Wanawake ni wengi ila wanapendwa wachache
mbona unavyotembea na mke wa mtu unakuwa una share but unaona poa tu
Ila wanawake ndio wanapenda kushare sana....hawaoni noma....tena wanajisifia kupindua meli
Jamani leo unanikana jamani acha hizo mdogo wangu.
ofcourseMhhh!! Kwahiyo hao unaoshare ndio unawapenda?
vingine vitamu mamii!!!! sawa warembo wote wana maungo sawa but ufundi, shunguli wako tofauti...so we dont care hata tukishare.....kila mrembo ana ufundi wake....kuna mmoja shughuli yake hata ukijua kuna mtu anapiga wala haisumbui ingawa nawe wapata vyako vitamu.
Nishawahi pata kama wawili i knew nilikuwa nashare(sio wake za watu) but i couldnt care....it was just sex pleasure...and it was fantastic............mtu unapewa BJ mpaka wataka kulia....halafu nikususe kisa kuna mwingine....hell no!!! Lets share.
NB:Ukiona mwanaume anashare n he doesnt care jua(hana love feelings na huyo demu only sex pleasure) unless huyo jamaa ni mzungu(maana hawa watu wana malovee ya ajabu....wanswing na kuswinger bila shida).......been there done that!!!
Uwiiii makubwa! Why jamani? Nani kakuudhi? Tema mate nimchape
atoto barafu ..upo?haya mambo hutokea pale hasa kidume kinapokua hakiwezi kumhudumia mwanamke....usikilize kidogo ule wimbo "anaambiwa nyumba utanilipia?wazazi nao watarudi kijijini ile nyuma aliyewanunulia?"kwa mimi hapo dawa ni kusepa tu :deadhorse:
watoto wa mjini wanapenda kumiliki vitu visivyo size yao tunaanzia hapo then wadada wengi wa kibongo wana practise commercialised papuchi this is quite different ukienda kenya na nchi za kusini mwa Africa ambazo chumi wao ni mzuri kidogoNipo mwekundu, umeadimika!!
Yeah kwa mantiki ya wimbo nilielewa shida ni pesa, ila nikawazaaa kwanini usimchukue yule unayeweza kumhudumia hadi ufanywe marioo!! Au ndio kupenda vya mteremko?
watoto wa mjini wanapenda kumiliki vitu visivyo size yao tunaanzia hapo then wadada wengi wa kibongo wana practise commercialised papuchi this is quite different ukienda kenya na nchi za kusini mwa Africa ambazo chumi wao ni mzuri kidogo