Una maana siku zoooooootee hizi wajifanya ulikua hujui kama yumo? Yumo mbona zamaaaaanii !
Afu we Jg hivi majibu yako.huwa yapo.kwenye ulimi eeh???
.Mambo yanaendaje waungwana?
Mbele yenu ni Nakadori kutoka mkoa wa kilimanjaro, naomba uniulize chochote kuhusu mimi iwe kuhusu mapenzi, uchumi, elimu, na mengine yoote nami nitakujibu kwa ufasaha. Pia kama una ushauri wa kunipatia kulingana na nitakavyojieleza unakaribishwa.
Ombi; Ninaomba wana chit chat muanzishe huu utaratibu wa kufahamiana ili kutuweka karibu zaidi.
Karibuni kwa maswali.
Ni nini na ni wapi JF?
Uliza basi
Kuna maswali "YA MSINGI".ameuliza watu8 , yajibu kwanza afu tuendelee
JF ni home of great sinkers, imejaa watoto, vijana na wazee......., idadi imeongezeka zaidi baada ya matokeo ya form 4 2012.
Jf iko everywhere, ni wewe tu na roho yako...kama utataka kuiaaccess chooni, jikoni, mwanza, rwanda, usa, ni wewe tu na roho yako
ah ah ah! Umetokea wapi wewe