimi nahitaji kujua?

Nani unaona ana sifa za kuwa Rais na kwanini yeye?
Wapo wengi wenye UWEZO nchi hii,

Mchakato uwe wa wazi watu wachukue fomu.

Kuhusu nani atamchukua fomu ni chama kitajua baada ya mchakato kuanza.
 
Hivi kumbe unaweza kufungua thead na usiwe na uelewa na unacho kizungumzia aah? nimeuliza nikimanisha samia alikuwa na experience gani ambayo ni ya kipekee na ni ngumu kwa mwingine kuipata ili awe rais bora.
Na hapo huelewi au unatatizo kichwani
Samia hakuchaguliwa na wananchi Mkuu don't forget that .
 
Habari Wakuu.

Kwasasa kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu nani/namna/hali/uelekeo wa nchi yetu ya Tanzania.

Mimi Fact Only nauliza kwa uzuri kabisa ni nani Watanzania mnaamini/mnaona akipewa nchi hii anaweza kuiongoza vyema kumzidi Mh Rais Samia.

Sio kwa majaribio bali kuiongoza nchi hii kweli kweli kwenye uelekeo mzuri na mafanikio makubwa.

NI NANI? KWANINI YEYE? ANA QUALITY ZIPI?
Urais sio WA majaribio, je wwunazidiwa uwezo na mtu alitaka sain mikataba usio na kikomo cha muda

Tuna watu wengi wenye uwezo WA kutongoz mbali na hap wanasias maarufu
 
Sasa zitoe hizo za chumbani, halafu waulize tena watoto wako wanapenda sahani zipi.

Serikali ya ccm iweke mazingira ya kiushindani yenye uhuru na haki halafu uone kama hakutapatikana mbadala wa maza
Nakuelewa Mkuu.

Me nakuuliza wewe sasa nani unaona anaweza kuwa mbadala wa Maza iwe ndani ya CCM au nje nani? na kwanini yeye?
 
Back
Top Bottom