Njoo na hoja nani unaona anamzidi Rais Samia

Njoo na hoja nani unaona anamzidi Rais Samia

Ok good Mkuu tuone maoni ya raia wengine kuhusu 👇.
1. Salum Mwalimu ✓
Salum hajawahi kuwa hata mjumbe wa serikali ya mtaa
Majaliwa ni truly tested na uzoefu mwingi na hatujasikia kashfa ya ufisadi dhidi yake..
 
Mara nyingi ukienda mnadani na mazao ambayo hayako vizuri ama kama ni ng'ombe mbuzi au kondoo waliokondeana utapata shida sana kuwauza !""
 
Salum hajawahi kuwa hata mjumbe wa serikali ya mtaa
Majaliwa ni truly tested na uzoefu mwingi na hatujasikia kashfa ya ufisadi dhidi yake..
Well Majaliwa kaongelewa Sana ngoja tuone wanchi wengine wanasemaje kuhusu yeye.
 
Mara nyingi ukienda mnadani na mazao ambayo hayako vizuri amna kama ni ng'ombe mbuzi au kondoo waliokondeana utapata shida sana kuwauza !""
So ng'ombe, mbuzi au kondoo walio nona tunawapata wapi Mkuu ili tuuze?
 
Habari Wakuu.

Kwasasa kumekuwa na malalamiko mengi sana kuhusu nani/namna/hali/uelekeo wa nchi yetu ya Tanzania.

Mimi Fact Only nauliza kwa uzuri kabisa ni nani Watanzania mnaamini/mnaona akipewa nchi hii anaweza kuiongoza vyema kumzidi Mh Rais Samia.

Sio kwa majaribio bali kuiongoza nchi hii kweli kweli kwenye uelekeo mzuri na mafanikio makubwa.

NI NANI? KWANINI YEYE? ANA QUALITY ZIPI?
Kumzidi kwa lipi?

Kama ni ukuu wa nchi ya Tanzania, hakuna anaemzidi.
 
Nafikiri Kila mmoja anamzidi ndiyo maana wanaweza kumpeleka watakavyo
 
Ni mzigo Kwa shingo.

Vipi Mkuu wewe unaona nani anafaa kuwa Rais wa JMT na kwanini?

Au kichwa chako kimebeba matusi tu?
Wekeni mazingira sawa ya uchaguzi mtapata majibu nani anafaa.

Acheni kuteka na kupoteza wapinzani, acheni kuwabambikia kesi wapinzani wa kweli, acheni kuiba kura mtapata majibu sahihi.

Hapa ni kama mshichana wa rika balehe unajichekeshachekesha ili hali mnajua uhuni mnaofanya.
 
Akitaka ule utabiri wa Sheikh yahya utimie basi amwachie Lissu kisha aweke tume huru aone watu wakichukua nchi asubuhi na mapema.
 
hafugi watu wasiojulikana kwenye himaya yake. Haki ya kuishi ni kitu cha kwanza mengine baadae
Well hivyo unaamini hata akiwa Rais ataendelea kuwa hivyo hivyo au Kuna sifa zingine anazo haujazisema Mkuu?

Cuz me binafsi naona hiyo sifa moja uliyo isema bado hajatimiza zile Quality za kuwa president.
 
Lucas Mwasha -Mbwa

Back
Top Bottom