Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 371,786
- 861,253
Wandewa, faragha sio uwanja wa mapambano ya ngumi au mbio za mita mia!
Ule ni mchezo wa bao la kete—unataka akili, subira, na kucheza kwa kunyata sana.
Unalivaa futa utadhani unakamata mwizi wa kuku? Kweli??, halafu unategemea kukutana na mteremko wa asali?
Siri ya mchezo inakuambia wazi: "Mchezo hauanzi pale mnapozima taa usiku,.. Bali pale unapotegeshewa futa bila kifuniko cha anjari😋."
Ili sasa ule "Ulimbo wa Asali" utoe utelezi wake wa asili na kuteleza kama sabuni ya povu, lazima ufanye maandalizi ya ujuzi na sanaa mapema.
Hapo sasa, milango ya asali inakuwa wazi kabisa!
Mambo yakishajipa, kile "Kipisi cha Dude"—hata kama kina nguvu ya radi na ndevu za simba—haitakiwi kuingia kwa nguvu ya dharuba utadhani unavunja mlango wa kioo.
Achana na sifa za kiumeni za kilo mia! Cheza na ile ramani ya utamu kwa adabu na utulivu mkubwa, ukigusa kila kona kwa madoido kama mdundo wa taarab ya taratibu—pigo moja nje, mawili ndani.🤣💪🏿🙌🏿
Hapo ndipo utakapoona kile kipisi kinanatana kabisa na asali, kikinyata na kuachia kwa miondoko ya ustadi mkubwa huku miguno ya chini ya upole ikitawala uwanja.
Mwisho wa safari, wote wawili mnatoka mkiwa mmejawa na jasho la burudani, mkitabasamu chini ya kapeti kuwa kweli leo ngoma imelia vyema na siri ya mtungi imebaki salama!❤🔥💥🤣🤪