Serikali ni lazima ilaumiwe kwa ukame. Serikali haikuchukua hatua kuzuia vifo vya maelfu ya ng'ombe.
Ndio tunakubali kukosekana kwa mvua ni mambo ya uasili (nature) lakini kuna nchi nyingi za africa kuna ukame lakini maafa hayatokei.
Pesa zote zilizopotea kwa ufisadi wa Rada, Ndege mbovu ya rais, epa,richmond zingetosha kuchimba visima virefu vya maji, kutengeneza miundo mbinu ya umwagiliaji, na kutengeneza malambo, na majosho ya Ngo'mbe.
Serikali isijivue lawama.
Watu wenye akili wanaweza kufikiri na kutambua lakini wakulima na wafugaji vijijini ambao hawana upeo, wanaweza kudanganyika.
Serikali ni lazima ilaumiwe kwa ukame. Serikali haikuchukua hatua kuzuia vifo vya maelfu ya ng'ombe.
Ndio tunakubali kukosekana kwa mvua ni mambo ya uasili (nature) lakini kuna nchi nyingi za africa kuna ukame lakini maafa hayatokei.
Pesa zote zilizopotea kwa ufisadi wa Rada, Ndege mbovu ya rais, epa,richmond zingetosha kuchimba visima virefu vya maji, kutengeneza miundo mbinu ya umwagiliaji, na kutengeneza malambo, na majosho ya Ngo'mbe.
Serikali isijivue lawama.
Watu wenye akili wanaweza kufikiri na kutambua lakini wakulima na wafugaji vijijini ambao hawana upeo, wanaweza kudanganyika.
kama kungekuwa na malambo ya kunyweshea ngo'mbe maji na irrigation scheme maana yake ngo'mbe wasingekufa, just simple logic man.
Let say irrigation scheme, mahindi, nganio, mpunga, baada ya mavuno zile straws ngo'mbe wangekula. Pia wangeweza kulima hata nyasi kwa ajili ya ngo'mbe.
kama kungekuwa na malambo ya kunyweshea ngo'mbe maji na irrigation scheme maana yake ngo'mbe wasingekufa, just simple logic man.
Let say irrigation scheme, mahindi, nganio, mpunga, baada ya mavuno zile straws ngo'mbe wangekula. Pia wangeweza kulima hata nyasi kwa ajili ya ngo'mbe.
Hii naifananisha sana na wanaoishi mabondeni ,serikali ikiwaambia hameni tuwape sehemu safi kule pwani kibaha hawataki,serikali ikkiwahamisha nguvu wanasema serikali inawaonea ni ya kifisadi,ikiwaacha mafuriko yakaja yakawakumba wanasema serikali ni ya kizembe haichukui tahadhali, serikali ikiwaacha mafuriko yatoe fundisho wanasema serikali haiwapendi wanachi wake.
Takwimu ni takwimu tu, hazijielezi. Toa maelezo ya kina ya kihistoria, kiutamaduni, kisiasa na kiuchumi kuhusu kwa nini wana njaa badala ya kuwasingizia kuwa hawana uwezo wa kuyamudu mazingira yao. Tueleze jinsi wanavyo-maskini-shwa na wateule wachache mnaoyafanya mazingira yao yawe magumu kwa kuwanyang'anya ardhi yao huku mkidai mna dawa ya matatizo yao ambayo kiukweli mmeyasababisha ninyi huko Arusha/Manyara!
Check this out and stop 'blaming the victim':
Ngorongoro Crater is a homeland of the Wamaasai as well as Watatoga and Wahadzabe. When the Ngorongoro Conservation Area (NCA) Ordi- nance (cap 413) came into effect in 1959, struggles (which continue to date) started between the Conservation Authority (NCAA) and the Wamaasai, who had been moved to this area from Serengeti National Park a decade after its formation in 1940. As a Conservation Area, the Wamaasai were allowed to remain in the area as pastoralists. While being moved from Serengeti, the government had promised them that they would be allowed to cultivate, since their diet (meat, blood and milk) had been greatly altered. About 70 per cent of the Wamaasai food requirements come from cereals. Cultivation was prohibited completely in the area with the amendment in The Game Parks Laws No 14 of 1975, which set the area for conservation and pastoralism purposes only and NCA became NCAA (a parastatal body with autonomous administrative powers). The NCAA moved all those who were cultivating to Loliondo. At the same time it promised to provide cheap foodstuffs to the inhabitants, but this was only possible for a short while.
The Wamaasai in the Ngorongoro area had started taking up cultiva- tion on a small scale because their purchasing power of foodstuffs from other communities had diminished due to loss of cattle over the past few years of drought, and also their inability to sell off their stock (for the few who still possess cows). This drought had even made some of the Maasai in Kenya start cultivating (Western 1997). The Wamaasai areas in gen- eral, including Ngorongoro itself (with its 43,000 inhabitants), had be- come starvation/ famine areas. It had become difficult for the Wamaasai to depend on livestock for survival. They demanded that the areas of NCA to be surveyed and demarcated together with residents be registered so that migrations are avoided. They wanted only hand-hoe cultivation to be allowed; and in case of steep hills, then terracing cultivation be intro- duced. The Land Commission Report (Tanzania, United Republic 1994) noted that, when 1987 the NCAA launched an ‘anti-cultivation' opera- tion (39). In August 1987, 666 people were arrested, of whom 9 were jailed for three months and 549 fined a total of Tshs 515,600. These were convicted on a non-existent offence.
Mfano wa watu mabondeni, du ndugu yangu mbona haviendani.
Majosho na malambo ya ngo'mbe, miundo mbinu ya kilimo cha umwagiliaji ni huduma kwa wananchi sawa na shule au hospitali tuuu.
Ona sasa tumekuja kusaidiwa na Jirani. Japan wametoa 95,919 US $ ili kutoa huduma hizo hapo juu.NDio Japan wameona tatizo na wametoa msaada ambao ni endelevu.
Ni shs ngapi za serikali ya tanzania zinapotea kwa wabunge kulipwa posho mara mbili, rada,ndege mbovu ya raisi, epa and you mention......
Watanzania wengi wanateseka jamani, acha kuongelea tu bila kutembelea vijijini
Mzee Manakijiji, umechambua hiyo hali ya njaa kwa umakini sana. Mimi ninafikiri cha kufanya ni kuanza kuweka akiba kiasi kinachowezekana, ili wakati huo wa njaa ujapo tuwe tayari. Serkali nayo ijaze maghala ya chakula ili kitumike wakati huo.
Mzee Manakijiji, umechambua hiyo hali ya njaa kwa umakini sana. Mimi ninafikiri cha kufanya ni kuanza kuweka akiba kiasi kinachowezekana, ili wakati huo wa njaa ujapo tuwe tayari. Serkali nayo ijaze maghala ya chakula ili kitumike wakati huo.
Sababu nyingine ni mzee bush na kijana wake Gordon brown wamekwiba raslimali zetu kwa kigezo cha mashirika ya huko kuwekeza kumbe wanapora.Ambapo zingeongeza pato la Taifa.
Single D, Tafadhali mpe Mzee Mwanakijiji Orodha ya Raslimali iliyoporwa yeye yuko karibu na hao wakuu ashuhulikenao. Kwa swala la NJAA si geni kwetu kama wachangiaji kadhaa walivyodhihirisha. Wanaokumbuka miaka ya Sabini Ugali wa manjano (Mwanayanga) Ukame au Njaa ile iliunganisha na Funga mikanda baada ya kuingia Vita na Uganda (Idi Amini). Kinachoshangaza na kusikitisha, pamoja na mahubiri yote na sera za Azimio la Arusha(Mwl. JK) Akapita mzee Ruksa. Akapita BWM na sasa yupo JMK; Aridhi ya kutosha tulikuwa nayo na bado tunayo, Vyanzo vya Maji tulikuwa navyo na bado tunavyo. Lakini kwa miaka zaidi ya 45 Hakuna Sera, Mwongozo wala Mkakati wakufaa wa matumizi ya rasilmali hizo. Zaidi ya miaka 45 baada ya Uhuru tunashindwa kujiwekea hata Akiba ya Chakula cha miaka miwili, kama Taifa? Ili tuendelee twahitaji vitu vinne: Watu, Ardhi, Sias asafi na Uongozi bora (Mwl. JKN) Viwili vya kwanza si tatizo, Watu kibao na Ardhi bwerere viwili vifuatavyo; Siasa safi na Uongozi bora hivyo vimebaki kuwa Mtihani from the ward GO. Hakuna awamu yeyote iliyokuja na mbinu ya kupasi Mtihani huu zaidi ya ile ya Kuomba. kilichobaki ni jukumu letu Wananchi kuwatafuta Viongozi bora, watakaoweza kubuni Siasa safi itakayoweza kutukwamua katika Majanga yanayoweza kuzuilika, CAN WE DO THAT IN 2010?
Kama samaki anaweza kuzama baharini basi kwenye chakula mtu aweza kufa njaa! - MM
PIUS RUGONZIBWA in Nachingwea, 16th November 2009 (Daily News)
THREE villages in Nachingwea District face severe hunger. They have now appealed for the government intervention.
According to reliable sources six people had already died this year because of hunger. The affected villages are Mtuwa, Kibotuka and Gongowele.
The villagers were speaking at a public rally addressed by the Prime Minister Mizengo Pinda currently on a tour of the region.
The PM advised them to put emphasis on the cultivation of drought resistance crops such as cassava as that could provide a lasting solution to the hunger experienced during drought season.
The villagers further told the Mr Pinda that, they were not happy with the Warehouse Receipt Systems (WRS) through which they sell their farm produce as the system doesn't allow the instant payment as they were desperate in need of money.
Mr Pinda insisted that the system was one of the best and in other countries it has been successful and a saviour to farmers because of the benefits in it and therefore asked the farmers to remain patient as plans were being worked out to improve it.
Meanwhile, drama unfolded here over the weekend when a section of Nachingwea Constituency residents denounced their Legislator, Mr Mathias Chikawe in the presence of the Premier.
The residents who were among those who turned up at a rally at Madekwe and Mtua Villages told the PM that "we do not know our MP", in the presence of Mr Chikawe who is also the Minister for Justice and Constitutional Affairs.
"We do not know him - he has abandoned us for a long time now", they shouted.
Mr Chikawe later told the 'Daily News' that the move could be politically motivated as there were about six other politicians who have shown interest to vie for the seat come next year's general elections.
Rais wetu ameyasema haya kwenye mkutano wa kimataifa wa Chakula!
NI jambo la aibu kwamba bado watu wanaendelea kufa kwa njaa duniani, bila sababu ya maana, kwa sababu dunia ina chakula cha kutosha kuweza kumlisha kila binadamu, Rais Jakaya Mrisho Kikwete alisema jana.
Akihutubia Mkutano wa Wakuu wa Nchi Kuhusu Hali ya Usalama wa Chakula Duniani katika makao makuu ya Shirika la Chakula na Kilimo Duniani (FAO) mjini hapa, Rais Kikwete amesema kuwa wakati umefika kwa dunia kukomesha aibu hiyo
Ni aibu kubwa kwa upande wetu kwa mtoto ama hata mtu mwingine yeyote mzima katika kona yoyote ya dunia yetu hii kwenda kitandani akiwa na njaa ama kufa kwa njaa. Kuna chakula cha kutosha kwenye ulimwengu wetu huu kuhakikisha kuwa vifo hivyo havitokei.
dunia inazo nyenzo na rasilimali za kutosha, teknolojia mwafaka na ujuzi unaofaa kuweza kuzalisha chakula cha kutosha kwa sasa na hata katika miaka ijayo.
Njaa: Wanakijiji 200 watinga Arusha mjini kuomba chakula
Na Charles Ngereza(Nipashe)
14th November 2009
Watu zaidi ya 200 wa kijiji cha Losikito na kata ya Mwandet katika wilaya ya Arumeru wakiwa na watoto wao wamelazimika kutembea kilometa zaidi ya 50 hadi maeneo ya mjini Arusha kuomba omba chakula ili kunusuru maisha yao
Wananchi hao kutoka kabila la Kimasai walianza safari yao kwa kupita kwenye maboma ya watu na mahoteli makubwa kuomba chakula baada yakukosa chakula na hali zao kuzidi kudhoofika pamoja na watoto wao.
Wakizungumza na waandishi wa habari, wananchi hao walisema wamelazimika kutembea kilometa nyingi wakinywa maji njiani ili waweze kuomba wasamaria kuwasaidia kupata chakula na watoto wao ambao wanaugua utapia mlo kwa sasa kutokana na njaa kali inayowaandamana.
Mmoja wa wananchi hao, Ngolasi Samweti, akiwa na watoto saba mmoja wao akiwa mgongoni aliwaomba wasamaria wema kujitokeza kuwasaidia ili waweze kunusuru maisha yao ambayo walidai yapo hatarini na kwamba upungufu mkubwa wa chakula uliwakumba tangu Januari mwaka huu.
Mama huyo akizungumza kwa niaba ya wenzake katika eneo la Kijiji cha Kimandolu, Manispaa ya Arusha alimtupia lawama mbunge wa Jimbo hilo, Elisa Molel, kuwa wamemlilia muda mrefu awasaidie kupata chakula lakini hajawasaidia na kwamba chakula cha msaada kinachotolewa na Serikali hakijawahi kuwafikia.
Mwanafunzi wa Shule ya Msingi Losikito, Elibariki Moika (10), alisema wameacha kuhudhuria shule kwa kuwa hawapati chakula nyumbani na shuleni na kwamba akiwa na wenzake wanatembea kilometa nyingi kuomba chakula ambapo huambulia vyakula vilivyopikwa na kubaki ambavyo mara nyingine wakila wanasumbuliwa na matumbo.
