Nivumilie - Baraka da prince ft Ruby

Nivumilie - Baraka da prince ft Ruby

Love is blind if you let it blind you!

Love is unconditional reflex, once it tackles you, you can't control the situation. You find yourself you want nothing other than love.
 
Last edited by a moderator:
Wapo wamaokubali haswa kama wanalelewa au wamapata manufaa yao toka kwa mwanamke wananyamaza ka vile hawaoni.

Wengine uwatumia wanawake kuwaletea pesa kwa kufanya mambo na wengine

Kila kitu kinawezekana duniani.
 
Mmmmh!! Sasa hapo unakuwa unapata love au unatoa love? Maana kauli yako inapingina na uhalisia wa hii isue.
 
Last edited by a moderator:
Wapo wamaokubali haswa kama wanalelewa au wamapata manufaa yao toka kwa mwanamke wananyamaza ka vile hawaoni.

Wengine uwatumia wanawake kuwaletea pesa kwa kufanya mambo na wengine

Kila kitu kinawezekana duniani.

Umarioo at its best, ila ukishakubali kuwa marioo itabidi ukubaliane na kila kitu
 
kuwa na mpenzi mwenye wapenzi wengine naweza ku handle ilishawahi kunitokea halafu nikawa nawajua tu
Tafuta movie ya kuitwa friend with benefit ya justin timbarlake atoto
 
Last edited by a moderator:
kuwa na mpenzi mwenye wapenzi wengine naweza ku handle ilishawahi kunitokea halafu nikawa nawajua tu
Tafuta movie ya kuitwa friend with benefit ya justin timbarlake atoto

Sababu ya kuwa nae ilihali wajua ana wengine ilikuwa nn? Au pesa?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom