Kipenzi Changu
Platinum Member
- Aug 24, 2011
- 59,220
- 138,654
- Thread starter
- #41
Mimi sijawahi kufika Dubai, ila sikubali kwamba hawafungiDubai wanafunga milango au hawafungi?
Mimi sijawahi kufika Dubai, ila sikubali kwamba hawafungiDubai wanafunga milango au hawafungi?
AI yake imemkatalia majibu yake , sijui hata kama ameyasoma😅Mimi sijawahi kufika Dubai, ila sikubali kwamba hawafungi
Namaanisha mlango mkubwa uwe wa mbao, kwenye huo mlango wa mbao kwa ndani niweke grill kama hiyo unayoona kwenye picha. Ni kama majengo yenye milango ya aluminium huweka grill kwa ndaniWeka huko huko nyuma ila mimi nimeelewa tofauti kidogo huko mlango wa nyuma
Hakuyasoma huyoAI yake imemkatalia majibu yake , sijui hata kama ameyasoma😅
Na pia zingatia ni muhimu watu wote wanaoishi ndani ya nyumba kujua namna ya kufungua. Mazoezi ni muhimu. Watu wengi huwa tunadharau kwa kudhani moto ni tukio ambalo haliwezi kutokea kwenye nyumba zetu.Hili nimelizingatia, katika kila chumba kina grilled window linalofunguka
Weka link ya wauzaji tukaioneAchana na mageti ya chuma. Siku hizi kuna milango ya mbao quality. Mapesa yako tu
Duuh, umenitoa ushamba mkuu. Wapi wanafanya hii kitu? Bei ina range ngapi kwa double doorHuo huo wa mbao ...kuna namna unachomekwa nondo ndani ila kwa nje unabaki kuwa na muonekano wa mbao ...gharama tu inakuwa kubwa sababu inabidi zitumike mbao nene
Upo?Achana na mageti ya chuma. Siku hizi kuna milango ya mbao quality. Mapesa yako tu
KekoDuuh, umenitoa ushamba mkuu. Wapi wanafanya hii kitu? Bei ina range ngapi kwa double door
Double door hapana...unakuwa ni mlango mmoja tu ila unakuwa upana sentimita 100 -110...Duuh, umenitoa ushamba mkuu. Wapi wanafanya hii kitu? Bei ina range ngapi kwa double door
Double door hapana...unakuwa ni mlango mmoja tu ila unakuwa upana sentimita 100 -110...
Kwa kuwa mbao zinazotumika ni nene ...mlango unakuwa mmoja lakini mpana(mkubwa)
View: https://youtube.com/shorts/lF5x4bdQ-BA?si=YZ3BmPNC6qmoLN7H
Mkuu nikiweka mlango wa mbao halafu nyuma yake kwa ndani nikaweka hii gate, kuna tatizo?
Mkuu naomba kujua location ya fundi au duka wanayouza hiyoHakuna tatizo Mkuu