labda sijui mapenzii ndo sababu ukakimbia,ama alikuwepo kitamboo hukutaka kunambia,,,,,,, very gud song aiseeee,i like it!!!!!
hahahaha noma hiyo mwaj waukwelibora alete hela uifaidi maana anaweza gongwa bureee na ukimwi akakuletea(joke)
"habari ya mapenzi niulize mimi, we uko moyoni kelele za nin? Nakuheshimu niamini,vumilia kidogo nimchunechune....
daaah hapo ndio huwa pananichosha mwili na maini.
mbona kho kho hahahaha. ila kwako nitakubali kushare (joke)Kho kho duuuh
aiseeeee haka kawimbo ni katamu snaaa haswa nikiwa na ndovu mkononi,,,,,, nakiherehere cha kupost vipicha wenzangu wananichora,basi nambie nimuache aende na magari nirudishe, wazazi uwaambie kwenye nyumba watokee ,,,,
Nanyi mjitume ili msipatwe na kadhia kama hizo.
agh! mi sikubali wewe.
unipe pesa za yule nitumie ntakupenda kwa lipi? akijua mi mwenzie si nitauawa jamani
alaf anamchana live eti sasa niambie, nimuache aende na magari nirudishe wazazi wambie kwenye nyumba watoke usimame kama mume.
ila mi ninaemchapia hajui kwamba anachapiwa.
youngsharo tho i don't believe in love,heri kushare kwa kumgongea mshikaji na sio ushare kwa kuchapiwa wewe,duuuuuih sure love is a craizy game aiseeeee!!!