Mimi napenda shule sana na nifanya vizuri lakini nimeshindwa kuendelea na masomo. Napata njaa ya kutisha na wakati mwingine nikimwangalia mama yangu ambaye ni mzazi wa mwezi mmoja najikuta nikienda mtaani kumuombea chakula asije akafa na njaa. Tunaomba wasamaria watusaidie tutakufa hali ikiendelea hivi," alisema Moika.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halimashauri ya Arusha, Halifa Khida, alithibitisha maeneo ya watu hao kukumbwa na njaa na kwamba waliomba chakula serikalini tani 10,000 kinachohitajika hadi Desemba lakini walipelekewa tani 3,600 tu.
Khida alisema katika kipindi hiki wamepokea tani 770 na kuwa tani 250 zimekwisha gawanywa katika baadhi ya kata na kuwa zoezi linaendelea. Hata hivyo alisisitiza kwamba chakula zaidi kinahitajika.
Alisema kuwa Halimashauri hiyo ina kata 20 na vijiji 75 na kwamba kwa sasa hali ni mbaya katika kata nyingi na vijiji na hivyo akawaomba wadau kushirikiana na Serikali kusaidia jamii inayoishi katika kata hizo.
Kwa kweli hali ni mbaya. Mimi mwenyewe nikitembelea maeneo hayo inanilazimu angalau kuondoka na mfuko wa unga ili kusaidia familia nitakayoikuta ikiwa kwenye hali mbaya zaidi ili kukabiliana na njaa, alisema.
Mbunge wa Arumeru Magharibi, Elisa Molel, hakupatikana jana kuzungumzia hali hiyo kwa kuwa simu yake ilikuwa ikiita bila majibu.
Rome, Italy (CNN) -- Somewhere in the world, a child dies of hunger every five seconds -- even though the planet has more than enough food for all.
Ban Ki-moon, the U.N. secretary-general, laid out the sobering statistic as he kicked off a three-day summit on world food security in Rome on Monday.
"Today, more than 1 billion people are hungry," he told the assembled leaders. Six million children die of hunger every year -- 17,000 every day, he said.
The summit opened with the leaders adopting a declaration in which they renewed their commitment to eradicating hunger. They promised to do so by promoting investment, reversing the decline in funding for agriculture and tackling the effect of global warming on food security.
Urgent action is critical, Ban said. In 2050, the world will need to feed 2 billion more mouths -- 9.1 billion in all.
The steps Ban proposed included providing farmers with seeds and land, and offering them access to better markets and fairer trade.
"These small-holder farmers are the heart and soul of food security and poverty reduction," he said. "Our job is not just to feed the hungry, but to empower the hungry to feed themselves."
The summit came under criticism even before it began, with some aid groups skeptical that it would accomplish much.
The United Nations hopes that donors will go beyond affirming their support to end hunger and fulfill a promise they made during a Group of Eight meeting in July to significantly increase food aid.
Though more than 60 world leaders are at the summit, all but one of the G-8 leaders were absent.
Italy's Prime Minister Silvio Belusconi is hosting the gathering. The United States sent the head of the U.S. Agency for International Development and Britain sent two ministers.
During his speech, Ban also tied the global warming crisis to hunger eradication.
The melting of Himalayan glaciers will affect the livelihood of 300 million people in China and up to 1 billion throughout Asia, he said. And African farmers might see harvests drop by 50 percent by 2020.
The United Nations has scheduled a climate summit next month in Copenhagen, Denmark.
"There can be no food security without climate security," Ban said. "They must produce results.
"The world is impatient for us to make a difference. I, too, am impatient. And I am committed."
The United Nations seeks commitment from the public as well, having launched an online appeal for individual donations to fight hunger. The World Food Program's "Billion for a Billion" campaign aims to reach 1 billion individuals.
"If a billion Internet users donate a dollar or a euro a week, we can literally transform the lives of a billion hungry people across the world," said Josette Sheeran, executive director of WFP.
Small donations can make a big difference, Sheeran said.
"Year in, year out, governments have supported WFP in its mission to feed the world's hungriest people, but they cannot be expected to do it alone," Sheeran said. "It's time for members of the public to act."
"Today, more than 1 billion people are hungry," he told the assembled leaders. Six million children die of hunger every year -- 17,000 every day, he said.
Yaani kila mwaka tunapoteza taifa la RWANDA kwa njaa, jamani -mola wetu turehemu sisi viumbe wako-
System haifanyi kazi? Hawa jamaa wa Early Worning Systems wako wapi? Meteolorgical Argency? Kitengo cha maafa PMO?, TISS wanafanya nini? paid for nothing DCs? National granary? Ministry of agriculture, MKUKUTA, MKUZA, PADEP,ASDP afu tuwe na njaa jamani wote hao taasisi zizo plus natural resource abundancy afu tuwe na njaa jamani?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.