Njia ya kweli na uzima

Njia ya kweli na uzima

Bujibuji Simba Nyamaume

Platinum Member
Joined
Feb 4, 2009
Posts
78,980
Reaction score
168,493
391703_515649731795875_896254183_n.jpg
 
mbona hivi, sasa mbona anakanyaga Vitabu Vitakatifu!?? Hii si ni sawa na kuikojolea?
 
Sisi wabantu hatuhusiki katika lolote kama issue ni dini maana zote za wenzetu na rangi zao si kama za kwetu,zetu zilikuwa matambiko.
hapana,wanatuhusu,historically wote wametokea huku,,,,so ni descendants wetu hao weupe.......kuna thread humu inaelezea vizuri sana ila sikumbuki jina lake.....Africa,is where it all began.
 
hapana,wanatuhusu,historically wote wametokea huku,,,,so ni descendants wetu hao weupe.......kuna thread humu inaelezea vizuri sana ila sikumbuki jina lake.....Africa,is where it all began.
Haya maana hata hiyo historia tumeandikiwa ila ukweli unabaki pale pale kuwa wabantu tulikuwa na mambo yetu na uzao wetu hauhusiani kabisa na wazungu na waarabu.
 
Mkuu kabla hatujaenda mbali toa msimamo wako,unaamini nini hasa katika Mungu,je wewe ni dini gani,halafu naomba kujua umri wako

Nina amini mungu kivyangu na katu sitaki kutumia njia tulizoletewa na watu waliokuja kututawala..........nina miaka 50
 
Back
Top Bottom