Hahahaaaa! Ukikubali kula nawe kubali kuliwa!
Atoto kuna vitu vinawekwa reserve..haviruhusiwi kuguswa na wengine..teh teh..
Kwingine kama unamchepuko bhasi huo tunashea.....
Ila usininukuu vibaya sina mchepuko
cute b awe wangu tu. kushare hapana
naona umefurahi hahahahahaHa ha haaa nomaaa
Katika kutimiza hizo haja za ngono mwakumbuka kinga? Au ndio ajali kazini?
Kinga inaweza kukumbukwa kutokana na umakini wa mtu na imani yake kwake. Wakati mwingine inaweza kutumika mwanzoni lakini baada ya mazoea na imani feki kujengeka ikaachwa na ikawa chanzo cha maabukizi ya magonjwa ya zinaa ikiwemo ukimwi
Nipe source niudownload naupenda sanaaaaa
Wakati mwingine unakuta mwanamume kampenda bidada na anamhitaji kweli ila kutokana na historia wadada wengi hata akiwa single ukimtokea atakwambia nina mtu sijui wanapima juhudi za kulilia mzigo, unakuta na mwanaume wakati anafuatilia anajipa moyo "ndo zao kusema wanamtu", hapo ukute mwanadada pamoja na kwamba anasema ana mtu lakini anampa ushirikiano kwa mazungumzo mbalimbali na mwisho wanajikuta wanagegedana. Akishagegeda mwanaume anajua tayari ame-win lakini demu anasisitiza jamaa yangu yupo nje ya mkoa kimasomo au vyovyote vile na kwa kuwa mzigo umeliwa ndio hivyo tena jamaa linakuwa linajisevia na kuuzoea mzigo hasa kama jamaa katoswa hana pa kuondolea masiafuNdio hapo huwa najiuliza ni uhaba wa wanawake au? Hawa viumbe ni wengi kuliko sisi, bt still unakuta mwanamke mmoja anao wa4, duuuh sio chain hii!!
Eti huruma!! Hiyo huruma utawaonea wangapi? Mie kama sikupendi it means hata hisia za kuduu sina kwako sasa naanzaje kukupa!! Nampa yule nimpendae na niliyenae, hao wengine nao wakatafute wengine mbona tupo wengi sana kuliko nyie!!
Wakati mwingine unakuta mwanamume kampenda bidada na anamhitaji kweli ila kutokana na historia wadada wengi hata akiwa single ukimtokea atakwambia nina mtu sijui wanapima juhudi za kulilia mzigo, unakuta na mwanaume wakati anafuatilia anajipa moyo "ndo zao kusema wanamtu", hapo ukute mwanadada pamoja na kwamba anasema ana mtu lakini anampa ushirikiano kwa mazungumzo mbalimbali na mwisho wanajikuta wanagegedana. Akishagegeda mwanaume anajua tayari ame-win lakini demu anasisitiza jamaa yangu yupo nje ya mkoa kimasomo au vyovyote vile na kwa kuwa mzigo umeliwa ndio hivyo tena jamaa linakuwa linajisevia na kuuzoea mzigo hasa kama jamaa katoswa hana pa kuondolea masiafu
Tatizo atoto unajizungumzia wewe...kuna wenzako sex sio inshu kivileee...kutoa mchezo for fun for huruma...ha ha kawaida tuuu
mie na-share vzr tu