Niwafanye nini watu hawa?

Niwafanye nini watu hawa?

Bora amelala na hausgel kuliko kwenda kuokota malaya nje
 
mimi sio mwanaume, lakini baba ana haki ya kukosea na kujua jinsi ya kusahihisha mambo yake mwenyewe. tena ni kukosa adabu kuingilia affairs za baba

kwa mtazamo wangu sizani kama anampenda ila anamtumia tu tena inawezekana alianza kipindi mkewe akiwepo, na siku atakayoamua kuoa ataoa mwanamke mwingine kabisa, sasa ni picha gani anayoleta kwa watoto wake?
 
Matola give this girl a break khaaaaaaaaaa maana umemkalia kooni as if wewe ndo baba yake duuuh,mpaka naanza kuwa na mashaka na wewe

mashaka yako kwangu ni yepi? hapa siyo Facebook kutoa status unasubili likes 500 hamna kitu cha namna hiyo.

hivi mimi nimuone shamba boy anatoka kumgegeda mama chumbani unadhani nitapata wapi gutts za kumuhoji shamba boy?

ndio maana kesi za kina baba kuwabanduwa mabinti zao waliowazaa ni nyingi kuliko kusikia mtoto wa kiume kambanduwa mama yake, hapo lazima kunakuwa na issue ya ushirikina.

na mleta mada anaonesha ana wivu kwa baba yake kiasi kwamba haishangazi ukisikia baba anambanduwa mwanae wa kuzaa hizi ndio dalili zenyewe.
 
Hizo ni choice zake binafsi na ukimuingilia unamkosea heshima. Kwanza nani kakuambia anataka kumuoa? Baba yuko kwenye stress hapo, hadi kupata mwanamke wa kuenea kwenye viatu vya mama yako unadhani ni mchezo? wewe muombee Mungu awe na afya njema, kaa karibu na huyo maid ili akichepuka umchongee kumponya baba na ukimwi if at all utaweza. Usijivike ushemeji kwa baba yako, utajipa stress tu.

Maumivu ya kuondokewa na mama yanakutosha. Angalia baba anatimiza majukumu? kama hawalipii ada kamsemee kwa kina aunt na baba wadogo/wakubwa. Basi.
nashukuru dada yangu, si kwamba napenda kuingilia maisha ya baba yangu napenda awe na furaha ila natamani sana aoe mwanamke ambaye kidogo umri unaruhusu.
 
mashaka yako kwangu ni yepi? hapa siyo Facebook kutoa status unasubili likes 500 hamna kitu cha namna hiyo.

hivi mimi nimuone shamba boy anatoka kumgegeda mama chumbani unadhani nitapata wapi gutts za kumuhoji shamba boy?

ndio maana kesi za kina baba kuwabanduwa mabinti zao waliowazaa ni nyingi kuliko kusikia mtoto wa kiume kambanduwa mama yake, hapo lazima kunakuwa na issue ya ushirikina.

na mleta mada anaonesha ana wivu kwa baba yake kiasi kwamba haishangazi ukisikia baba anambanduwa mwanae wa kuzaa hizi ndio dalili zenyewe.
eeeh tumefika huko kwenye matusi tena!! hatuwezi kufanana kwa mtazamo kama wewe kwako ni kawaida tu na huwezi uliza chochote ni sawa, kama mie wa fb basi na wewe wa huko huko maana kule kuna watu wanaopenda kutukana kama wewe hivyo
 
suala la kumpenda ama kumtumia sio juu ya wanae. ni maamuzi yake binafsi, unless baba ana memory loss ndo utanishawishi. huwezi kumchagulia babako mwanamke wa kulala nae, na hauwezi kuhoji kuwa anawapa motisha gani. bay the way, baba amejitahidi kuficha kwa kadri awezavyo, its not like kawakuta sebleni kwenye makochi, sio?
kwa mtazamo wangu sizani kama anampenda ila anamtumia tu tena inawezekana alianza kipindi mkewe akiwepo, na siku atakayoamua kuoa ataoa mwanamke mwingine kabisa, sasa ni picha gani anayoleta kwa watoto wake?
 
