Yaani still uko nae!! Daaah kuna watu mna mioyo!
Sana ila sasa yule mwenye mali hapo bold panahusika kama akigundua kuna mtu anamgongea ila yule anaegonga wa mwenzake yaani yupo comfortable kabisa ila na yeye kama ana wa kwake hapo bold panahusika (kifupi ule msemo wa CHAKO CHANGU, CHANGU CHANGU unahusika zaidi hapa)
Mmmmh bwana shemeji nawe una malengo? Pesa eti?
Mfano huyu jamaa kwenye huu uzi ngoja atoto aje ajionee hapa chini
https://www.jamiiforums.com/mahusia...a-mpangaji-wangu-anajua-zaidi-ya-messi-3.html
Kuna wanaume wengine wanafanya hivyo
Binafsi ishawahi nitokea
Kuna mkaka moja alinitongoza nikamjibu tayar im already taken but jamaa king'ang'anizi ruba weka pembeni
Yaani eti yuko radhi kushare ili tu niwe nae
Tatizo lipo wapi? Kwani
Ila ukiwakuta wanavyojitapa kuwa hawawezi kushare, kumbe wanashare na wanajua kabisaaa kuwa wanashare na wameridhika.
Mkuu
Naungana Nawe Watu Wanaweza Sana Wake Kwa Waume, Angalia Mtu Anakwenda Kumtongoza Mke / Mume Wa Mtu Mwingine Akijua Wazi Mmiliki Yupo.
Hata Wasio Oa/Kuelewa Ni Hivyo Hivyo Hiyari Yashinda Utumwa, Kizuri Kula Na Ndugu Yako
Tena Wengine Wanajua Kabisa Na Mambo Yanakwenda Tu
Teh teh teh!! Ugunduzi tu!
Wacha we!! Utabinafsishwa na wewe shaurilo.
Some time mbona wanaume wanakubali tuu kushare pale ambapo wao ndio wanavamia kambi ya mtuuu, sema ku realize au kukubali inakuwa vigumu as a men
Ila wimbo huu naupenda saana, saana...
Stil as a men ukincheat nakuacha...