mshamba_hachekwi
JF-Expert Member
- Mar 3, 2023
- 17,093
- 52,945
Kuna nchi zinaruhusu mfumo wa ndoa unaoitwa 'open marriage' yaani 'ndoa wazi'. Ndoa za aina hii zinaruhusu wanandoa wote wawili, ke na me, kuingia kwenye mahusiano ya kingono na mtu wa nje anapotaka. Mnaweza mkafanya hivi kwa muda mfupi(labda mmechokana kidogo) afu mkarudi kawaida, au ikawa ndo ndoa yenu ya mazima......
Kanuni ya huu mfumo ni kwamba ukiwa unatembea na mtu wa nje ni lazima mwenzi wako ajue na wote wawili mkubaliane juu ya mtu huyo. Pia mkubaliane njia mtakazotumia kujikinga na maradhi, na kuzuia mimba.....
Je, huu mfumo unaweza kusaidia watu huku kibongobongo??