Yalikwisha vizuri tu alikuja na mama yake kuomba suluhu,wakalipa fidia na kuwachukua watoto,saivi wako mwanza kwa Bibi mzaa baba,mie Niko free na jamaa naanza moja kutengeneza family.Itakua kaamua kusamehe, yupo busy na penzi la mme wa mtu....
Najilinda dhidi ya mke mkubwaUmechange vita? Sio kumshusha tena ni kujilinda?
Vita haiwezi Isha labda niachane na mumewe na Mimi Sina wazo Hilo,kwani jamaa ananipenda,angekuwa hanipendi na misukosuko yote anayopitia kwaajil yangu angeshaniacha.Tunakaribia kufunga mwaka kwenye mahusiano yetu Ila penzi ndo kwanza Kama kanitongoza Jana.Jamani mwali vita umeainza tangu march....sahivi tunakaribia june mambo bado tu? Kama hapaeleweki sema nikupe mtaalamu wangu.
Yani akirusha kuku juu kabla hajatua chini majibu ushayapata
Demi alingoja feedback nahisi hadi kachoka
Hapana naongelea vita na baba mtoto ambae unataka kumrudisha ulikomtoa dia kule jalalani....Vita haiwezi Isha labda niachane na mumewe na Mimi Sina wazo Hilo,kwani jamaa ananipenda,angekuwa hanipendi na misukosuko yote anayopitia kwaajil yangu angeshaniacha.Tunakaribia kufunga mwaka kwenye mahusiano yetu Ila penzi ndo kwanza Kama kanitongoza Jana.
Baba mtoto umemsamehe?Najilinda dhidi ya mke mkubwa
Watoto au mtoto? Si ulizaa nae mtoto mmoja?Yalikwisha vizuri tu alikuja na mama yake kuomba suluhu,wakalipa fidia na kuwachukua watoto,saivi wako mwanza kwa Bibi mzaa baba,mie Niko free na jamaa naanza moja kutengeneza family.
Kawachukua wote wawili ingawa nimezaa naye mmoja.Watoto au mtoto? Si ulizaa nae mtoto mmoja?
Sa mbona mrejesho ukabaki nao mpendwa wakati wajua masikio yote yapo kwako
Sina ishu naye nilitaka tu alee mwanae,Kama hela hata nami natafuta.Baba mtoto umemsamehe?
Hongera kumbe kule ulidanganya kuwa you have two boys wa baba mmoja..... mwingine ni wa mme wa mtu? Au ye bado mnajipanga?Kawachukua wote wawili ingawa nimezaa naye mmoja.
Sijamfanyia lolote jamaa,ni mapenzi tu yametukutanisha.Hapana naongelea vita na baba mtoto ambae unataka kumrudisha ulikomtoa dia kule jalalani....
Mme wa mtu hapo hachomoki lazma ushamfanyia manamna gani, ataondoka siku ukitaka wewe.....kelele moja kwa bi mdogo akeeee
Mume wa mtu hatujapanga kuzaa kwa Sasa,tunasomana na kuona uelekeo ukoje,then Mungu akipenda tutazaa kabinti spesho.Hongera kumbe kule ulidanganya kuwa you have two boys wa baba mmoja..... mwingine ni wa mme wa mtu? Au ye bado mnajipanga?
Ambae ndio atakua baby dady 3 sasa.....Mume wa mtu hatujapanga kuzaa kwa Sasa,tunasomana na kuona uelekeo ukoje,then Mungu akipenda tutazaa kabinti spesho.
Ndio anamlea ,anatoa matumizi vizuri tu.Ambae ndio atakua baby dady 3 sasa.....
Wa pili nae vipi anamlea mwanae?
malaya nyieWewe cha msingi uhame mtaa tu kwa usalama wako au usubirie kulogwa 😂😂😂 kama hutaacha mchezo wa kumuibia mwenzio mume!!!
Halafu mbona vijana tulio single ni wengi mtaani, mnkwama wapi?
Tumeacha sikuhizimalaya nyie
Halafu mbona una maswali mengi Sana,unahisi ni mumeo Nini?😂ndio atakuwa baby dad na husband kabisaAmbae ndio atakua baby dady 3 sasa.....
Wa pili nae vipi anamlea mwanae?
Hamna nlitaka tu kupata ubuyu si unajua wanawake twapenda umbea.....Halafu mbona una maswali mengi Sana,unahisi ni mumeo Nini?😂ndio atakuwa baby dad na husband kabisa
Utamu utamu au sio🤣🤣🤣🤣🤣Vita haiwezi Isha labda niachane na mumewe na Mimi Sina wazo Hilo,kwani jamaa ananipenda,angekuwa hanipendi na misukosuko yote anayopitia kwaajil yangu angeshaniacha.Tunakaribia kufunga mwaka kwenye mahusiano yetu Ila penzi ndo kwanza Kama kanitongoza Jana.
No ni kawaida mbona,wa kwanza alionyesha kutonihitaj baada ya kutoboa,nikajiweka pembeni,mie napenda mapenzi,napenda kupendwa ikikosekana love huwa nasepa,hata huyu mume wa mtu kinachoniweka kwake ni mahaba so kingine .Hamna nlitaka tu kupata ubuyu si unajua wanawake twapenda umbea.....
Mi atakaeolewa na mme wangu mbona ntamuua siku ya harusi, yani atakufa kabisa shela.
Ila mwali nawe utakua na shida kulikoni umezaa na kubreak up kote huko.