Niwafanye nini watu hawa?

Niwafanye nini watu hawa?

hivi kweli jamani mfano wewe binti una miaka 25 unakuta baba yako anatembea na msichana wenu wa kazi mwenye miaka 17 au 18, hata kama ndio mama alishatangulia mbele za haki au lets say waliachana kwa tofauti zao wenyewe, kweli itakuwa sawa? au tunamshauri tu huyu binti kwa kuwa limetokewa kwake na si kwetu? labda kwa watoto wa kiume ndo wanaweza wakaona sawa, ila kwa sisi watoto wa kike ni hapana bwana, romantic eyesrme naona jinsi ulivyojisikia baada ya kugundua kilichotokea ni sawa hata mimi ingeniuma sana, huyu baba yako hakatazwi kuwa na mwanamke mwingine hata kuoa akitaka aoe lakini sio huyo msichana wenu wa ndani tena mbaya zaidi kiumri bado mdogo eyes

Hujatuelewa hatujasema baba alichofanya ni sahihi tumesema binti hana haki ya kujifanya kakasirika sana kama vile baba kafanya usaliti...huu sio usaliti....huku ni kuteleza...na wa kumsema. Baba kwa kuteleza wapo but sio huyu binti
 
Pole sana. Ngoja nikuambie, hata kama mama yako angekuwa hai huwezi kuwa mlinzi wa ndoa yake. Jifunze hilo.

halafu nitakupa ushauri wa wazi. Mwanaume yeyote anahitaji mlinzi mwanamke. Mama yangu alifariki 10 yrs ago na tunatamani hata kumlengesha mshua kwa mwanamke ili aoe na atunzwe. Its a headache kula yake, usafi wa nyumba, afya yake na hata control ya vitu vya nyumbani. Mama yako ameshaondoka, huyo maid hajachukua nafasi ya mama. Na angeweza kuwa mwanamke mwingine asiwe maid. Hata nguo za marehemu zinarithiwa, hicho chumba as long as mama yako hatarudi hapo achana nacho.

sasa ili usiudhike, fanya jitihada za kuondoka nyumbani. Soma shule, faulu, soma boarding, jifunze kurelax around issues na haswa ambazo hauwezi kuzicontrol. Muweke huyo dada karibu ili uweze ku-monitor issues zake na issues za baba. Kubali kwanza, mama hayupo tena na maisha yataendelea.

Umeandika vizuri sana, ila ushauri ulio malizia hapo chini ndio sijauelewa. Sasa aanze ku-monitor issues za baba na za house maid ili isaidie nini? Kwa upande wangu naona kama ni kujizidishia maumivu na pressure isiyo na sababu.
 
Hujatuelewa hatujasema baba alichofanya ni sahihi tumesema binti hana haki ya kujifanya kakasirika sana kama vile baba kafanya usaliti...huu sio usaliti....huku ni kuteleza...na wa kumsema. Baba kwa kuteleza wapo but sio huyu binti

Hajajifanya kukasirika ila amekasirika, na ana haki, hata mimi ningekasirika saaaaaaaaaaana, na kwa comment zenu nimeona kama mna sapoti huyo baba manake mmemwambia asimpangie baba yake mwanamke wa kuwa nae sijui anahitaji mtu kipindi cha hiki upweke sijui nini, sijaona mliposema baba yako kakosea
 
Polehhhh...hata me nishamfumania mdingi liveeee bila chenga na jirani flani hivi,nilipata kichefuchefu,sikuamini aisee....kiutu uzima i kept quiet mama hakujua hata robo hadi leooo ,na ye mzee hakujua ka nilimuona ila heshima kwake tangu siku hyo imeshuka vibayaaaa mno,haniambii kitu aisee,namsikiliza mama angu tu

Ulitaka baba yako amgonge waziri ndio umuheshimu?...jua maza kashindwa kumridhisha dingi ww
 
Hajajifanya kukasirika ila amekasirika, na ana haki, hata mimi ningekasirika saaaaaaaaaaana, na kwa comment zenu nimeona kama mna sapoti huyo baba manake mmemwambia asimpangie baba yake mwanamke wa kuwa nae sijui anahitaji mtu kipindi cha hiki upweke sijui nini, sijaona mliposema baba yako kakosea