am not becoming anything ila majibu yenu ndo yamenipa hiyo conclusion, wanaume woooote mmebaki kumshambulia huyu binti na kuona kilichotokea ni sawa, sasa ningesemaje?
Definition:
A stereotype is used to categorize a group of people. People don't understand that type of person, so they put them into classifications, thinking that everyone who is that needs to be like that, or anyone who acts like their classifications is one. I'm borrowing the following examples from Urban Dictionary:
1.) That all white women have flat booties.
2.) That all Jews are greedy.
3.) That all blacks are lazy, on welfare, and don't believe in marriage before child barring.
4.) That all Asians are good at math.
5.) That all Arabs are angry people that like to blow shit up.
6.) That ALL black men are hung like elephants.
7.) ALL white men are hung like squirrels.
8.) All blacks crave chicken and watermelon.
9.) All blacks are hostile and will quickly bust a cap in your ass.
10.) That all Mexicans like to drive around 15-17 deep in a small ass car.
11.) That all white people get angry when they cant get jobs and see others moving ahead.
12.) That all Asains like to eat rice and drive slow.
13. That all Irish people are drunks and eat potatoes.
 
Kilichokutokea hata kwenye familia yetu yalitukuta, lakini siye watoto wa kiume tuliona sawa na hatuku umia wala kumchukia maid wetu ila dada zetu walimchukia sana, Mzee ana kisukari wakaulizwa mtakaa na baba yenu mpaka lini, je mkipata wachumba mtaendelea kuishi hapa nyumbani na baba yenu?, je mkiamka asubuhi mkakuta mama wa mwenzenu jirani anatoka chumbani kwa baba yenu?Mwisho wa siku walipata kazi zao na maid akaolewa na jamaa mwingine na maisha yanaendelea kama kawaida.
 
we huoni mzee huyo ndo safi kama anaweza kuopoa binti mdogo mdogo... labda kama na hg mwenyewe anachezea mzigo... na kama mzee anapiga tu mzigo afu mwisho wa siku aoe pengine bac atakua kaleta picha mbaya kwa watoto..
sema mimi huyo mzee namuelewa kabisa, mwaka mzima wife kaondoka sawa, ila lazima ahitaji mtu pembeni, mwaka mzima kuuvumilia si kazi ndogo ka watu wanavodhani.. we kua uyaone, husband akiondoka hata kazini mwezi tu utaona mzigo wake..
 
kwa mtazamo wangu sizani kama anampenda ila anamtumia tu tena inawezekana alianza kipindi mkewe akiwepo, na siku atakayoamua kuoa ataoa mwanamke mwingine kabisa, sasa ni picha gani anayoleta kwa watoto wake?

unaona sasa jinsi ulivyo na speculation za kijinga? yani umeingia hadi kwenye moyo mtu?

sikiliza wewe, kuna bar made namjuwa aliolewa na kigogo mzito wa ccm jina lake linaanzia d ubini m, yule dada baada ya kuolewa alipenyezwa ccm mpaka akawa mbunge wa viti maalum na sasa hivi kiongozi mkubwa tu kwenye jumuia za ccm.

maisha hayapo hivyo usimchukylie house gal kama ameumbwa ili awe kijakazi tu, tupo wanaume wenye imani kali kama marastafari tunaeeza kufanya lolote na kuwaacha watu hawaamini na wanashangaa.

je uliwahi kuifuatilia tamthilia ya the promise? yule innamorata wakati akiwa house gal wa kina angelo kuna alinotice chochote kwamba innamorata ni msichana mrembo kuliko hata bia bianka aliyekulia maisha ya silver spoon?
 
eeeh tumefika huko kwenye matusi tena!! hatuwezi kufanana kwa mtazamo kama wewe kwako ni kawaida tu na huwezi uliza chochote ni sawa, kama mie wa fb basi na wewe wa huko huko maana kule kuna watu wanaopenda kutukana kama wewe hivyo

matusi yako hapo? acha unafki binti ina maana wewe ubanduliwi? na kama unabunduliwa kwahiyo unapenda matusi siyo? usikimbie kimvuri chako kila kitu kipo wazi kauli mbiu yetu hapa ni where we dare to speak openly.

