Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,668
- 11,333
What goes around......
Na wako nae anagaragazwa hivyo hivyo,
ila hapo sasa raha yake nini jamani, unakuwa na mtu mwenye mwanaume mwingine wakati una wako!! Ili iweje? Tamaa ya ngono? Si una wako?
Vitu vingine ni mazoea tu mabaya tena ukute anajisemea sifanyi tena lakini anarudi, hapo anakua kama mtumia unga, na ataondoka mpaka pale mwanamke atakaposhituka