Bailly5
JF-Expert Member
- Mar 11, 2015
- 16,495
- 35,288
hayo yote nayatambua sana. sometimes una change mawazo baada ya kutafakari kwa kina.Dogo mbona muoga? We si ulishasema uko tayari kushare? Why uogope matokeo ya hiyo sharing, unapoamua kufanya maamuzi lazima uwe responsible na concequences za maamuzi yako, yawe mazuri au mabaya.
unakuta mtu anataka kuforce kila kitu sio ishu