Umeshawahi kuugua ukichaa??Basi, hadi hapa naonaa maswali yenu yameisha, kama lipo la zaidi mtanijulisha..natoka kwa muda eehh
No no no!
Ilibakia kidogo upatie!
Yako kwenye ufizi!
Umeshawahi kuugua ukichaa??
Sent from my BlackBerry 9700 using JamiiForums
Nicas Mtei inatosha bwana, nishasema hizo zilikuwa mada tu lakini ukweli mimi ni ME, mbona huwa hamumuandami kongosho kama mnavyofanya kwangu???Wewe si ulisema unatafuta jibaba?
https://www.jamiiforums.com/love-connect/197393-nimechoka-kudanganywa-na-vijana-natafuta-jibaba.html
Cjelewa. Kwa mila zenu ukigeuza kitu ndo unapata hela? Yani ukigeuza..?? Unapata hela. Ebu tena mkuu...uki..? Nini..!
Nakadori acha kucheza na akili za watu. Utoto huo.
https://www.jamiiforums.com/mahusia...8-jf-ilinikutanisha-na-tapeli-wa-mapenzi.html
Why humuulizi kongosho? why only nakadori? Nicas Mtei ujue nakuheshimu sana tena sana, ohoo wewe using'ang'anie mie niwe KE wakati ni ME
Nakadori bado tu unataka kudanganya watu?
https://www.jamiiforums.com/mahusia...enye-mahusiano-ya-kimahaba-3.html#post5591053