Zakumi
JF-Expert Member
- Sep 24, 2008
- 5,063
- 2,492
Don't you know how Miafrika operate? Miafrika are only good at whining...oh it's the government's fault...oh it's our leaders...oh it's the colonialists...oh it's slavery..oh it's the imperialists...with Miafrika it's always somebody else fault but themselves....
I know. Kipindi cha mavuno katika sehemu nyingi Tanzania kimepita kama miezi mitatu iliyopita. Hivyo kufikia hii hali inaonyesha kuwa mavuno ya watanzania wengi hayatoshi mwaka mzima. Na hapa inanifanya nifikiri kuwa something is wrong na lawama pekee yake azitoshi.