Niwafanye nini watu hawa?

Niwafanye nini watu hawa?

Naww uhame kwenu ukaanze maisha.. hayo ndio madhara ya kuishi kwa wazazi mpk miaka 25 unaanza kuwapangia cha kufanya.Baba yako ana haki ya kufanya mapenzi na mtu anayetaka yeye
kuna sababu nyingi zilizosababisha niwepo nyumbani hadi leo many of them are personal, na hata nisingekuwa na sababu kuna dhambi gani ya mimi kuwa kwetu?
 
Ndugu zangu hata sijui nianzie wapi maana only God knows how I feel right now.

Na waliosema siku njema huonekana asubuhi hawakukosea maana siku nzima ya leo sijui ndo niseme jana nimeshinda na majonzi little did I know kuwa majonzi makubwa zaidi yanakuja.

This night I have just realized that my father is sleeping with our house maid, what hurts me the most is why did he have to do that in his room and its not even a year since my mum passed away?

Na kwa hasira nikaanza kumkaripia huyu dada na nilichoambulia ni kufokewa na baba kuwa nafuata nini vyumbani kwa watu usiku wote huu!

Natamani nifanye kitu kibaya sana lakini namuomba sana Mungu anisimamie nisifanye lolote ambalo nitajutia baadae.

Najua sitaweza kulala usiku huu.

I just have no one to tell this right now thats why I decided to post this here.

Nasubiri asubuhi ifike, lakini najiuliza hiyo asubuhi ikifika nichukue hatua gani?
Before you embark on a journey of revenge, dig two graves
 
loh nashukuru walionielewa wamenielewa maana naona kuna watu mmeanza kuchangia bila hata kuangalia hizo comments za nyuma
hasira zangu hazina uhusiano wowote na wivu
pia sikuingia chumbani kwa baba yangu kuwa naenda kumfumania.
nilimsubiri huyo dada ametoka na then nilimfuata chumbani kwake kumuuliza alikuwa wap.
haya mambo kama hayajawahi kukutokea huwezi kuelewa

wewe tafuta mume uolewe umuache baba yako apumuwe au hama nyumbani nenda kapange, nina uhakika mama yako kwenye umri kama wako alikuwa hakai nyumbani kwa babaye.
 
kuna sababu nyingi zilizosababisha niwepo nyumbani hadi leo many of them are personal, na hata nisingekuwa na sababu kuna dhambi gani ya mimi kuwa kwetu?

Dhambi utazaa na wajukuu hapohapo nyumbani na kuanza kudeal business ksma hizo ambazo wewe ungekuwa unakaa kwako huwezi kukutana na hizo drama.
 
naomba kwanza nikuulize swali (jibu kwa PM ukipenda mamii! sawa eenh?? lol)

hivi ulimaanisha nini kujiita romantic eyes?

usiku mwema! nalala mwenzio! naona mbu wa dengue na wa malaria wanashirikiana kuning'ata! lol! dar shida tupu!

PM??!!!
 
Last edited by a moderator:
Dhambi utazaa na wajukuu hapohapo nyumbani na kuanza kudeal business ksma hizo ambazo wewe ungekuwa unakaa kwako huwezi kukutana na hizo drama.

yote kheri
 
hivi kweli jamani mfano wewe binti una miaka 25 unakuta baba yako anatembea na msichana wenu wa kazi mwenye miaka 17 au 18, hata kama ndio mama alishatangulia mbele za haki au lets say waliachana kwa tofauti zao wenyewe, kweli itakuwa sawa? au tunamshauri tu huyu binti kwa kuwa limetokewa kwake na si kwetu? labda kwa watoto wa kiume ndo wanaweza wakaona sawa, ila kwa sisi watoto wa kike ni hapana bwana, romantic eyesrme naona jinsi ulivyojisikia baada ya kugundua kilichotokea ni sawa hata mimi ingeniuma sana, huyu baba yako hakatazwi kuwa na mwanamke mwingine hata kuoa akitaka aoe lakini sio huyo msichana wenu wa ndani tena mbaya zaidi kiumri bado mdogo eyes

tatizo la watu ukisema kitu kimekuuma wanakimbilia kwenye wivu, hivi nimuonee wivu baba yangu nina wazimu? kati ya watu walioelewa vizuri hii situation nashukuru na wewe ni mmoja wapo
ndo hivyo life goes on na hapa ni kama vile nothing happened yesterday
 
baba wee unapanic vipi hapo wakati baba ni wangu na mwenye uchungu hapa ni mimi,unataka kujifanya una hasira na uchungu zaidi yangu amaaa,???usinichosheeeee,mxxxyyy,and sijalelewa na single mother,baba na mama wote Mungu kanijalia,habari ndo hyo,kama mpo kina baba umu mnafanya yenu na mahousegirl ipo siku hata mtoto wako akijua au akimsikia mama ake analalama u will lose him/her for gooood......mwanaume unapojitia kidume kuchepuka better do it guest house ni ufala kufanyia nyumbani...
Nimesema live ili mjue mnaoshabikia mabeki tatu siku ukionwa na mwanaooo anaweza asiseme ilaa ndo hivo

wala usipate tabu mwaya kuwaelezea wanajua sana athari za mambo yao wanatetea ujinga tu. waache waendelee kushabikia maana kuna watu mpaka wanamwaga matusi khaaa
 
Pole sana kwa yaliyokukuta ila cha msingi ni kuheshim maamuzi ya baba yako maana hata kama ataoa huyo dada na mkawa mnaheshimiana mambo hayawezi kuwa mabaya ndan ya nyumba
 
Watu wanajaribu kujibu majibu rahisi kwa maswali magumu,hebu mnaomuona huyo binti hana adabu jaribuni kijivika viatu vyake kabla hamjasema chochote,na yeye ni binadamu.Hata mimi naona mzee yupo wrong ila kwa bahati mbaya tumekuzwa na fikra za kuamini kwamba mzazi hakosei.
 
Tatizo la jf utajibiwa kama ulivyokuja, maana style aliyoingia nayo amemuhukumu baba yake kwa kila kitu.

alichopaswa ni kuleta mjadala mezani halafu tuanze kuchambuwa mada kwa mapana, sasa yeye kinyume chake anataka watu wachangie kama mazuzu kumfurahisha yeye.

kuna mabandiko yangu ya kibiblia asome kwanza halafu akili ndio zitamrudia kwamba hakuna jipya linalofanyika duniani ambalo halina reference kwenye biblia.

na kwakuwa huyo binti kikatiba umri wake anaruhusiwa kuolewa je baba mtu akiamuwa kumuowa huyohuyo house girl nani mwenye jeuri ya kuingilia maamuzi yake?

na mimi nimefurahi kuona mtaalamu kama wewe unayeweza kuwajibu watu kwa kadri walivyokuja, sio hilo tuu hadi biblia unaijua sana well and good.
infact hakuna sehemu niliyosema kuna aina ya majibu ninayoitaka
majibu yote kwangu sawa
 
Nimeshakufahamu, za siku nyingi?

Pole sana, Wadau wamekushauri vizuri...... You was right getting angry but also wise at per. Kama ulioyasema ni kweli, nakupongeza namna ulivyomuuliza huyo maid, Angekua mdada mwingine angepanukisha usiku huo huo.

salama tu, sijui wewe
sikuona haja ya kuanzisha fujo ingawa kiukweli it was a very awkward situation, things are just normal now na kila mtu anaendelea vizuri na shughuli zake
 
Watu wanajaribu kujibu majibu rahisi kwa maswali magumu,hebu mnaomuona huyo binti hana adabu jaribuni kijivika viatu vyake kabla hamjasema chochote,na yeye ni binadamu.Hata mimi naona mzee yupo wrong ila kwa bahati mbaya tumekuzwa na fikra za kuamini kwamba mzazi hakosei.

Nisaidie wewe kushangaa mwenzangu manake majibu ya wengi humu yameniacha hoi, tuache unafki hili swala kwa yeyote yule ingeleta shida, hata hao wanaume wanaojifanya humu kwamba hawajaona kosa ingetokea kwao isingekuwa rahisi kama wanavyolichukulia hapa
 
Mkuu hatuongei hivyo kwa kuwa ni Baba. Hata ukimfumania mama yako ni laana! Yani they are things you are not supposed to see. Na ukiona Ni kama umeona utupu wa mzazi wako, unachopaswa ni kugeuka na kumuomba Mungu kwa ajili yako na kwa ajili ya mzazi wako. Sio kwenda kuandamana, ni kukosa adabu. Wazazi ni wazazi tu and no matter what wanastahili heshima. Ndio maana hata kama wewe ni mwizi umekithiri bado mama yako atakulili si kwa sababu unastahili machozi yake ila kwa sababu ni mama yako. Wazazi wanaenda beyond haki kupigania watoto wao. Ndivyo Mungu alivyoumba ulimwengu.
Stay away from parents business man. hata wewe ulivyosema hivyo unajizolea laana tu Mkuu.
Ndo maana magonjwa kila kukicha mara dengue fever!

hakuna sehemu niliyosema nimeingia chumbani kwake na pia sikumuuliza chochote mzazi wangu kwa sababu sina haki ya kufanya hivyo
lakini mie ni binadamu na kukasirika kupo tu hata kama mnatetea hicho kitendo
 
Watu wanajaribu kujibu majibu rahisi kwa maswali magumu,hebu mnaomuona huyo binti hana adabu jaribuni kijivika viatu vyake kabla hamjasema chochote,na yeye ni binadamu.Hata mimi naona mzee yupo wrong ila kwa bahati mbaya tumekuzwa na fikra za kuamini kwamba mzazi hakosei.

wewe acha kubwata tu bila hoja, yani tujivike k ili tuwe kama huyu anayetokwa mapovu hapa au unamaanisha nini?
 
hakuna sehemu niliyosema nimeingia chumbani kwake na pia sikumuuliza chochote mzazi wangu kwa sababu sina haki ya kufanya hivyo
lakini mie ni binadamu na kukasirika kupo tu hata kama mnatetea hicho kitendo

Kuna tofauti gani kati ya kumuuliza baba yako na kumuuliza housegirl ? Yote si yanaelekea kwenye huo uhusiano?
Hasira ndizo humpoteza mtu dada yetu. Binafsi ingekuwa baba yako kaamua kumuoa housegirl sioni shida, ila kufanya hivyo ni vibaya. Sitetei kitendo chake wala sijakizungumzia. Najaribu kukushauri ili ujiepushe na laana, huyo ni mzazi wako na ulichokifanya ni sawa na kufumania kwa sababu unaquestion vipi fidelity ya your own father?
Huko ni kukosa adabu kiukweli, tena kwa mtoto wa kike ni kubaya zaidi kama mtoto wa kiume kwa mama yake (M so sorry for being straight)
 
...you're becoming stereotype!

am not becoming anything ila majibu yenu ndo yamenipa hiyo conclusion, wanaume woooote mmebaki kumshambulia huyu binti na kuona kilichotokea ni sawa, sasa ningesemaje?
 
Huwezi kujua hila ya huyo maid kuhusiana na baba (kwangu mimi mtu ambae namheshimu kama mzazi hata iweje siwezi kumvulia nguo. inawezekana hata walihusiana toka mama yuko hai?). akiwa mbali hatajua kama baba ana mpango wa kuuza asset za familia, ama hata kama ana migogoro binafsi kama madeni bank na kadhalika.

Kwa kuchukulia poa mambo yao na kutojihusisha anaweza kumsaidia hata baba yake. Unajua anaweza hata kumuambia maid mshauri baba aende hospitali or something. mimi naamini kwenye kutokuvunja madaraja
Umeandika vizuri sana, ila ushauri ulio malizia hapo chini ndio sijauelewa. Sasa aanze ku-monitor issues za baba na za house maid ili isaidie nini? Kwa upande wangu naona kama ni kujizidishia maumivu na pressure isiyo na sababu.
 
mimi sio mwanaume, lakini baba ana haki ya kukosea na kujua jinsi ya kusahihisha mambo yake mwenyewe. tena ni kukosa adabu kuingilia affairs za baba
am not becoming anything ila majibu yenu ndo yamenipa hiyo conclusion, wanaume woooote mmebaki kumshambulia huyu binti na kuona kilichotokea ni sawa, sasa ningesemaje?
 
wewe acha kubwata tu bila hoja, yani tujivike k ili tuwe kama huyu anayetokwa mapovu hapa au unamaanisha nini?

Matola give this girl a break khaaaaaaaaaa maana umemkalia kooni as if wewe ndo baba yake duuuh,mpaka naanza kuwa na mashaka na wewe
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom