NJAA YAJA: Dear Mr. President, On a Serious Note...

NJAA YAJA: Dear Mr. President, On a Serious Note...

Nasubiri kusoma Zawadi Ngoda ataandika nini kuhusu hili

Tumbaku wakulima wamepata 149 billion shs na korosho ya Tanzania ni bora dunia nzima, unataka nini ndugu yangu zaidi ya hayo, njaa ni shauri ya usafiri wananchi wanashindwa kwenda kuchukua chakula ghalani. Muone jinsi gani viongozi walivyo out of touch na ukweli wa mambo.

10 kg kwa kaya halafu unazifuata wilayani hata ningekuwa mimi nisingeenda kuchukua, hiyo hailipi kabisa, hiyo hela ya nauli afadhali kununua ubuyu nile a wanangu kwa miezi kadhaa.
 
Habari hizi zina sikitisha sana mbona mkuu lakini ujatueleza sababu zenyewe kamili amna mvua huko au la? yaani na sababu zingine za hiyo njaa zaidi ya uzembe wa serikali ambao unajulikana.

watu wa utabiri wa hali ya hewa waliliweka hili la ukame kuikumba nchi tangu mwaka jana mwishoni...na mkiangalia hotuba ya rais ya mwaka mpya aliongelea ugumu unaokabili taifa mwaka huu kutokana na ukame..sasa sijui ile hotuba alipewa asome tu bila kuangalia utekelezaji....maana nilitegemea maandalizi ya kukabiliana na njaa hii yaanze mapema kabisa kwa kujaza maghala yetu vyakula...mikoa yenye upungufu [inajulikana]....badala yake wakawa busy kuongelea njaa ya jirani zetu kenya...bila sisi wenyewe kujiandaa.....sasa njaa yetu imezidi ile ya wakenya....pamoja na hayo nilichoona kwa wakenya wamejitahidi sana kugawa misaada ya chakula mapema...hasa ile mikoa ya turkana ambayo kwa upande wao huwa na njaa mara nyingi.....

tatizo kuu la tanzania ni miundombinu ..njaa yetu haihitaji misaada bali inahitaji means of transportation of food from mkoa to mkoa...utashangaa wilaya arobaini hazina chakula ...wakati kuna wilaya zina akiba ...na chakula hakifiki....sasa haya ndio majanga na eti tunayo idara ya majanga....kwa nini serikali isitoe kipaumbele kununua vyakula kwenye masoko ya ndani...kukabiliana na njaa.....

mafisadi hutumia fursa ya njaa kuagiza vyakula kwa bei subsidised na kupeleka congo ....na nchi jirani...
 
hii taarifa angepewa JK na mawaziri na wabunge ili nao waone, maana inatia shaka kama kweli wanatambua hali halisi ya taifa hili

wanaopoenda kutembelea vijiji kunakuwa na maandalizi meengi ya kufunika funika hali halisi na zile sehemu ambazo magari hayafiki huwa hawaendi, wangekuwa wanabebwa na mitumbwi, mikokoteni, baiskeli, piki piki whatever hadi huko na wao wakajionee maisha ya walio wengi, labda ingepunguza kidogo tamaa ya ulaji na kuwafanya wawe humble

sasa watu wanakufa njaa lakini hata hiyo njia tu ya kufikisha chakula huko ni shughuli..
 
Tumbaku wakulima wamepata 149 billion shs na korosho ya Tanzania ni bora dunia nzima, unataka nini ndugu yangu zaidi ya hayo, njaa ni shauri ya usafiri wananchi wanashindwa kwenda kuchukua chakula ghalani. Muone jinsi gani viongozi walivyo out of touch na ukweli wa mambo.

10 kg kwa kaya halafu unazifuata wilayani hata ningekuwa mimi nisingeenda kuchukua, hiyo hailipi kabisa, hiyo hela ya nauli afadhali kununua ubuyu nile a wanangu kwa miezi kadhaa.

jana watu wa mtwara wamehojiwa na wanasema mwaka huu hakuna korosho....wanasema bora korosho ingekuwapo wangekula mabibo......wanakula mimea fulani inaitwa GONGO..inaokota porini...kikombe cha uji wa gongo kimoja kila baada ya siku mbili...wanasema huo mmea una kakilevi so watoto wakinywa wanajilewea wanaacha kero za kulia..[God forbid].....na sijui wake ambao imani inakataza kilevi vipi..

ngombe wengi arusha wamekufa..na kwa kuwa wafugaji wengi hawajuwi kulima basi wao wana hali mbaya kuliko wakulima...

kwa kifupi ukiwaona wananchi wengi wa vijijini Tanzania wana sura Zilizokosa matumaini kabisa hata ya kuishi,....si utani!!!!!....natamani mlio nje wasilianneni na watu wa TV nyumbani wawatumie video clips za hali ya njaa angalau muwakumbuke ndugu zetu kwa pesa ya kununua chakula...

kumbuka ....kuna watu wanatamani kushindia hata makombo yako....
 
tatizo kuu la tanzania ni miundombinu ..njaa yetu haihitaji misaada bali inahitaji means of transportation of food from mkoa to mkoa...utashangaa wilaya arobaini hazina chakula ...wakati kuna wilaya zina akiba ...na chakula hakifiki....sasa haya ndio majanga na eti tunayo idara ya majanga....kwa nini serikali isitoe kipaumbele kununua vyakula kwenye masoko ya ndani...kukabiliana na njaa.....

mafisadi hutumia fursa ya njaa kuagiza vyakula kwa bei subsidised na kupeleka congo ....na nchi jirani...

Haki-Ya-Mungu alafu wanaenda kuagiza mashangingi miasaba kwa wabunge.
Au wanasubiri Jeetu Patel alete Ma-lorry yake ambayo ndio kwanza ameya-agiza achukue tenda ya kusambaza hicho chakula ili fisadi mmoja apate ulaji.

Thanxs
 
Nchi hii bla bla nyingi sana matendo kiduchu au hakuna kabisa. Utawasikia na vijimisemo vyao, oo hakuna mtu atakaye kufa kwa njaa! Yaani nyie viongozi mlio madarakani mna dhambi sana, to hell nyote!
 
Kudoz kwa ITV, hizi expose ndizo tunazitaka, sio nchi ina uhuru wa habari (relative) lakini waandishi wanakuwa na whipped na cult of personality kama North Korea.

Sasa kifuatie kingine cha public forum, mnazunguka nchi nzima, mnaoongea na wananchi, mnaongea na wataalam wa kilimo, mnaongea na wasomi, mnaongea na kinamama, mnaongea na wanafunzi, mnawapa angalau saa moja kwa wiki watoe maoni yao nini kifanyike.Hakuna kitu kizuri kama kuwapa wananchi forum directly.

Hapo ndipo utaona watu wanavyowa shame watu wa serikali kuu na wabunge wao kwa kuonyesha uongozi directly kuliko hata hao "viongozi" wenyewe.

Let's face it, watawala wetu wameshindwa kuongoza, kilichobaki ni kuirudisha nchi kwa wananchi ili wananchi wenyewe watoe muongozo.
 
OK OK serikali ina matatizo yake. Je watanzania binafsi hawaoni sababu za kusaidia watanzania wenzao?

Hapa kwetu mtoni, wakati wa Katrina serikali ilichelewa vilevile, lakini watu na mashirika binafsi yakawa mbioni.

Sasa wewe unaokula na kubakiza makombo, kwanini hutoi msaada wowote???
 
Don't you know how Miafrika operate? Miafrika are only good at whining...oh it's the government's fault...oh it's our leaders...oh it's the colonialists...oh it's slavery..oh it's the imperialists...with Miafrika it's always somebody else fault but themselves....
 
..si mbaya kama pia tutaanza na wewe. Kinachoongelewa hapa ni wilaya 40 za Tanzania, tatizo linaonekana ni kubwa kuliko maelezo yaliyotolewa, jitihada za mtu mmoja mmoja kusaidia inaweza kuwa ni hatua moja lakini haziwezi kuleta utatuzi wa muda mrefu. Tukiwa tunahamasisha wananchi kuchangia (ofcourse wale wenye moyo) lakini pia tunahitaji mkakati wa kitaifa wa kukabiliana na janga hilo, na huo hauanzishwi na mimi nyumbani kwangu, kuna watu wanaotakiwa kuangalia hali ya chakula, maafa na vitu kama hivyo, kazi yao ni hiyo, walikuwa wapi mpaka hali inafikia kuwa mbaya kiasi hicho?
Tunaweza tukasema watanzania tunapenda kulaumu, lakini kwa hili unadhani tupongeze? kuna watu wamezembea sehemu kama kawaida yao na tena wanazidi kuzembea zaidi hadi watu wafe njaa. Kwa nini Serikali isitupiwe lawama pale inapoonyesha wazi imeshindwa kuwajibika?
 
..akihutubia wananchi wenye bakuli tupu zinazolia ..pale nje ya hoteli aliyoenda kula raha ngorongoro...jk alisema kuwa asilaumiwe kwa njaa...ni mapenzi ya MUNGU!!! Serious...sikuamini ...kaama ni rais wangu anasema maneno hayo..out of sense sometimes ..?? i asked myself ..
 
Wakati huohuo CCM imeshinda kwa kishindo chaguzi za mitaa..jamani hakuna hata hasira kidogo kuwanyima kura hawa mafisadi,may be wanafanya kazi nzuri!
 
Don't you know how Miafrika operate? Miafrika are only good at whining...oh it's the government's fault...oh it's our leaders...oh it's the colonialists...oh it's slavery..oh it's the imperialists...with Miafrika it's always somebody else fault but themselves....

Watu wameleta picha ya watoto wa shule wamekaa chini Dar-es-salaam, ingawa siamini sana katika welfare system, nikatoa changamoto watu waache kusema na kuanza kufanya. It turned out zinahitajika milioni tano kuchonga madawati ya kutosha.

Nikatoa breakdown nzuri tu.

Mtu mmoja atoe $ 1, 000 (hii nilikuwa tayari hata mimi ku pledge kama kuonesha mfano na commitment)

Watu wawili watoe $ 500

Watu wanne watoe $ 250

Watu watano watoe $ 200

Watu ishirini watoe $ 50

Tayari tuna $ 5,000, more than what is needed.

Guess what happenned?

Thread ikafa kimya kimya!
 
..si mbaya kama pia tutaanza na wewe. Kinachoongelewa hapa ni wilaya 40 za Tanzania, tatizo linaonekana ni kubwa kuliko maelezo yaliyotolewa, jitihada za mtu mmoja mmoja kusaidia inaweza kuwa ni hatua moja lakini haziwezi kuleta utatuzi wa muda mrefu. Tukiwa tunahamasisha wananchi kuchangia (ofcourse wale wenye moyo) lakini pia tunahitaji mkakati wa kitaifa wa kukabiliana na janga hilo, na huo hauanzishwi na mimi nyumbani kwangu, kuna watu wanaotakiwa kuangalia hali ya chakula, maafa na vitu kama hivyo, kazi yao ni hiyo, walikuwa wapi mpaka hali inafikia kuwa mbaya kiasi hicho?
Tunaweza tukasema watanzania tunapenda kulaumu, lakini kwa hili unadhani tupongeze? kuna watu wamezembea sehemu kama kawaida yao na tena wanazidi kuzembea zaidi hadi watu wafe njaa. Kwa nini Serikali isitupiwe lawama pale inapoonyesha wazi imeshindwa kuwajibika?

Unaweza kuanza na mimi lakini mimi sio raia wa Tanzania.
 
..akihutubia wananchi wenye bakuli tupu zinazolia ..pale nje ya hoteli aliyoenda kula raha ngorongoro...jk alisema kuwa asilaumiwe kwa njaa...ni mapenzi ya MUNGU!!! Serious...sikuamini ...kaama ni rais wangu anasema maneno hayo..out of sense sometimes ..?? i asked myself ..

PM:

Kabla ya kufikia ngazi ya rais kuna viongozi wangapi wamewazunguka watu hao ?
 
Watu wameleta picha ya watoto wa shule wamekaa chini Dar-es-salaam, ingawa siamini sana katika welfare system, nikatoa changamoto watu waache kusema na kuanza kufanya. It turned out zinahitajika milioni tano kuchonga madawati ya kutosha.

Nikatoa breakdown nzuri tu.

Mtu mmoja atoe $ 1, 000 (hii nilikuwa tayari hata mimi ku pledge kama kuonesha mfano na commitment)

Watu wawili watoe $ 500

Watu wanne watoe $ 250

Watu watano watoe $ 200

Watu ishirini watoe $ 50

Tayari tuna $ 5,000, more than what is needed.

Guess what happenned?

Thread ikafa kimya kimya!

Which proves my point kuwa majority tuko hapa kuzuga zuga tu na kupiga soga na kupoteza muda! Usitarajie la maana kutoka hapa. Kama mtu una nia ya kweli ya kusaidia, tafuta watu uwajuao in real life, toa wazo lako, wakilikubali piga harambee, fanya kweli.
 
Unaweza kuanza na mimi lakini mimi sio raia wa Tanzania.

sasa mnafanya nini humu ndani na sisi tunajadili matatizo yetu some people Haki-Ya-Mungu.

Au mnadhani tax ambazo watu wanazolipa ni kwa ajili ya matumbo ya wengine.
 
sasa mnafanya nini humu ndani na sisi tunajadili matatizo yetu some people Haki-Ya-Mungu.

Au mnadhani tax ambazo watu wanazolipa ni kwa ajili ya matumbo ya wengine.

Kwani forum inazuia watu walio na ethnicity ya kitanzania??
 
Kwani forum inazuia watu walio na ethnicity ya kitanzania??

aiwazuii kama bado wanajitambua wana asili hiyo, lakini si wanao ikana alafu kun'gan'gana eti wanajitakia. na mmesha ambiwa awana hela akiba ni choice ku-risk kufuata chakula (kg) au kutochukua risk kula hayo magamba hela ndio ina uwezo wa ku-afford hila bado tu mnawasema.

Hivi nyie kweli hata watu weusi kwanza Haki-Ya-Mungu, mbona amna sympathy na matatizo ya wenzenu.
 
No cause for alarm over food situation, says gov

By Bilham Kimati

28th October 2009

headline_bullet.jpg
Officials in 67 districts to ensure relief reach people

WasiraSteve%281%29.jpg

Agriculture, Food Security and Cooperatives Minister Stephen Wassira

The government said yesterday that although the food situation in 67 districts in the country was still critical, there was no cause for alarm because emergency supplies were being dispatched to the affected areas.
Speaking exclusively to ‘The Guardian' in Dodoma yesterday, Agriculture, Food Security and Cooperatives Minister Stephen Wassira said additional efforts had been made to ensure food relief reached the people currently facing serious shortage.
"We (government) deployed officials from the prime minister's office, ministry of agriculture and other relevant offices to join their counterparts in the districts for assessment of the situation on the ground," the minister said.
He added: "All areas that need immediate attention have been reached and as I speak now 20,000 tonnes of grain have been transported to those places."
Commenting on the immediate demand for grain, Wassira said 56,000 tonnes of grain have been set aside for delivery to make sure that people in places with acute shortage were reached as soon as possible.
"The shipment is continuous to make sure that the food is taken to the people as the government embarks on long term solutions to the problem of food which includes expansion of the area cultivated under irrigation schemes," he explained.
Due to prolonged drought residents in 67 districts, nearly half the total number of districts in the country recorded very poor harvest and in some places there was virtually no harvest, the minister said.
The majority of the districts facing serious food shortage are in Arusha, Kilimanjaro, Manyara, Tanga, Dodoma Lindi, Mtwara and Singida regions among others where delivery is a matter of urgency.
Residents in some of these places are said to survive on wild fruits and berries while the extreme conditions in others have forced systematic deaths to livestock making life difficult among herders.
In a separate interview, Singida Regional Commissioner Parseko Kone said some parts in the region would face more food shortages in December this year. He mentioned the wards as Manyoni East and Iramba North.
However, Kone said the other wards have adequate food to last until the next harvest beginning March next year, referring to a research conducted in July and August this year to identify areas that would be in need of food assistance.
Arusha Regional Administrative Secretary Nuru Milao said the situation in Arusha was still bad as all the districts are facing food shortages.
The Longido District Executive Director, Christiani Laizer said the government has sent 939 tonnes of relief food.
In June this year, Deputy Minister for Agriculture, Food Security and Cooperatives, Mathayo David told parliament that 61 districts were at risk of facing food shortage in 2009/10, according to the food evaluation survey conducted between May and June this year.
He said the government was set to buy 165,000 tonnes of food including 160,000 tonnes of maize and 5,000 tonnes of sorghum. From February to July this year, the government has already distributed relief food to almost 780,000 people in several areas
Mathayo said the country produced a total of 5,265,309 tonnes of cereals in the 2008/9 season against the required consumption of 6,578,508 tonnes in 2009/10.

SOURCE: THE GUARDIAN

0 Comments | Be the first to comment

The ostrich that has buried its head in the sand.
Jasusi
 
Back
Top Bottom