Nivumilie - Baraka da prince ft Ruby

Nivumilie - Baraka da prince ft Ruby

My kaka mito have seen you somewhere, hope yo guuuuuuud, miss you big time!

Nipo full time sasa sista atoto, thanks for calling me, nilikuwa sijaona huu uzi wako, ngoja nisome kwanza nione kama nitapata cha kushare na wadau
 
Last edited by a moderator:

Karibu tena, hope likizo was great.
 
Last edited by a moderator:
Na ni sababu gani haswaa inayokupelekea ukubali kushare? Ni uhaba wa wanawake? Maana nijuavyo mimi wanawake ni wengi kuliko wanaume

Yes, kuna mazingira ambayo mwanaume hulazimika kushare mke:

1. kama ni mke wa mtu na wewe unamtaka, ni obvious utakuwa kwenye chain

2. kama ni girl friend wa mtu na wewe unamtaka, mara nyingi unakuta huna future naye, unapiga tu

3. kama mwanamke ndo kakupenda wakati unajua dhairi ana mtu wake, mara nyingi unakuta mke anampa jamaa material things kama hela, kazi, upendeleo wa aina fulani n.k. Mfano dereva anatembea na mke wa boss wake, shamba boy anatembea na mke wa boss wake n.k

4. kama hana uwezo wa kumiliki mke au girl friend. Mara nyingi anakosa uwezo wa kifedha kumtimizia mahitaji yake so anaamua kuwa marioo

5. kama mwanaume anaamini hawezi kupata mwingine kama huyo atakubali kufolenishwa

6. kama mwanaume anaamini hana uwezo wa kupata mwanamke mwingine, mfano coz he is too old, hana ushawishi, hana hela n.k

NB: by saying these am not saying am among those who can share a woman!!! hahaaa najihami kabisaaa
 
kama mwanamke ndo kakupenda wakati unajua dhairi ana mtu wake, mara nyingi unakuta mke anampa jamaa material things kama hela, kazi, upendeleo wa aina fulani n.k. Mfano dereva anatembea na mke wa boss wake, shamba boy anatembea na mke wa boss wake n.k

3. kama hana uwezo wa kumiliki mke au girl friend. Mara nyingi anakosa uwezo wa kifedha kumtimizia mahitaji yake so anaamua kuwa marioo

4. kama mwanaume anaamini hawezi kupata mwingine kama huyo atakubali kufolenishwa

5. kama mwanaume anaamini hana uwezo wa kupata mwanamke mwingine, mfano coz he is too old, hana ushawishi, hana hela n.k

NB: by saying these am not saying am among those who can share a woman!!! hahaaa najihami kabisaaa

Afadhali umejitoa mapemaaa, maana nilikuandalia booonge la swali, hapo wivu na mapenzi yanakuwa hayahusiki eti?
 
Hahaa nakujua sista, nikaona nijihami mapemaaa

Mwizi haonagi wivu sista coz anaelewa kila kitu and has no say at all, so ktk mazingira hayo unaishi kama mwizi
 
Speaking out of experience eti!!
 
Yes, but not practical experience, rather experiencing other people's life
Hahaa nimekupiga chenga, najua unataka kunitaiti mahali

BTW msalimie cute b nimemuona mahali, kumbe ni mshabiki wa soka balaa, sikujua aisee!!!

Khaaah! Leo unajifanya mjanjaaa unanikwepa kila kitu, haya bwana.

cute b yule ni shetani mwekundu, ni shabiki maandazi wa mashetani, leo najua ana stress lowasa kasingiziwa, cute b ole wako ujibu hii comment, nakulaani shauri yako.
 
Last edited by a moderator:
Yes, kuna mazingira ambayo mwanaume hulazimika kushare mke:

1. kama ni mke wa mtu na wewe unamtaka, ni obvious utakuwa kwenye chain

2. kama ni girl friend wa mtu na wewe unamtaka, mara nyingi unakuta huna future naye, unapiga tu

3. kama mwanamke ndo kakupenda wakati unajua dhairi ana mtu wake, mara nyingi unakuta mke anampa jamaa material things kama hela, kazi, upendeleo wa aina fulani n.k. Mfano dereva anatembea na mke wa boss wake, shamba boy anatembea na mke wa boss wake n.k

4. kama hana uwezo wa kumiliki mke au girl friend. Mara nyingi anakosa uwezo wa kifedha kumtimizia mahitaji yake so anaamua kuwa marioo

5. kama mwanaume anaamini hawezi kupata mwingine kama huyo atakubali kufolenishwa

6. kama mwanaume anaamini hana uwezo wa kupata mwanamke mwingine, mfano coz he is too old, hana ushawishi, hana hela n.k

NB: by saying these am not saying am among those who can share a woman!!! hahaaa najihami kabisaaa

Teh teh...kaka una panga hoja kama lowassa...
Haya mambo yapo tuu...huku mtaani...

Namimi najihami sipo tayar kushea
 
Anapanga hoja kama nani? Hebu acha kumtusi kaka yangu, au ndio mahaba!!
 
Khaaah! Leo unajifanya mjanjaaa unanikwepa kila kitu, haya bwana.

cute b yule ni shetani mwekundu, ni shabiki maandazi wa mashetani, leo najua ana stress lowasa kasingiziwa, cute b ole wako ujibu hii comment, nakulaani shauri yako.

Hahaa kumbe tumpe pole aisee, naona arsenal kawagalagaza hatari
 
Back
Top Bottom