Albert Bandura (1960) alikuja na nadharia ya social learning theory. Hii ni nadharia ambayo imetengenezwa na Kuonesha namna ya kujenga tabia mpya.....
Albert Bandura amefundisha juu ya umuhimu wa observational learning (kujifunza kwa kuangalia). Hii ni mbinu ambayo mzazi yoyote anaweza...
Mfumo wa elimu unaotumiwa na watoto wengi nchini Kenya umebadilika kutoka mfumo wa 8-4-4 hadi mfumo wa elimu unaozingatia uwezo, vipaji na ujuzi wa mwanafunzi, unaojulikana kama Competency-Based Curriculum (CBC).
Mabadiliko haya yamezua maswali miongoni mwa wazazi na walezi. CBC inamaanisha...
Je, mtoto wako anahitaji mwalimu wa kumfuatilia kwa karibu akiwa nyumbani?
Elite Home Tuition tunakuletea walimu wenye uwezo na uzoefu kulingana na mahitaji ya mwanafunzi. 👨🏫👩🏫
📖 TUNAFUNDISHA MITAALA MBALIMBALI:
🇹🇿 Tanzania Curriculum
🇬🇧 British Curriculum
🌍 Cambridge Curriculum
🇺🇸 American...
KAMA HUTAKI MTOTO WAKO AITWE MTOTO HARAMU, ZAA KWA UTARATIBU HALALI. NJE YA HAPO HARAMU ITAITWA HARAMU TUU.
Anaandika, Robert Heriel
Mtibeli
Oooh! Mtoto hana makosa yoyote. Oooh! Mtoto hahusiki. Bla blah blah! Haramu ni haramu tuu.
Unapofanya tendo haramu, matokeo yake ni haramu pia. Haramu...
Sio uwongo yani kama wazazi na mliopo hapa jifunzeni kukabiriana na roho za hapa.
Wamewamaliza sana T.O wa tanzania wengine wakawa wanafundisha twisheni na wengine wakaishia kuchekwa na wasio soma.
Kuna dogo hapa mzazi wake aligundua mtoto wake sio level hii nchi ,kwa uwezo wake aliona bora...
Kuna mada hapa zilishaeleza malalamiko kuhusu watu wengi wanajikuta wakiingizwa kwenye kesi ambazo mda mwengine na yeye kama anajiuliza ilikuwaje.
Nilichojifunza kwa wenzetu ni kwamba kama ulishindwa kulea.serikali itakunyang'anya na kuwa adopted kwa lazima.
Lilikuwa sio jambo baya ila kuepuka...
Mafanikio ya mtoto wako yanaanzia hapa!
Tunatoa huduma bora za Home Tuition kwa wanafunzi wa ngazi zote (One hadi Six) pamoja na wanaoanza kabisa (Beginners).
Tunafundisha:
✅ Mitaala yote ya shule
✅ Kiswahili
✅ Lugha za kigeni mbalimbali kwa wanafunzi wanaotaka kujifunza lugha mpya, mfano:
🇬🇧...
Angalia watu unaokaa nao leo. Watoto wako watakaa na watoto wao kesho. Kama marafiki zako wanapenda kazi na maendeleo, mtoto wako atajifunza kufanya bidii. Kama ni kelele na porojo tu, mtoto wako atajifunza kupoteza muda.
Usikubali kila mtu maishani mwako. Uliza kwanza huyu mtu ananifundisha...
Hili si la wanawake pekee hata wanaume mnahusika katika kuhakikisha afya za watoto lazima kujua mtoto wenu anatumia lishe gani, je ina faa au bora asibe tu.
Kuna kautamaduni ka kuhisi lishe ya mtoto hasa uji ni ule wenye mchanganyiko wa nafaka mbalimbali bila kujua kipimo cha nafaka hizo na...
Katika ulimwengu unaoendeshwa na kasi ya maendeleo ya teknolojia, matumizi ya Akili Unde (AI) yameanza kuwa sehemu ya maisha ya kila siku, ikiwemo katika malezi na elimu ya watoto.
Wazazi na walezi wanakabiliwa na uamuzi muhimu: je, ni sahihi kumruhusu mtoto kutumia AI kama nyenzo ya...
Mimi Kuna chakula watoto wangu nimepambana mpaka wamekipenda na kukizoea
Mfano. Bamia na baadhi ya matunda watoto walikuwa hawapendi ila kwa sasa nimewazoeza na wanakula balaa.
KATAA NDOA sio suluhisho na kuzalisha mwanamke na kumkimbia sio suluhisho pia. Katika maamuzi yote utakayotaka kufanya usikubali kuona mtoto wako anapewa malezi na baba mwingine, kama unampenda mtoto wako kwel na unataka apitie katika mema ya maisha basi hakikisha uyo mtoto unamlea wewe na mama...
Unahitaji mwalimu wa kumfundisha mwanao nyumbani? Elite Home Tuition tunakuletea huduma bora ya walimu waliobobea kwa:
✅ Masomo yote – Sayansi, Hisabati, Lugha n.k.
✅ Mitaala yote – NECTA, CAMBRIDGE, IB
✅ Ngazi zote – Nursery hadi A-Level
✅ Lugha za kigeni – Kiingereza, Kifaransa, Kichina...
"Kaeni mzungumze vijana wetu wasitumike walivyotumika, unaporudi leo mzee kulia kijana wako kaumizwa mguu, kijana wako kwa bahati mbaya alikufa, ulishindwa nini kumzuia asitoke? ulishindwa nini kumwambia maneno ya hekima asiende?"
Rais Samia akizungumza na wazee wa mkoa wa Dar es Salaam...
Kujiamini ni sifa muhimu ya kumsaidia mtoto kufanikiwa katika maisha. Kama mzazi, unachukua jukumu muhimu katika kujenga msingi imara wa kujiamini kwa mtoto wako. Hizi hapa ni mbinu tano za kumsaidia mtoto wako ajiamini zaidi.
1. Msifie kwa Juhudi, Sio kwa Vipaji
Badala ya kumsifia tu kwa...
Unaishi mkoani Mara. Mwanamke mmoja ambaye mliwahi kuwa na uhusiano wa muda anakutafuta na anadai kuwa una mtoto naye. Amekuwa akikukamua pesa kila mwezi kwa madai ya matunzo ya mtoto. Huku ukiamini wewe ni baba halali, umekuwa ukitoa msaada kimya kimya.
Lakini, kwa kutaka kuthibitisha ukweli...
Sikuhizi wazazi wamekuwa wavivu sana katika uangalizi wa watoto wao. Wazazi wanawaacha watoto wao wadogo wanavuka barabara kuu (high way) pekee yao wakati wa kwenda shule.
Right Marker
Dar es salaam
Kama utaweza kufanya upumbavu na unyama wa aina hii kwa kisingizio cha jadi ya dini au mara oooh sijui nani nani tunaemuheshimu alifanya then unastahili kibaya chochote kile kikutokee maishani mwako.
Naeelewa hatuko perfect ila kwenda kurubuni mtoto mdogo wa kike miaka 6, 12, 9, 10, 8 wewe ni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.