Njia panda ya mapenzi

Njia panda ya mapenzi

Mambo ya mpalange haya.
No ilitokea tu tunapendana, na nilivyojua Ana mke nikajitahidi isijulikane, that's y kwa miezi mi5 yote hakuwahi jua,amejua baada ya Mimi kuwa mbali na jamaa kuzidisha mawasiliano.
 
Sitoi namba tutaelewana tu,Mimi na yeye😂😂saivi Kenda kilwa nami nishajipanga .
Jamani mwali vita umeainza tangu march....sahivi tunakaribia june mambo bado tu? Kama hapaeleweki sema nikupe mtaalamu wangu.
Yani akirusha kuku juu kabla hajatua chini majibu ushayapata

Demi alingoja feedback nahisi hadi kachoka
 
Huyu mzinguaji alifanya tukakesha kwenye uzi wake tukisubiri matokeo kumbe hakuna lolote ni mikwara tu
 
Huyu mzinguaji alifanya tukakesha kwenye uzi wake tukisubiri matokeo kumbe hakuna lolote ni mikwara tu
Nimepitia page 32 natafuta radi....
Mi bado nasubiria sijachoka, vita irudiwe
 
Back
Top Bottom