Njia panda ya mapenzi

Njia panda ya mapenzi

Nnavozungukia namba ya mtaalamu 😂
Relax ,mpende mumeo,mthamini,mvumilie,msamehe akikosea,mtie moyo akiwa down,msaidie kiuchumi inapobidi akikwama,mpe shoo za kibabe kila Mara ,usisubiri akuombe shoo daily,mfichie mapungufu yake,muheshimu,mfanye rafiki yako and then all will be okay 🙏jpil njema madame.
 
Reaction zake tu,annihoji ili akonekt dots za matukio ya mumewe na jinsi wanavyoishi,mimi ni mwanamke naelewa.
Teh hakuna cha ajabu katika kuchepuka....

Ila uajabu upo kwa binti mdogo 27 years tayari umezaa na wanaume wawili tofauti na sasa tayari umegeukia qibla muda wowote unazalishwa na mwanaume wa tatu ambae nae ni mme wa mtu.....ukifika forty sijui itakuaje. Anyway ndivyo ulivochagua

Alhamisi nlikua naongea na mtoto mmoja wa kike anachangamoto nyumbani, alivokua anaongea inaonekana nae hayuko comfortable kabisa, mama ana watoto watatu wa baba tofauti na kati yao wote hakuna anaemjua baba yake....
 
Relax ,mpende mumeo,mthamini,mvumilie,msamehe akikosea,mtie moyo akiwa down,msaidie kiuchumi inapobidi akikwama,mpe shoo za kibabe kila Mara ,usisubiri akuombe shoo daily,mfichie mapungufu yake,muheshimu,mfanye rafiki yako and then all will be okay 🙏jpil njema madame.
Teh bwana weeee story za makungwi hizo, kufundisha watu kuishi na waume wakati wao ndoa zimewashinda....

Sasa wewe hayo kwanini haukumfanyia baby dady 1, kwanini haukumfanyia baby dady 2? Kwanini umeshindwa hata kupata mwanaume wako akuweke ndani ufanye hayo?
 
Teh hakuna cha ajabu katika kuchepuka....

Ila uajabu upo kwa binti mdogo 27 years tayari umezaa na wanaume wawili tofauti na sasa tayari umegeukia qibla muda wowote unazalishwa na mwanaume wa tatu ambae nae ni mme wa mtu.....ukifika forty sijui itakuaje. Anyway ndivyo ulivochagua

Alhamisi nlikua naongea na mtoto mmoja wa kike anachangamoto nyumbani, alivokua anaongea inaonekana nae hayuko comfortable kabisa, mama ana watoto watatu wa baba tofauti na kati yao wote hakuna anaemjua baba yake....
Mamii usihangaike kusumbuka kuwaza nikifika 40 years maisha yangu yatakuwaje,waza wewe ukifika 60 years life lako litakuwaje🤣btw babe ananiuliza unachat na Nani?unaniharibia moment na babe wangu,nitafute tomorrow after work tuchat inaonekana unahitaji kujua mengi toka kwangu.Au omba interview nami hapa jf nitajibu kila dukuduku lako madame 🙏again , thanks and nice afternoon to you.
 
Ntakutafuta kwakweli unifunde
 
Back
Top Bottom