Ukiendelea hivyo utajipa tabu sana. Wanasema 'a man got to do what a man got to do'. Hata mkikasirika haibadili kitu
 
ujinga ndio huu kwani nani amekwambia siyo baba yako? na kama ni hivyo kilichokuwasha wewe kuja hapa kushtaki kwenye mahakama ya umma ni nini?

tulia dawa ikuingie kama unataka kuishi dunia yako hama kwenye nyumba ya baba yako nenda kapange fanya maisha yako.

soma biblia ikuongoze badala ya kukata viuno na kupayuko bure, wale watoto waliomcheka baba yao alipolewa na kuna na yule ambaye slimsitiri baba yake.

Hivi wewe na mungu ni nani mwenye akili? hivi unajuwa kwenye biblia ni nani alizaa na mjakazi wake?

je unajuwa kizazi cha nuhu mabinti zake walimpa pombe baba yao ili alewe na baadaye walimbaka baba yao?

hivi mnapoleta mada hapa jf mnategemea huu ni mtandao wa vilaza ugongewe like na kusapotiwa ujinga tu?

ujue i dont get ur point ni nini hasa....sijakuomba comment wala like,wala sishabikii hiki kitendo,nnachokushangaa ni unavopanic na kujidai una machungu zaidi yangu...we vipiii,?nimeamua kusema wazi ndio mana mtoa mada is facing a similar situation i faced years back...and the steps i took, na madhara wanayoyasababisha kina baba wanao deal na mahousegal,..
Huo mfano wa nuhu hauendani hapa bible naijua vyemaaaa,Ibrahim kuzaa na mjakazi wake hagai unajua chanzo chake lakini au unaongea tuuu?z..sema lingine,my point was simple kwa mtoa mada umemkuta mzee wako hivo HUNA LA KUFANYA,kaa kimya fanya yako..ndo ushakuwa mkubwa ,handle it
 
hivi kweli jamani mfano wewe binti una miaka 25 unakuta baba yako anatembea na msichana wenu wa kazi mwenye miaka 17 au 18, hata kama ndio mama alishatangulia mbele za haki au lets say waliachana kwa tofauti zao wenyewe, kweli itakuwa sawa? au tunamshauri tu huyu binti kwa kuwa limetokewa kwake na si kwetu? labda kwa watoto wa kiume ndo wanaweza wakaona sawa, ila kwa sisi watoto wa kike ni hapana bwana, romantic eyesrme naona jinsi ulivyojisikia baada ya kugundua kilichotokea ni sawa hata mimi ingeniuma sana, huyu baba yako hakatazwi kuwa na mwanamke mwingine hata kuoa akitaka aoe lakini sio huyo msichana wenu wa ndani tena mbaya zaidi kiumri bado mdogo eyes

Kwa hiyo ww unampangia baba yako mwanamke wa kumlala?...tatizo wanawake mnawadharau sana mabeki 3 mnaona kama sio watu.
 
frankly speaking atakayemuoa huyu ni timer bomb ndio wale wale frola mbasha style.

hivi mtoto wa kike kumuonea wivu baba yako ukiambiwa alikuwa anakutafuna utabisha?[o/QUOTE]
Too much bro!
Muelewe huyu binti situation take.too way normal!
Msaidie kwa kumuelewesha alielewe bila kum attack!
Mnazidi kumtengenezea image mbaya kwa babake zaidi ya kumsaidia!anawaweka group moja kwani mnazidi tu kumuonyesha male dominance hata kweny mazungumzo ya kawaida!
Ambacho ndicho kinamtesa sasa hivi!
Babangu ni katili
Babangu hamheshimu mama
Babangu an a abuse mabinti wadogo
Huku nako ni yale Yale .
Ah hamumsaidii!
Cc gangchomba

Tatizo la jf utajibiwa kama ulivyokuja, maana style aliyoingia nayo amemuhukumu baba yake kwa kila kitu.

alichopaswa ni kuleta mjadala mezani halafu tuanze kuchambuwa mada kwa mapana, sasa yeye kinyume chake anataka watu wachangie kama mazuzu kumfurahisha yeye.

kuna mabandiko yangu ya kibiblia asome kwanza halafu akili ndio zitamrudia kwamba hakuna jipya linalofanyika duniani ambalo halina reference kwenye biblia.

na kwakuwa huyo binti kikatiba umri wake anaruhusiwa kuolewa je baba mtu akiamuwa kumuowa huyohuyo house girl nani mwenye jeuri ya kuingilia maamuzi yake?
 
Naww uhame kwenu ukaanze maisha.. hayo ndio madhara ya kuishi kwa wazazi mpk miaka 25 unaanza kuwapangia cha kufanya.Baba yako ana haki ya kufanya mapenzi na mtu anayetaka yeye
 
Nimeshakufahamu, za siku nyingi?

Pole sana, Wadau wamekushauri vizuri...... You was right getting angry but also wise at per. Kama ulioyasema ni kweli, nakupongeza namna ulivyomuuliza huyo maid, Angekua mdada mwingine angepanukisha usiku huo huo.

kwa sababu nina mijicho mikubwa, and they are NOT romantic ila tu ni jina walilokuwa wanapenda sana watu kunitania ili nikasirike
 
Kwa hiyo ww unampangia baba yako mwanamke wa kumlala?...tatizo wanawake mnawadharau sana mabeki 3 mnaona kama sio watu.

sijadharua mtu ili itifaki lazma izingatiwe, ikitokea mdogo wangu wa kiume au kaka yangu ame fall kwa msichana wetu wa kazi ntaona poa tu hata akitaka kumuoa amuoe tu haina shida, ila si baba yangu, basi bora hata huyo mfanyakazi mwenyewe awe mtu mzima atleast ingekuwa rahisi kumeza lakini sio kitoto kinatuita dada leo hii baba aamue kiwe ndo mama, na isitoshe sitegemei wanaume kuelewa nyinyi semeni mnachoweza isitoshe mnaongoza kwa kutembea na hao wasichana wa kazi na hata hao wasiotembea nao huwa wanawatamani wanabaki kula kwa macho so i dnt expect to hear anything different, hapa naongea na wanawake wenzangu
 
frankly speaking atakayemuoa huyu ni timer bomb ndio wale wale frola mbasha style.

hivi mtoto wa kike kumuonea wivu baba yako ukiambiwa alikuwa anakutafuna utabisha?
Too much bro!
Muelewe huyu binti situation take.too way normal!
Msaidie kwa kumuelewesha alielewe bila kum attack!
Mnazidi kumtengenezea image mbaya kwa babake zaidi ya kumsaidia!anawaweka group moja kwani mnazidi tu kumuonyesha male dominance hata kweny mazungumzo ya kawaida!
Ambacho ndicho kinamtesa sasa hivi!
Babangu ni katili
Babangu hamheshimu mama
Babangu an a abuse mabinti wadogo
Huku nako ni yale Yale .
Ah hamumsaidii!
Cc gangchomba

Mkuu hatuongei hivyo kwa kuwa ni Baba. Hata ukimfumania mama yako ni laana! Yani they are things you are not supposed to see. Na ukiona Ni kama umeona utupu wa mzazi wako, unachopaswa ni kugeuka na kumuomba Mungu kwa ajili yako na kwa ajili ya mzazi wako. Sio kwenda kuandamana, ni kukosa adabu. Wazazi ni wazazi tu and no matter what wanastahili heshima. Ndio maana hata kama wewe ni mwizi umekithiri bado mama yako atakulili si kwa sababu unastahili machozi yake ila kwa sababu ni mama yako. Wazazi wanaenda beyond haki kupigania watoto wao. Ndivyo Mungu alivyoumba ulimwengu.
Stay away from parents business man. hata wewe ulivyosema hivyo unajizolea laana tu Mkuu.
Ndo maana magonjwa kila kukicha mara dengue fever!
 
Hujatuelewa hatujasema baba alichofanya ni sahihi tumesema binti hana haki ya kujifanya kakasirika sana kama vile baba kafanya usaliti...huu sio usaliti....huku ni kuteleza...na wa kumsema. Baba kwa kuteleza wapo but sio huyu binti

Me sidhani ka "alijifanyisha" kukasirika baada ya kujua Wat z real goin on kat ya dad ake Na hako kagirl.... Lazma astuke Na apate hasira kwel coz ndio tulivyo bnadam..
Hata ngekuwa mm I wud hav reacted th same..... Coz inakuwa imetokea so fast, unxpected so reacting in such a way naona n kawaida sanaaa
 
hivi kweli jamani mfano wewe binti una miaka 25 unakuta baba yako anatembea na msichana wenu wa kazi mwenye miaka 17 au 18, hata kama ndio mama alishatangulia mbele za haki au lets say waliachana kwa tofauti zao wenyewe, kweli itakuwa sawa? au tunamshauri tu huyu binti kwa kuwa limetokewa kwake na si kwetu? labda kwa watoto wa kiume ndo wanaweza wakaona sawa, ila kwa sisi watoto wa kike ni hapana bwana, romantic eyesrme naona jinsi ulivyojisikia baada ya kugundua kilichotokea ni sawa hata mimi ingeniuma sana, huyu baba yako hakatazwi kuwa na mwanamke mwingine hata kuoa akitaka aoe lakini sio huyo msichana wenu wa ndani tena mbaya zaidi kiumri bado mdogo eyes
...you're becoming stereotype!
 
Conciously!!!

Polehhhh...hata me nishamfumania mdingi liveeee bila chenga na jirani flani hivi,nilipata kichefuchefu,sikuamini aisee....kiutu uzima i kept quiet mama hakujua hata robo hadi leooo ,na ye mzee hakujua ka nilimuona ila heshima kwake tangu siku hyo imeshuka vibayaaaa mno,haniambii kitu aisee, namsikiliza mama angu tu
 
Kuna mentality moja umeweka kuwa house maid ni mtu duni. Sio sahihi. She is a woman, she deserves to love and to be loved, sawa na wewe sawa na baba yako.
Tukirudi kwenye mada, ni kweli inaweza kukuuma kugundua hilo. Lakini the way ulivyolihandle is totally wrong. Kama mtu mzima hukutakiwa kuparamia jambo emotional kama hilo kwa pupa. Ulipaswa utulie, ujifanye hujui kinachoendelea, with time may be in several days or even weeks akili yako ingetulia alafu ukaamua kwa busara zaidi. May be una mashangazi, bibi au jamaa wengine ambao ungewaeleza kiutaratibu mkashauriana mfanye nini...

Umemkosea baba yako heshima, kama una busara natarajia kesho umuombe msamaha...
take this romantic eyes ...
 
loh nashukuru walionielewa wamenielewa maana naona kuna watu mmeanza kuchangia bila hata kuangalia hizo comments za nyuma
hasira zangu hazina uhusiano wowote na wivu
pia sikuingia chumbani kwa baba yangu kuwa naenda kumfumania.
nilimsubiri huyo dada ametoka na then nilimfuata chumbani kwake kumuuliza alikuwa wap.
haya mambo kama hayajawahi kukutokea huwezi kuelewa
 
baba yako sio mjinga
anajua anachofanya ni wrong ndo maana alifanya kwa siri

muache atalisahihisha mwenyewe...........

hupaswi kumkasrikia huyo housegirl......unamuonea....

na hupaswi kujifanya wewe ndo mlinzi wa 'heshima ya mama yako'...... utajipa stress za bure

nakushauri utafute boyfriend kama huna......the world is not perfect......soon you will realize that...

Kumuingiza marehem Mama yake hapo umekosea sana...
 
sijakataa kabisa kuwa baba yangu anahitaji mwenza by tha way umri wake unaruhusu vizuri sana, pia sijamdharau house maid since naishi nae kama mdogo wangu tu.... sasa ya nini kwenda kutembea na binti mdogo? haya basi awe nae ya nini kujiiba mtu mzima kama yeye? si angeweka wazi tu kwan sisi watoto wake tungekataa??
the situation is not the way you think maana sikwenda kumvamia chumbani kwake najua sio heshima kuingia chumbani kwa mzazi bila taarifa

Udogo wa huyo binti unaujua??? We tulizana kama ulivyoshauriwa.

Hiviiii ungejisikiaje kama Baba yako angeonekana usiku barabarani anafukuzia changudoa? Muombee kwa Mungu Baba yako apate faraja wa moyo wake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom