Njia panda ya mapenzi

Njia panda ya mapenzi

ndio yale yale, mume wa mtu anakufata anasema yeye na mkewe haziivi, unamkubalia kuwa mchepuko wake, lakini cha ajabu yeye na mkewe kila mwaka wanaongeza mtoto
Kwanza Mimi na yeye hatujawahi mjadili mkewe,tukiwa pamoja twazungumza na kufanya yetu,bi mdashi Hana nafasi kwenye mahusiano yetu.Uzuri hakunificha kuwa Ana mke so niliingia nikitambua Hilo,that's y hdi Sasa tuko pamoja.
 
Sasa akautamanie wapi wakati wapo wote ndani, wanalala kitanda kimoja tena wanalala uchi....

Usinambie anakuambiaga nyumbani hafanyi!!!!!
😂Asifanye nyumbani kwani ye hanisi,mie Niko naye hata sasa tuko sehemu tunapiga mboriko na bia mbili tatu,then tutarudi home kupumzika manake kesho job.Kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake😂
 
😂Asifanye nyumbani kwani ye hanisi,mie Niko naye hata sasa tuko sehemu tunapiga mboriko na bia mbili tatu,then tutarudi home kupumzika manake kesho job.Kila mbuzi anakula kwa urefu wa kamba yake😂
We si ndio umesema bi mdogo? Kuwa hatamani wa mke wake anatamani wako
 
Hamna hizo huwa ni swags tu za kuja kuwaombea papuchi huko nje, akikuambia hivo ndio unajiona mjuzi unajiona kipepeo mtamu....kumbe ye shida papuchi tu
We ndo umesema ,rejea kauli yako hii,au wamehack I'd yako madame?main point;kumbe shida yake ye papuchi tu.
Sasa hata mkewe so anayo papuchi?
 
Umemkoleza jamaa na papuchi yako itakuwa tamu sn wewe.

Inabana sn?
 
Back
Top Bottom