Kwenu hayo ndio ya maana??kweli wewe umo kwenye ile 60% ya necta, vipi ulishajisajili kureseat??aau umeamua kwenda ufundi magari pale kwenye gereji ya mchina?
Nimeoa, nina mpango wa kuongeza mke wa pili...je uko tayari nikuoe mke wa pili??
Nakadori,umeamua kuja kufanya uchafuzi hapa?
Hujajibu swali langu, je uko tayari nikuoe mke wa pili, i mean wewe uwe mke wangu wa pili?
Unasema hivi; kila mwanume hata aliyeoa anasema yuko single, wadada wa JF wote hata walio na age 30's ukiwauliza watakuambia ni 20's (rudia huu ubeti)
Basi, hadi hapa naonaa maswali yenu yameisha, kama lipo la zaidi mtanijulisha..natoka kwa muda eehh