Nivumilie - Baraka da prince ft Ruby

Nivumilie - Baraka da prince ft Ruby

Nilikuwa nikisikiliza wimbo huu na nikajikuta najiuliza, "hivi kuna wanaume wanaokubali kushare mapenzi huku wakitambua kuwa wanashare"

Eti wanaume hii imekaaje? Maana mie kila mwanaume niliyewahi kuwa nae walikuwa wakiniambia "nikigundua unanisaliti ndio tiketi yako na nakuacha"

Na ni sababu gani haswaa inayokupelekea ukubali kushare? Ni uhaba wa wanawake? Maana nijuavyo mimi wanawake ni wengi kuliko wanaume.

Karibuni.

Una-share tu kama mwanadada anaangaishwa na aliyenaye na kuhitaji tulizo la moyo. Pia kuna wadada hapati amani bila kupata ile roho inapenda hata kama ana wa kwake, hivyo akitokea wa hivyo kuku-approach basi unamsaidia tu.

Angalia mambo yaliyokuzunguka hayafanani hata kama yako kwenye category moja - mfano, magari, nyumba, n.k.
 
Teh teh....
Shemeji
 
Kama unahangaishwa na uliyenae si unajitoa tu, ukichepuka ndio suluhu?
 
Back
Top Bottom