Niulize chochote

Niulize chochote

hahahaha. Una matatizo wewe. Si bure. Avatar, Jina, Threads, typing style vyote vya kike. Au una maungo yote?

Narudia tena mimi ni ME, Nicas ujue nakuheshimu sana, tenaa wewe ni rafiki yangu facebook.... may be nina hormone za kike lakini mimi ni ME tena rijali
 
Ila unasound like a woman aisee.
 
hahahahaha. Kongosho amewah kuweka thread kama hzo zako?

Kuanzia leo sasa jua mimi ni ME, tena nina mpango wa kuoa mwanamke wa pili...., kulikuwa hakuna ubaya mimi kuwaonya dada zangu kwa kutumia nafsi ya kwanza umoja (mimi),...ujumbe unapelekwa kwa njia nyingi sana la muhimu ufike.
 
Nicas Mtei inatosha bwana, nishasema hizo zilikuwa mada tu lakini ukweli mimi ni ME, mbona huwa hamumuandami kongosho kama mnavyofanya kwangu???

Kongosho namjua ni mwanamke bhana kama hautaki unaacha ila sidhani kama unafanya poa. Huwa tunataka kujua jinsia ili kuondoa utata wa kujibu status sasa kama unabadilika badilika sidhani kama unatufaa...
Copy😡nicas mtei
 
Last edited by a moderator:

Copy: Nicas Mtei

anakuja hvyo ili apate mdada. May be ni lesbio
 
Last edited by a moderator:
Kongosho namjua ni mwanamke bhana kama hautaki unaacha ila sidhani kama unafanya poa. Huwa tunataka kujua jinsia ili kuondoa utata wa kujibu status sasa kama unabadilika badilika sidhani kama unatufaa...
Copy😡nicas mtei

Usiongee kwa ukali hivyo kaka/dada, hufananii na kuwa mkali, unajua maisha ni kuelezana kwa utaratibu na sio kugomba
 
duuh kadri Nicas Mtei anavyoweka thread zako nazidi kuudhika na kukuchukia kwa kua unatuona sie watoto....
Nisamehe kwa kukuchukia..,
 
Last edited by a moderator:
kwani lazima uwe ME?? Acha hizo bhana...

Mhh huu mjadala wa jinsia yangu umekuwa kama ule wa zanzibar ni nchi au sio nchi, basi bwana leo nawadhihirishia kwamba mimi ni ME... msiwe na wasiwasi
 
duuh kadri Nicas Mtei anavyoweka thread zako nazidi kuudhika na kukuchukia kwa kua unatuona sie watoto....
Nisamehe kwa kukuchukia..,

Biblia inakataza kuchukiana mpendwa, iepuke chuki, Upendo ni kuweza kuwapenda hata wale tunaodhani hawastahili kupendwa
 
Narudia tena mimi ni ME, Nicas ujue nakuheshimu sana, tenaa wewe ni rafiki yangu facebook.... may be nina hormone za kike lakini mimi ni ME tena rijali

itabidi uendelee kuwa KE Kwa yaliyotokea.
Mimi kwa jina halisi Steven. A.k.a stevoh.
 
Last edited by a moderator:
Mhh huu mjadala wa jinsia yangu umekuwa kama ule wa zanzibar ni nchi au sio nchi, basi bwana leo nawadhihirishia kwamba mimi ni ME... msiwe na wasiwasi

zanzibar ilikua nchi kwa hyo ikirudi kua nchi haina shida.
Ila wewe ulikua mwanamke unataka kua mwanamme haisaidii....
 
Back
Top Bottom