Nivumilie - Baraka da prince ft Ruby

Nivumilie - Baraka da prince ft Ruby

Huwezi kuvumilia kama huna pa kuponea..unaanzaje kuvumilia we umelala peke yako mwenzio anapata faraja kwingine? Mnaovumilia hayo hata motoni mtaweza kuishi..teh teh

Sio kwa wenye ndoa, haivumiliki mamii...
Ukipenda unavumilia, kuna wanawake ving'an'ganizi mnoo...anasema hata tuwe kumi, ila lazima uwe wangu
 
Teh teh teh! Kwani wakati unakubali kushare hukuwa na moyo?

Teh teh..atoto unajua hata maandiko yanauheshimu moyo na nasfi ya mtu

Moyo plus genye ni mbaya mnoo..
 
Sio kwa wenye ndoa, haivumiliki mamii...
Ukipenda unavumilia, kuna wanawake ving'an'ganizi mnoo...anasema hata tuwe kumi, ila lazima uwe wangu

Hahaa..Mnawapaga vinini hadi kuwaganda hivyo?
 
Huwezi kuvumilia kama huna pa kuponea..unaanzaje kuvumilia we umelala peke yako mwenzio anapata faraja kwingine? Mnaovumilia hayo hata motoni mtaweza kuishi..teh teh

Kwakweli hawataungua.
 
Ni ujinga na kutojiamini,mwanaume gani usiyekuwa na wivu..eti unashea,kweli.... mi siwezi hata kwa dawa.Unashindwa kuwa na empaya yako,kinachoweza kukutokea ni kupigwa makofi na wanaume ambao unashea nao pale watakapogundua.

Hahahaaaa makofi tu naona hayatoshi, wanastahili zaidi ya hilo.
 
Hujapenda wewe....hujapenda aliyekuwa occupied....nakuhurumia siku ukigundua mpo wawili...

Yaani hayo mahaba yapite mbali na mimi, kupenda gani huko wakati huna amani ya moyo!!
 
sumbai utashare na Th Name maana naona unasaport sana kushare

Hapana siwezi kushea na mtu, naeza share vitu vingine kama vipo (havipo) lakini wewe siwezi kukushare...

That is declaration... never never never
 
Last edited by a moderator:
atoto mimi nakwambia wewe hujawah patwa na ule mzimu wa kupenda na kuapa liwalo na liwe..unakuta mtoto wa kike anakwambia hata kama unamwingine namimi nataka tuu unipe nafasi japo kidogo tuu....
Huyajui haya mambo atoto usiombe yakupatee

Nakutana na hayo sanaaaa!! Ila namuelewesha tu kuwa am occupied siwezi kuwa nae fullstop, na simpi nafasi ya matumaini yoyote, ndio ataumia ila atapona with time, sasa kila atakayekuja kunipigia magoti nimkubalie nitakuwa na wangapi and for what!!!

Hiyo nafasi kidogo tuuu ndio nafasi gani labda, unampa ukweli mtu anasepa, kuwa king'ang'anizi ni kwakuwa unampa loopehole ya kuona atakupata tu.
 
Last edited by a moderator:
Ni ujinga na kutojiamini,mwanaume gani usiyekuwa na wivu..eti unashea,kweli.... mi siwezi hata kwa dawa.Unashindwa kuwa na empaya yako,kinachoweza kukutokea ni kupigwa makofi na wanaume ambao unashea nao pale watakapogundua.

Labda ndio akienda anarudi na hela ya kutosha.
 
Sio kwa wenye ndoa, haivumiliki mamii...
Ukipenda unavumilia, kuna wanawake ving'an'ganizi mnoo...anasema hata tuwe kumi, ila lazima uwe wangu

Khaaaaah!! Yaani hapo mwanamke ndio anakuwa kakutongoza?? Daaah una watu wana ujasiri!! Kwahiyo kila atakayekuganda unampa nafasi?
 
Nakutana na hayo sanaaaa!! Ila namuelewesha tu kuwa am occupied siwezi kuwa nae fullstop, na simpi nafasi ya matumaini yoyote, ndio ataumia ila atapona with time, sasa kila atakayekuja kunipigia magoti nimkubalie nitakuwa na wangapi and for what!!!

Hiyo nafasi kidogo tuuu ndio nafasi gani labda, unampa ukweli mtu anasepa, kuwa king'ang'anizi ni kwakuwa unampa loopehole ya kuona atakupata tu.

Teh teh unampa kwa huruma, na unajua wana wake ni dhaifu some time wanatoa kwa huruma...
 
Khaaaaah!! Yaani hapo mwanamke ndio anakuwa kakutongoza?? Daaah una watu wana ujasiri!! Kwahiyo kila atakayekuganda unampa nafasi?

Teh teh kuna wanawake wanapenda, wanapenda for real..wapo tayari wafaight wapate chance na kukuchukua jumla..ila ni wachache sio wale wa team stress
 
Hapana siwezi kushea na mtu, naeza share vitu vingine kama vipo (havipo) lakini wewe siwezi kukushare...

That is declaration... never never never

Hahahaaaa! Ukikubali kula nawe kubali kuliwa!
 
Teh teh unampa kwa huruma, na unajua wana wake ni dhaifu some time wanatoa kwa huruma...

Eti huruma!! Hiyo huruma utawaonea wangapi? Mie kama sikupendi it means hata hisia za kuduu sina kwako sasa naanzaje kukupa!! Nampa yule nimpendae na niliyenae, hao wengine nao wakatafute wengine mbona tupo wengi sana kuliko nyie!!
 
Back
Top Bottom