Nivumilie - Baraka da prince ft Ruby

Nivumilie - Baraka da prince ft Ruby

Nimekumisimo! Vipi umemaliza kupika?

Hapana shem, nipo huki rock cty for while..mchana kutwa hamna umeme....

Umeona timu hisa vile wapo wengi...ila siyo kama ile ya rubby
 
Hapana shem, nipo huki rock cty for while..mchana kutwa hamna umeme....

Umeona timu hisa vile wapo wengi...ila siyo kama ile ya rubby

Sema "mpo" wengi, wekezeni tu, mie nitakusaidia kuvuna.
 
Huntakii mema shemej....
Sipo kwenye hiyo kambi....

Teh teh teh teeeeh! Mie nakuangalia tu unavyoshadadia na ulikiri mwenyewe kuwa ndio zako.
 
Teh teh teh teeeeh! Mie nakuangalia tu unavyoshadadia na ulikiri mwenyewe kuwa ndio zako.

Teh teh shemeji nimekonda gafla, nlikuwa kiti moto..ila mungu ni mwema sana...

Huu uzi uishie hapa shemeji
 
Teh teh shemeji nimekonda gafla, nlikuwa kiti moto..ila mungu ni mwema sana...

Huu uzi uishie hapa shemeji

Teh teh teh teh!! Kilalaheri dogo, ila tu mie nilishasema sitaki kesi.
 
Anaeshare, Hana Mapenzi Ya Kweli... Ila Anataka " Kidude" Tuuu, Kuwa Anatolea Hamu.
 
Back
Top Bottom