Njia ya kweli na uzima

Njia ya kweli na uzima

Nina amini mungu kivyangu na katu sitaki kutumia njia tulizoletewa na watu waliokuja kututawala..........nina miaka 50

Mkuu haya ni mambo ya history,ndio maana hulazimishwi kuamini,kumbuka kuna binadamu wengi wanaishi hapa duniani na hawaamini chochote kuhusu Mungu,tukirudi nyuma kidogo wakati wa Mfalme Sulemani unakumbuka kuna malkia alitoka AFrica kwenda kumtembelea??kama unaweza kuelewa jambo kama hilo basi ujue Yesu kuwa mzungu au Mwafrica au Mchina haijalishi,jambo muhimu ni Imani yako
 
Sasa umeniuliza imani yangu nami nikakwambia mbona unanihukumu? Hilo la malkia nalijua fika lakini alienda miaka 3,000 kabla ya YESU kuzaliwa. Nadhani unaelewa muda kama huo unamaanisha nini. Fikiria miaka 3,000 iliyopita Tanzania kulikuwa na nini.
 
Unajua kwamba Yesu alifika Ethiopia Africa kuhubiri? Apostle Paulo naye vilevile alifika Nchi za Kiafrica kwa ajili ya kueneza neno la Mungu,sasa uzungu wa Yesu kumbe hauna maana yoyote,hata Paulo alikuwa Mzungu???
 
Oops........naona hatuelewani kabisa.....I will stop lest I spoil your day
 
Tomaso akamwambia,BWANA [Yesu],sisi hatujui uendako; nasi twaijuaje njia ? Yesu akamwabia,Mimi ndimi Njia,na Kweli,na Uzima;mtu haji kwa Baba,ila kwa njia ya mimi.{Injili ya YOHANA 14:5-6}
 
Unajua kwamba Yesu alifika Ethiopia Africa kuhubiri? Apostle Paulo naye vilevile alifika Nchi za Kiafrica kwa ajili ya kueneza neno la Mungu,sasa uzungu wa Yesu kumbe hauna maana yoyote,hata Paulo alikuwa Mzungu???

Ubaguzi wa rangi,ukabila na utaifa ni dhambi mbaya sana.Asili ya mwanadamu ni Adamu na Eva[Hawa]tu.
 
Nijia ya kweli na uzima ni kusoma kitabu kitakatifu, kukielewa na kufuata kilichoandikwa.
 
Back
Top Bottom