Njia za kumjengea mtoto wako tabia mpya

Njia za kumjengea mtoto wako tabia mpya

Joined
Mar 21, 2024
Posts
35
Reaction score
69
Albert Bandura (1960) alikuja na nadharia ya social learning theory. Hii ni nadharia ambayo imetengenezwa na Kuonesha namna ya kujenga tabia mpya.....

Albert Bandura amefundisha juu ya umuhimu wa observational learning (kujifunza kwa kuangalia). Hii ni mbinu ambayo mzazi yoyote anaweza kumjengea mtoto wake..... kama unataka kumfundisha mtoto wako upendo hakikisha kwamba na wewe pia ni mtu mwenye upendo!!!!

Hii itasaidia sana..... lakini je Albert alituachia pia hatua ambazo mtu anaweza kujifunza... na hatua hizo ni pamoja na

1. Attention(kuzingatia) unatilia maanani tabia

2. Retention (kuhifadhi) ulichokiona

3. Kuzalisha (reproduction) kujenga tabia mpya!!!!

4. Motisha (motivation) sababu ya kuiga.....

Haya yote tunayapata kutoka kwa Albert Bandura ukitaka kuwa mzazi bora basi anza kwa kuwa model mzuri kwa watoto wako!!!

Asanteh kama umependa naomba unifollow instagram @officialpartmalila
 
Back
Top Bottom