Niulize chochote

Niulize chochote

Unasema hivi; kila mwanume hata aliyeoa anasema yuko single, wadada wa JF wote hata walio na age 30's ukiwauliza watakuambia ni 20's (rudia huu ubeti)

Mmmh!!! huu sijawahi kuusikia...
 
Wanawake ni dada na mama zetu, si vibaya kuwa na hormone za kike chipolo

Hivi unajua kwamba pamoja na masikhara tunayoandika hapa ndani, nyuma ya pazia tuna career zetu.
Kama wanalivyokueleza wadau wengine hapo awali, imenichukua muda mfupi tu kutambua jinsia yako.
Naungana na wadau wengine kusema wewe ni deshi deshi na ndio maana hata timu unayoipenda ni Libolo FC.
 
Back
Top Bottom