1. Mlango wa mbele ni mkubwa
2. Sipendi kuweka mlango wa mbao halafu kwa nje niweke grill naona kama ni uchafu, halafu unauondolea thamani mlango wa mbao, ambao ni lazima uwe mkali
3. Sometimes nafikiria milango ya chuma, ile steel security door. Ina show nzuri sana, Lakini vipi kutu na makelele ya funga-fungua?
4. Sometimes nafikiria kwa mbele niweke mlango wa mbao mkubwa halafu kwa ndani niweke zile grills za kufunguka pembeni kwa kujikunja. For security purposes
View attachment 3582542
Inanitatiza, Mawazo tafadhali