Nivumilie - Baraka da prince ft Ruby

Nivumilie - Baraka da prince ft Ruby

Hahaa kumbe tumpe pole aisee, naona arsenal kawagalagaza hatari

Huko najua kafumba macho ila anaiona arsenal, hajaamini majicho yake!
 
Umeona eeh, kuna watu wachokozi sista

Hivi hizo hoja nzito ulizozitoa mzee wa mahaba anaweza kuzitoa!! Thubutuuu tena sumbai inabidi umuombe radhi kaka yangu.
 
Last edited by a moderator:
Shemj...mimi nlisha jitoa kwenye hilo kundi. Nazungumzia experience

Weee tulia ufanyiwe maombi, kukana tatizo ni dalili mbaya zaidi, nakupenda shemeji yangu sitaki upatwe na mabalaa.
 
A

shida itoke wapi? Tena...

Ukisema ukweli ? Kaka ila mimi sio member wa hizi club za hisa...

Yaani unakana tena! Kweli wewe unahitaji maombi mazitooo

Mi nimeitwa nikuombee..Nikasema nijue tatizo kwanza kabla ya kuangusha mapreyaz...kumbe uko sawa

Hayuko sawa huyu, ni pepo hilo linaongea ili asifanyiwe maombi.
 
Yaani unakana tena! Kweli wewe unahitaji maombi mazitooo



Hayuko sawa huyu, ni pepo hilo linaongea ili asifanyiwe maombi.

Teh teh...Basi itabidi tufanye maombi ya kufunga aisee..Mdogo wako anajua kama shem mgonjwa??
 
Teh teh...Basi itabidi tufanye maombi ya kufunga aisee..Mdogo wako anajua kama shem mgonjwa??

Hawa ni waarabu wa pemba, Hata yule ni wa kuombea, nae ana pepo la michepuko, kwahiyo itabidi tufunge kwaajili yao wote.
 
Cku iz kila dem anakwambia ana m2 wake so ukitaka mpaka uckie neno niko single mh cjui ln..af k2 kingine ni kwamba m2 ukishampenda ata akisema ameolewa km co mwoga wa kufumaniwa utaendelea kulazmisha mpaka akubali ili moyo wako ulidhike na utofaut unakuwepo coz we pale c unaiba..ndo mana unakua tayar kua spea tair lakn km ndo ww huwez kukubal m2 akuibie ndo mana unamkuta m2 anatembea na bastola kiunon..kwanza unahis jamaa anamfaid mkeo pili unahis unaweza ukawa ndo mwanzo wa mkeo kuchukuliwa jumla tatu inakua ni sign ya kwamba humridhishi either huduma za kijamii au sex..ndo mana yule anaeshare kwa kuchukuliwa mpenz wake na m2 mwingine anachukiaaa..bora ww ndo ukaibe ndomana wauni wanakwambia mke wa m2 ananoga..umeona mfano wake huo
 
Ana pepo la kushare, yaani yeye bila kushare hajisikii raha.

Huyu sumbai kweli ana pepo la kushare, ona anavyoweka msisitizo kabisa
"Tena raha saana, alafu hamnaga stress kabisaa"
 
Yes, but not practical experience, rather experiencing other people's life
Hahaa nimekupiga chenga, najua unataka kunitaiti mahali

BTW msalimie cute b nimemuona mahali, kumbe ni mshabiki wa soka balaa, sikujua aisee!!!
Nashukuru swahiba kwa kunikumbukaa... huku nimemwacha atoto na mume wangu sumbai nisije nikabishana na baba watoto bure..
Huyu atoto tangu anaanzisha huu uzi nilijua ni uchpkozi tuu ananitafuta ila nikamwba Mungu uvumilivu.... mito mimi maisha yangu mbali na mapenzi....
1...napenda michezo..
2....napenda utani sana..
3....something nanunua ugomvi...
4...napenda umbea nikiwa bored....
5....napenda kukaa kimy nikiwa sina point kuepisha point less.
masafa hayo hunikosi swahiba..
 
Last edited by a moderator:
Khaaah! Leo unajifanya mjanjaaa unanikwepa kila kitu, haya bwana.

cute b yule ni shetani mwekundu, ni shabiki maandazi wa mashetani, leo najua ana stress lowasa kasingiziwa, cute b ole wako ujibu hii comment, nakulaani shauri yako.

Uwiiiii lowasa kasingiziwaa? Mimi nina furaha LVG Kamfunga kale kazee cha arse8 goli tatu kavuu muulize hata sumbai.
Chezea red devil wew na kwenye msimamo wa ligi ss ndio tunaongoza muulize hata everlenk na Th Name...
ONYO..."
Wew uliyesoma hapa unajihisi unajua kuliko mimi ni kwamba hii koment haikuhusu .na najua nilicho andika so tambaa na mia sitaki mapovu.. atoto nilikuwa natoa onyo maana kuna mijitu miparamiaji huku itaanza mapovu
 
Last edited by a moderator:
Hahaa kumbe tumpe pole aisee,naona arsenal kawagalagaza hatari

Uwiiiiiii unasemaje tena mito jamanii.. kwani hujaona hapo juu nimeweka maelezo ilivyo kuwa? mito usiangalie mpira fesibuku..
Cc. everlenk
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom