Nivumilie - Baraka da prince ft Ruby

Nivumilie - Baraka da prince ft Ruby

Mweeeh!!! Ulikosa kabisa wako peke yako?

hebu sikia nikwambie nakuja kukutongoza kisha unaniambia una wako mi nikaendelea tu kukutongoza ukanionea huruma ukakubali
hii haimaanishi yule wako umemuacha ila umeniongeza mimi
halafu wanawake hapo inaonekana umewapanga hata watatu ila tatizo hawajuani
Tatizo ni mimi kujua au kupangwa wengi ??
 
We ushajua mnapangwa why uendelee kupaganda hapo tu? So kumbe tukiwapanga ni poa tu!
 
i don want that let me stay single for good

Dogo mbona muoga? We si ulishasema uko tayari kushare? Why uogope matokeo ya hiyo sharing, unapoamua kufanya maamuzi lazima uwe responsible na concequences za maamuzi yako, yawe mazuri au mabaya.
 
Back
Top Bottom