Niwafanye nini hawa watu..?

Wanaume tumeubiwa tamaa, hakuna mwanaume ambaye hana tamaa.
Je ni kweli tamaa tunayo sisi wanaume tu?

Kwamba wanawake na wao hawaikinai nanii hiyohiyo moja kila siku? Hawawatamani na kutongozwa na wanaume wengine huko nje wenye mionekano na hadhi kushinda sisi?
 

Sawa
 
Watoto wanasoma dear mmoja Bado mdogo hajaanza shule.nikiwachukua nitavuruga utaratibu wao na kwasasa nitakua Sina pa kuwaweka sijaandaa mazingira .. ..pia baba aone umuhimu wangu ...alishawahi kutamka "kulea kitu gani" kwahiyo zamu yake imefika
Hahaha. Atauona ushetani wako pia. Kaa naye mwambie ulichogundua na maamuzi unayotaka kuyafanya. Kubalianeni kuhusu mustakabali wa watoto. Then tekeleza maamuzi yako. Cha muhimu usitelekeze watoto.
 
Men cheat, hilo wala usiwaze sana, ukiondoka hapo weka kipapa kufuli maana the next one will cheat too.

Nashangaa sana wamama wa sasa hawana time na watoto, hawataki kuwa responsible kabisa kulea watoto.

Poleni sana mnaopitia changamoto za ndoa na malezi.
 
Kwa hapa nilipofikia Wala Sina haja ya yeye anitafute .nikiondoka manake nimevumja ndoa mwenyewe sintarudi nyuma!
 
😁 Kipapa.
Sawa mkuu nimekuelewa
 
Ya kwangu atasema yeye!! Binadamu ana nafsi Moja tu..
Asante kwa andiko lako
 
Sawa ,asante kwa ushauri
 
Thread Closed
 
Hakikisha watoto wanakuwa huku ukiacha kusumbua na mtu asiye na upendo kwako, acha kudeal naye, wewe deal na watoto
 
Huyo mwanaume ni kichaa ndo maana anampiga mke wake, huwezi kuwa na akili timamu halafu ukampiga mkeo, haipo hiyo.
Labda huko mbinguni ila hapa duniani inawezekana kwa binadamu wenye akili timamu kukwazana hata kupigana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…