ukweli ni kwamba kuna kesi nyingi sana za watoto wa kike kubanduliwa na baba zao, kwahiyo ukileta element za wivu unatutia mashaka.
 
suala la kumpenda ama kumtumia sio juu ya wanae. ni maamuzi yake binafsi, unless baba ana memory loss ndo utanishawishi. huwezi kumchagulia babako mwanamke wa kulala nae, na hauwezi kuhoji kuwa anawapa motisha gani. bay the way, baba amejitahidi kuficha kwa kadri awezavyo, its not like kawakuta sebleni kwenye makochi, sio?

mmh na mimi kwa kweli huwezi kunishawishi kwamba anachokifanya ni sawa, kwa mtazamo wangu what he is doing is soooo wrong in so many ways
 
Kuna tofauti gani kati ya kumuuliza baba yako na kumuuliza housegirl ? Yote si yanaelekea kwenye huo uhusiano?
Hasira ndizo humpoteza mtu dada yetu. Binafsi ingekuwa baba yako kaamua kumuoa housegirl sioni shida, ila kufanya hivyo ni vibaya. Sitetei kitendo chake wala sijakizungumzia. Najaribu kukushauri ili ujiepushe na laana, huyo ni mzazi wako na ulichokifanya ni sawa na kufumania kwa sababu unaquestion vipi fidelity ya your own father?
Huko ni kukosa adabu kiukweli, tena kwa mtoto wa kike ni kubaya zaidi kama mtoto wa kiume kwa mama yake (M so sorry for being straight)
no need to be sorry you just spoke your mind
 
matusi yako hapo? acha unafki binti ina maana wewe ubanduliwi? na kama unabunduliwa kwahiyo unapenda matusi siyo? usikimbie kimvuri chako kila kitu kipo wazi kauli mbiu yetu hapa ni where we dare to speak openly.

ukweli ni kwamba kuna kesi nyingi sana za watoto wa kike kubanduliwa na baba zao, kwahiyo ukileta element za wivu unatutia mashaka.

unasahau kwamba huyu ni binadamu na si malaika, na binadamu tunatofauti sana katika ku handle mambo, kama ambavyo ww kwa mtazamo wako baba yuko right, na mtazamo wa king'asti pia ni sawa na wako, ila mtazamo wangu na wa huyu binti uko tofauti, so dont judge her just bcz hafikilii au kutenda kama wewe
 
matusi yako hapo? acha unafki binti ina maana wewe ubanduliwi? na kama unabunduliwa kwahiyo unapenda matusi siyo? usikimbie kimvuri chako kila kitu kipo wazi kauli mbiu yetu hapa ni where we dare to speak openly.

ukweli ni kwamba kuna kesi nyingi sana za watoto wa kike kubanduliwa na baba zao, kwahiyo ukileta element za wivu unatutia mashaka.

nabanduliwa tena sana BUT not with my father khaaa hamjikubali tu kuwa mnakosea? hakuna wivu hapo yote hayo yanakuja kwa sababu tu unataka kuonekana wa tofauti, mbona wengi tu humu wamenipinga na hawajatumia lugha mbaya kama yako??
ukweli unabaki hapo nina makosa yangu na mzazi wangu pia ana yake
 
kuna sababu nyingi zilizosababisha niwepo nyumbani hadi leo many of them are personal, na hata nisingekuwa na sababu kuna dhambi gani ya mimi kuwa kwetu?

Basi usiingilie mambo personal yq baba yako...unakaa under his roof then uhoji mwanamke anayetaka kumlala?...grow up
 
Hongera sana.

Apo kwenye bold panaonesha unafikiri vizuri. Maana wengi ungewakuta wakisema ''NIKAJIKUTA''
salama tu, sijui wewe
sikuona haja ya kuanzisha fujo ingawa kiukweli it was a very awkward situation, things are just normal now na kila mtu anaendelea vizuri na shughuli zake
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom