ladyfurahia
JF-Expert Member
- May 10, 2011
- 14,758
- 9,589
pole mdogo wangu kwa hayo mambo
ninachokushauri usijiingize kwa issue za daddy yako kwani yeye ni mtuzima anaelewa anachokifanya, hivyo chakufanya mdogo wangu wewe jenga mahusiano mazuri na maid wenu ili kuweza kuchota mambo yao akiwa na dingi wako na kingine
cha kufanya unaweza kuhama hapo nyumbani ukaenda ishi kwa ndugu yeyote kwani ukiwa hapo utajipa mastress ya bure wakati dingi wako anahitaji jiko jingine acha kukumbuka ya nyuma ya mamayako elewa kuwa yameshatokea hivyo jijijengee maisha yako binafsi na Muungu wako tu inatosha cha kufanya wewe kuwa mtu wa maombi ili dingi wako ampate mwanamke mwingine wa kuwa naye,
usilipize kisasi chochote cha Mungu yeye atende juu yenu ila cha kufanya onana na wazee ili awape kibali cha kurithi mali za mama yenu alipokuwa na dingi wenu kabla mama wa kambo hajaolewa na dingi wenu maana baada ya hapo hamtaambulia chochote cha maza wenu