Niulize chochote

Niulize chochote

Tehe tehe tehe huyo amechezea moto sasa ameungua, amechezea wembe sasa umakata, tulimkataza hakutusikia ameona madhara yake oyooo yooo oohh (mimi naimba tu)
 
Steven tufunge basi huu mjadala tuendelee na mabo mengine ya kujenga taifa letu

wewe unalibomoa ili sie tujenge mpango wako huu wa kuchafua kijiwe chetu nahisi umebugi meeeeen...
 
Tehe tehe tehe huyo amechezea moto sasa ameungua, amechezea wembe sasa umakata, tulimkataza hakutusikia ameona madhara yake oyooo yooo oohh (mimi naimba tu)

wimbo wa chit chat au upo kule introduction forum??
 
hahaaaa!mi nasubiri nijue
Asprin antumia nyenzo gani kwny ukaguzi
tu baaaas!
 
Last edited by a moderator:
Mambo yanaendaje waungwana?
Mbele yenu ni Nakadori kutoka mkoa wa kilimanjaro, naomba uniulize chochote kuhusu mimi iwe kuhusu mapenzi, uchumi, elimu, na mengine yoote nami nitakujibu kwa ufasaha. Pia kama una ushauri wa kunipatia kulingana na nitakavyojieleza unakaribishwa.

Ombi; Ninaomba wana chit chat muanzishe huu utaratibu wa kufahamiana ili kutuweka karibu zaidi.

Karibuni kwa maswali.

Kadogoo umeolewa?
 
Narudia tena mimi ni ME, Nicas ujue nakuheshimu sana, tenaa wewe ni rafiki yangu facebook.... may be nina hormone za kike lakini mimi ni ME tena rijali

Zingatia: " may be nina hormone za kike...". Unasomeka hivo!
 
Back
Top Bottom