Utasikia bajeti ni finyu kufanya hivyo.mkuu tatizo la Tanzania ni siasa hata kwenye maswala ya utendandaji,hawa wamalawi ilikua ni kuwasogezea vifaa vya kijeshi na wanajeshi kadhaa wawe wanapiga jeramba pembezoni mwa ziwa. sidhani kama Malawi wengethubutu kukanyaga hata fukwe za Tanzania.!!
Mwamunyange atangaze kichapo kwa Joyce banda
mwananchi analalamika na serikali inalalamika.
Nadhani watu wanazungumzia kupeleka wanajeshi kule kwa urahisi sana. Hupeleki wanajeshi kwenye mpaka wa nchi nyingine bila kuwa tayari kupigana vita. Kuna vitendo ambavyo kisheria vikifanyika vinachukuliwa kuwa ni "act of war". Tanzania haipaswi kupeleka wanajeshi wake karibu na mpaka na Malawi bila kuwa tayari kwenda vitani. Swali, Watanzania mko tayari kwa vita siyo kwenda kujionesha tu. Nani kawaambia ati mkipeleka wanajeshi basi wamalawi watanywea? Na wenyewe si wana jeshi?
Unafikiri kuwa na wingi wa jeshi na silaha ndio kushinda vita? Lakini kubwa zaidi ni kuwa viongozi wetu tayari hawana ile cloud ya kuwa viongozi wa wakati wa vita. Kama kwenye amani wametutawala hivi wakati wa vita itakuwaje? Njia pekee ya kuleta hiyo heshima ni sisi kutangaza tunaanza utafiti wetu wa mafuta kwenye nusu yetu tukiheshimu mipaka yetu na hatutagusa nusu ya Malawi. Malawi watakuwa wametupiwa mpira!
Kama wao wanaamini ziwa zima ni lao basi wao ndio wafanye hatua ya kwanza vita.... hapo ndio JWTZ linapoenda kulinda mpaka wetu!
By Wise One From East and Garvey Karvei | August 1, 2012 · |
Rais wa Uganda Iddi Amin alifanya timing na kujaribu 'kina cha maji' na alichokiona kinareflect Tanzania ya wakati huo.dawa ni kupeleka majeshi mstari wa mbele, ndio kazi yao kulinda mipaka.
Huu ni mwaka wa saba ( 7 ) sasa watanzania wanaishi bila rais !
Rais wa Uganda Iddi Amin alifanya timing na kujaribu 'kina cha maji' na alichokiona kinareflect Tanzania ya wakati huo.
Wamalawi nao wamesoma alama za nyakati na wakaona kuna opportunity ya kupanua nchi yao, inaonekana kama alivyopost MMM wamefanikiwa tayari hatua za awali maana badala ya kufurushwa wameambiwa wakae kwenye majadiliano. Sasa cha kufikiria hapa ni kuwa hawa jamaa wanataka kupindisha mambo na uenda wakawa na 'supporting facts' za nyakati hizi kwa kuelewa kuwa Mwalimu Nyerere aliyelifahamu zaidi suala hili hayupo tena na waliobaki wanaonekana (labda) hawana habari na mambo ya mipaka bali kupambana na matatizo mengine ya nchi na kutafuta utajiri.
Ngoja tuone safari hii nao watakomeshwa kama ilivyokuwa hapo mwaka 1978/1979.
Mtu mmoja kaleta hii hapa jamvini: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/301050-chama-legelege-na-maaumuzi-legelege.html
huu ni mwaka wa saba ( 7 ) sasa watanzania wanaishi bila rais !
Kiongozi Mzuri ni yule anayeweza kuchagua wasaidizi wake wazuri na si vinginevyo, Kama huwezi kuchagua Wasaidizi basi huna huwezo wa kuongoza.labda JK bado hajui hilo, JK ni kiongozi mzuri ila anaangushwa na wasaidizi wake, kwani hamkuona alivyomng'oa kanali Mohamed Bakar wa Comoro bila ya mjeshi hata mmoja wa Tanzania kudanja! Usikute wasaidizi hawajampatia taarifa sahihi, kuhusiana na hilo!
Tanzania hatuna Rais