Niwafanye nini watu hawa?

Niwafanye nini watu hawa?

sijadharua mtu ili itifaki lazma izingatiwe, ikitokea mdogo wangu wa kiume au kaka yangu ame fall kwa msichana wetu wa kazi ntaona poa tu hata akitaka kumuoa amuoe tu haina shida, ila si baba yangu, basi bora hata huyo mfanyakazi mwenyewe awe mtu mzima atleast ingekuwa rahisi kumeza lakini sio kitoto kinatuita dada leo hii baba aamue kiwe ndo mama, na isitoshe sitegemei wanaume kuelewa nyinyi semeni mnachoweza isitoshe mnaongoza kwa kutembea na hao wasichana wa kazi na hata hao wasiotembea nao huwa wanawatamani wanabaki kula kwa macho so i dnt expect to hear anything different, hapa naongea na wanawake wenzangu

Ww ndio unamuona mdg lkn ndio akishakuwa mama yako ww unakuwa mdg...dharau ya nn wakat baba yako ndio anaponea hapo na huwezi kumpangia mwanamke wa kuwa naye...utake usitake yeyw ndio anaamua nani wa kumpa dudu lake
 
Hongera sana.

Apo kwenye bold panaonesha unafikiri vizuri. Maana wengi ungewakuta wakisema ''NIKAJIKUTA''

hahahaaaa ahsante
watu wanajisahau kabisa kuwa ni binadamu na kwamba ipo siku wanaweza kukutana na situation ikawafanya wa'react ndivyo sivyo
 
nabanduliwa tena sana BUT not with my father khaaa hamjikubali tu kuwa mnakosea? hakuna wivu hapo yote hayo yanakuja kwa sababu tu unataka kuonekana wa tofauti, mbona wengi tu humu wamenipinga na hawajatumia lugha mbaya kama yako??
ukweli unabaki hapo nina makosa yangu na mzazi wangu pia ana yake

Sasa huyo anayekubandua mwambie akuoe uhame nyumbani umpe baba yako uhuru wa kufanya mambo yake na mama yako mpya
 
Mwana mwenye hekima umfurahisha babaye,bali mwana -------- ni mzigo wa mamaye.
 
Sasa huyo anayekubandua mwambie akuoe uhame nyumbani umpe baba yako uhuru wa kufanya mambo yake na mama yako mpya

ngoja tu nicheke
narudia tena zipo sababu zinazoniweka hapa na hayo mambo ya kuoana sio ya kuharakisha tu ili niondoke nyumbani
sijamnyima uhuru wowote kwa sababu sijasema eti sitaki awe na mwanamke loh
 
sijakataa kabisa kuwa baba yangu anahitaji mwenza by tha way umri wake unaruhusu vizuri sana, pia sijamdharau house maid since naishi nae kama mdogo wangu tu.... sasa ya nini kwenda kutembea na binti mdogo? haya basi awe nae ya nini kujiiba mtu mzima kama yeye? si angeweka wazi tu kwan sisi watoto wake tungekataa??
the situation is not the way you think maana sikwenda kumvamia chumbani kwake najua sio heshima kuingia chumbani kwa mzazi bila taarifa

Kwani huyo maid ana miaka mingapi? Kama ni chini ya 18 then una haki ya kughafirika., though hii sidhani kama ni chanzo.

Nafikiri tatizo ni yeye kufanya Siri, au kujiiba. Pole, lakini huwezi jua mzee wako anafikiria nini., may be anapanga kuwataarifu baadaye.

anaye lala na baba yako ndio mama, put it the other way around then jifunze adamu, kwani haujui manabii wa Mungu nao kuna mazingira yalisababisha wakalala na wasaidizi wao
 
mrsleo, hujanielewa bado. unajua tunachoongelea hapa haina tofauti na justification ya kumtukana mama mkwe kwa sababu kakuudhi na kukuingilia ya nyumbani kwako? kwa malezi niliyolelewa mimi, huko nyumbani mimi ni mwanamke, ni mtoto pia. hata mama mkwe anitukane na kunisukuma, nitaondoka na kufanya kesi baadae. sina ruhusa ya kumtukana wala kumrekebisha. siwezi kum'bwatukia pia kwa sababu ya umri wake na nafasi yake pia.

Baba hakosei, na ukihisi kakosea unaenda kumshtaki kwao. Utashangaa huyo maid akiwa oficially mama utalazimika kumheshimu hahaha, hakawii kukutuma maji ya kunywa. dawa kuwa shosti ili akuonee aibu lol. Its not about who is right or wrong, baba ni baba tu mdogo wangu, na cha mlevi huliwa na mgema
mmh na mimi kwa kweli huwezi kunishawishi kwamba anachokifanya ni sawa, kwa mtazamo wangu what he is doing is soooo wrong in so many ways
 
Last edited by a moderator:
Ndugu zangu hata sijui nianzie wapi maana only God knows how I feel right now.

Na waliosema siku njema huonekana asubuhi hawakukosea maana siku nzima ya leo sijui ndo niseme jana nimeshinda na majonzi little did I know kuwa majonzi makubwa zaidi yanakuja.

This night I have just realized that my father is sleeping with our house maid, what hurts me the most is why did he have to do that in his room and its not even a year since my mum passed away?

Na kwa hasira nikaanza kumkaripia huyu dada na nilichoambulia ni kufokewa na baba kuwa nafuata nini vyumbani kwa watu usiku wote huu!

Natamani nifanye kitu kibaya sana lakini namuomba sana Mungu anisimamie nisifanye lolote ambalo nitajutia baadae.

Najua sitaweza kulala usiku huu.

I just have no one to tell this right now thats why I decided to post this here.

Nasubiri asubuhi ifike, lakini najiuliza hiyo asubuhi ikifika nichukue hatua gani?
Msongo msongo msongo ni kitu kibaya....... Mzazi wako mpe heshima usiweke kichwa chako na kichwa chake sawa/sambamba !!
Kosa limetokea kweli, lakini wewe jiepushe kuwa jaji au hakimu...angalia maisha yako ya mbeleni !!
Jitunze na ujivfunze kuvumilia ..huko mbele kuna zaidi ya hayo...!! ubarikiwe mpendwa.
 
unaniiga sana, nakupendaga bure.

Mie siwezi shindana na mchepuko wa mdingi, kwanza simwonei wivu.

Na kumkaripia mtu mzima yataka moyo.

Utanidai dozi.

mrsleo, hujanielewa bado. unajua tunachoongelea hapa haina tofauti na justification ya kumtukana mama mkwe kwa sababu kakuudhi na kukuingilia ya nyumbani kwako? kwa malezi niliyolelewa mimi, huko nyumbani mimi ni mwanamke, ni mtoto pia. hata mama mkwe anitukane na kunisukuma, nitaondoka na kufanya kesi baadae. sina ruhusa ya kumtukana wala kumrekebisha. siwezi kum'bwatukia pia kwa sababu ya umri wake na nafasi yake pia.

Baba hakosei, na ukihisi kakosea unaenda kumshtaki kwao. Utashangaa huyo maid akiwa oficially mama utalazimika kumheshimu hahaha, hakawii kukutuma maji ya kunywa. dawa kuwa shosti ili akuonee aibu lol. Its not about who is right or wrong, baba ni baba tu mdogo wangu, na cha mlevi huliwa na mgema
 
Last edited by a moderator:
Kuna tofauti gani kati ya kumuuliza baba yako na kumuuliza housegirl ? Yote si yanaelekea kwenye huo uhusiano?
Hasira ndizo humpoteza mtu dada yetu. Binafsi ingekuwa baba yako kaamua kumuoa housegirl sioni shida, ila kufanya hivyo ni vibaya. Sitetei kitendo chake wala sijakizungumzia. Najaribu kukushauri ili ujiepushe na laana, huyo ni mzazi wako na ulichokifanya ni sawa na kufumania kwa sababu unaquestion vipi fidelity ya your own father?
Huko ni kukosa adabu kiukweli, tena kwa mtoto wa kike ni kubaya zaidi kama mtoto wa kiume kwa mama yake (M so sorry for being straight)

khaaaaaa, its time we stop siding at the wrong dids trying to make them appear right.
 
Tukutane kwenye urojo unipe ofa basi. Mefulia kama mdhungu.

Afu wewe huwa nahisi ni mdogo wangu wa kambo, huyu baba kitembezi aka Mtambuzi, kaacha mbegu hadi kwenye mataruma ya reli. Hatuna undugu kweli wewe?
unaniiga sana, nakupendaga bure.

Mie siwezi shindana na mchepuko wa mdingi, kwanza simwonei wivu.

Na kumkaripia mtu mzima yataka moyo.

Utanidai dozi.
 
Last edited by a moderator:
mrsleo, hujanielewa bado. unajua tunachoongelea hapa haina tofauti na justification ya kumtukana mama mkwe kwa sababu kakuudhi na kukuingilia ya nyumbani kwako? kwa malezi niliyolelewa mimi, huko nyumbani mimi ni mwanamke, ni mtoto pia. hata mama mkwe anitukane na kunisukuma, nitaondoka na kufanya kesi baadae. sina ruhusa ya kumtukana wala kumrekebisha. siwezi kum'bwatukia pia kwa sababu ya umri wake na nafasi yake pia.

Baba hakosei, na ukihisi kakosea unaenda kumshtaki kwao. Utashangaa huyo maid akiwa oficially mama utalazimika kumheshimu hahaha, hakawii kukutuma maji ya kunywa. dawa kuwa shosti ili akuonee aibu lol. Its not about who is right or wrong, baba ni baba tu mdogo wangu, na cha mlevi huliwa na mgema

nakuelewa sana, ila napata shida kukubaliana na wewe
 
we kama umekua bora ujitafutie maisha yako uondoke hapo nyumbani mapema....kwa sbb huna haja ya kuingilia maisha ya watu wazima wenye akili timamu......

kwani huyo baba yako yeye haoni kama ni vibaya? kama haoni wewe unataabika nn mwache na upuuzi wake
 
he he he, leo siendi. Naogopa utanibamba.

Tukutane kwenye urojo unipe ofa basi. Mefulia kama mdhungu.

Afu wewe huwa nahisi ni mdogo wangu wa kambo, huyu baba kitembezi aka Mtambuzi, kaacha mbegu hadi kwenye mataruma ya reli. Hatuna undugu kweli wewe?
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom