sumbai
JF-Expert Member
- Jun 16, 2014
- 20,890
- 47,611
Kama unahangaishwa na uliyenae si unajitoa tu, ukichepuka ndio suluhu?
Utawaacha wangapi?
Kama unahangaishwa na uliyenae si unajitoa tu, ukichepuka ndio suluhu?
Tena kazi sio kidogo! Alafu yaani watu washaifanya ni kawaida tuuu.
Utawaacha wangapi?
Mie tena wa kukukana wewe jamani, i kanti, nilikuwa natania tu!
Here i am my dear brother, tell me.
Jamani leo unanikana jamani acha hizo mdogo wangu.
Nimekumisije mpaka nimeumwa na sasa Niko kitandani kwaajili yako?
Daaaah! Hivi huyo anayekuficha hivyo ni nani nikamteke? Maana sio kwa kukumiss huku, nilikuwa najiandaa nami kuondoka jf kabisa, haya hebu pona haraka maana nafsi yangu imefarijika sasa.
Pole kwanza kwa janga lile la w.end, niliona ulishusha sala ila hata sala haikusikia, na mchepuko nae chaliii, khaaaaah!
Pole kwanza kwa janga lile la w.end, niliona ulishusha sala ila hata sala haikusikia, na mchepuko nae chaliii, khaaaaah!